Je, atakuwa amewekewa limbwata?

Je, atakuwa amewekewa limbwata?

Selwa

JF-Expert Member
Joined
Dec 17, 2010
Posts
671
Reaction score
707
Mara nyingi huwa siamini haya mambo ila kuna mshkaji wangu simuelewi. Tunafanya wote mradi flani ila jamaa akipata pesa hata kidogo tu yote nzima nzima anapeleka kwa mwanamke wake badala ya re-kuinvest kama tulivokubaliana awali.

Hadi imefika kwamba anakula mtaji na kuupeleka huko kwa mwanamke wake lakini hazinduki. Hivi sasa kampuni inasuasua ila hajali kabisa yani hayupo kawaida kabsaaaaa washkaji wakaniambia lazma mwanamke keshamfanyia mambo yao ya kiswahili.

Kwakweli sielewi...
 
Personally i don't believe in that. Ni maneno tu ya watu.

Kuhusu kupeleka pesa kwa mwanamke wake it can be one of these things, either kapenda, au chumbani anapewa vitu adimu kiasi kwamba hataki ampoteze huyo mwanamke so anajaribu kumkeep kwa kutumia pesa. Tatu ni convincing power, kuna watu wana-convincing power nyie acha tu, wako well versed in the art of persuasion, kwahiyo kamshika masikio.
 
limbwata ni hisia mapenzi yaliyopitiliza kiasi ya kwamba muathirika huwa haoni viashiria hasi mbele yake.
Wahanga wakubwa wa limbwata ni wanaume. Wengine wanasema dawa za asili ndio sababu
 
Huyo rafiki yako mpeleke kwa Mshana akapate vipimo zaidi
 
li mbwata ni pale unapokea mshahara halafu haufiki nyumbani, mama watoto anapelekewa matunda tu
 
Personally i don't believe in that. Ni maneno tu ya watu.

Kuhusu kupeleka pesa kwa mwanamke wake it can be one of these things, either kapenda, au chumbani anapewa vitu adimu kiasi kwamba hataki ampoteze huyo mwanamke so anajaribu kumkeep kwa kutumia pesa. Tatu ni convincing power, kuna watu wana-convincing power nyie acha tu, wako well versed in the art of persuasion, kwahiyo kamshika masikio.
Adimu ndio kitu gani?
 
Adimu ndio kitu gani?
Unakuta mtu kazoea watu anaokutana nao wanampa style zile zile tu za kawaida. Sasa anakuja kukutana na mwanamke siku, anapewa style kama zote, mdada anakunjuka hatari na manjonjo juu. Lazima jamaa atapagawa kidogo.
 
Hakuna LIMBWATA wala nini.

Ni kujipumbaza mwenyewe.

Kuna Wanaume WAPUMBAVU sana.

JITU lina MKE na WATOTO halafu lina Nyumba ndogo nje, cha ajabu JITU hilo linasahau kuhudumia Nyumbani kwake.

Yaani Nyumbani kwake wanashindia KAUZU au haachi chochote kitu, yeye huduma zote anapeleka kwenye Nyumba ndogo.

Tena MIJITU mingine inahamia kwa Muda Nyumba ndogo.

Nyumbani kwake anawaongopea ametoka KIKAZI
 
  • Thanks
Reactions: amu
Achana na limbwata huo mradi hauna makubaliano ya maandishi?unakubalije mpaka anakula mtaji?kama vipi fanyeni liquidation tu na wewe mtaji wako niletee mie
WalWala hatuna maaandishi tulikaaa tu tukasema tujaribu kitu kimoja tuone ka itafanikiwa ndo loh
 
Limbwata haina nafasi kabisa kwa mtu anae jitambua,huyo jamaa kapenda sana ila hakuna limbwata hapo
 
Waganga feki wanakulaga sana HELA za dada zetu. Hivi unawezaje kumloga mtu ili akupende..?
 
Ukishaona unampa demu 100000/= alafu mama au baba ako akilia njaa af unamtuia 10000/= hili ndio limbwata
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom