Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Nimeandika habari hii kwa masikitiko sana baada ya kuoneshwa text moja na ushauri uliyoambatana nayo. Mama mmoja ameomba ushauri afanye nini mtoto wake wa kiume ana miezi 8 mashine haisimami kama...
9 Reactions
46 Replies
14K Views
Guys kwa utafiti wangu mdogo niliofanya nimeanza kuona dalil za kuongezak kwa wadada wanaopeana utam wao kwa wao...wenye watoto with a kike jutahid sana kuwapa elimu juu ya maswala haya.madada...
2 Reactions
35 Replies
5K Views
Well mimi ni mwanaume Umri 28 Mfanyakazi Kampuni binafsi Makazi Dar-Mbezi kimara Elimu Bachelor degree (Bsc) Mrefu wastani Maji ya kunde Natafuta msichana mwenye Sifa zifuatazo: Mcheshi Mcha...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Sijui ndiyo na nyota ya kufungwa miaka 30? Yaani kila ninapoanzisha mazoea tu na mtoto wa kike wa shule, najikuta katika vishawishi vya kuwa nao kimapenzi. Wanaweza kukuchatisha hadi asubuhi...
1 Reactions
49 Replies
7K Views
Ninanukuu maandiko matakatifu kutoka katika kitabu cha KUTOKA 2:18, Mungu anasema si vema mtu huyu awe peke yake.....Kuna wanaume ambao mpaka sasa wana umri zaidi ya 35 na bado hawana mpango wa...
1 Reactions
7 Replies
4K Views
SEX A man can travel for eight hours 'just to have sex with a female friend and yet, not love her. Sex makes men act as if they are in love. The eight hours travel sacrifice, gifts bought, hotel...
7 Reactions
21 Replies
3K Views
salaam, Binafsi tangu nikiwa mtoto mdogo nilikuwa napenda sana kuchunguza mambo nilikuwa nikisikia jambo lolote ambalo sikuwahi kulijua kabla ilinilazimu kulifuatilia kiundani zaidi hata kama...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Wapendwa, hebu tubadilishane mawazo kidogo, kifo ni real, ipo siku kila mtu atakufa, ama katika uzee au katika utu uzima n.k. Je ukiwaza ipo siku utakufa, huwa unajisikiaje?? Huwa unawaza nini...
24 Reactions
166 Replies
14K Views
Inapofika suala la kutongoza kwa sisi wanaume kila mmoja ana staili yake ya kutongoza mwanamke, wengine wakali sana kwenye simu kuliko kuonana na mwanamke live na kumtongoza lakini vilevile...
0 Reactions
62 Replies
8K Views
TUJIFUNZE KUSAMEHEANA PALE TUNAPOKOSEANA KAMA WAPENZI, KUMUACHA MWENZI WAKO KWASABABU YA MAKOSA YAKE NI KUMFUNDISHA AKAWE MKE/MUME MZURI UKO ANAKOENDA, NA WEWE UTABAKI UNAHANGAIKA KUMSHAPE MWENZI...
2 Reactions
7 Replies
3K Views
Kisa cha ukweli kimetokea sahivi mwanamke kajikuta anaolewa bila kupenda... Story iko hivi jamaa kaja na mwanamke Bar wamekunywa kunywa walivomaliza jamaa kaaga anaenda toa pesa Mpesa kumbe ndio...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Wana MMU, katika harakati zangu za kutafuta mwenzi ninikiwapAta wadada waliwalionizidi umri mkubwa sana, sasa inaniwia vigumu sana especially tukiwa tunatoka, nakumbwa na hofu ya aibu, kuchekwa...
1 Reactions
20 Replies
5K Views
Hivi nyinyi makaka ambao weekend mnafikiria kufanya shopping kujaza fridge na kuweka luku nyumbani baada ya hapo mnapotea kurudi saa nane usiku. Hivi unafikiri kwetu sikuwa ninakula au mzazi wangu...
32 Reactions
194 Replies
16K Views
Sifa kuu ya mwanaume ni pamoja na kuchagua mwanamke na kuacha mwanamke!Nina wasiwasi na wanaume wanalialia kwenye social media eti wameachwa!!ukiona mwanamke anaanza kuchelewa kujibu SMS zako na...
35 Reactions
131 Replies
11K Views
Hello wana Jf Jina. Ben Carson Umri. 35 Elimu. Bachelor degree Dini. Mkristu Kazi. Mwajiriwa Urefu. 160cm Naishi...
1 Reactions
0 Replies
3K Views
Habari zenu wanaume? Mimi nina miaka 23, nipo DSM. Nafanya kazi katika kampuni moja ipo hapa hapa DSM. Kwa sasa nahitaji mwanaume wa kuishi nae sio wa kuspend nae.Mimi na mkristo, nita penda kama...
5 Reactions
122 Replies
18K Views
Salaam. Kama kichwa Cha habari kinavyoeleza.nimejikuta ktk migogoro wa kifamilia kutokana na kijana wangu kumpa mimba mwanamke huko walikokuwa na kisha wakatibuana. Msichana yule kaleta Mtoto...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Natafuta mwanaume wa kula nae uzee miaka 38 na kuendelea, vijana vijana hawa sina muda wa kupeana stress so usijisumbue. Usiwe umepeana talaka na mkeo. Au mmefarakana kwa njia yoyote labda awe...
9 Reactions
180 Replies
16K Views
Back
Top Bottom