Saif Mohamed
Member
- Oct 2, 2013
- 49
- 49
Habari Zenu wakuu
Naombeni kwa ushauri kwa mke kama huyu :-
1 ) Ni mtu anapenda kutafuta chokoro chokoro kutwa
2) Ni mtu hapendi sana ndugu zangu wala utani hana nao kidogo wakifanya nae Jokes anakasirika lakini akiwa kazini kwake ni jokes kwenda mbele
3) Ni mtu ukimwambia leo tutakwenda kula kwa My Family yangu ghafla anajeuka hazungumzi yaani utadhani nimemwambia tunaenda JELA .
lakini mimi ni kawaida kwenda kwao bila Issue yoyote ila yeye hawezi kusema hata siku moja leo twende kwenu tukaamkie au kula never .
4) Ni mtu ambae kwa mfano Mama yangu akinipigia simu kumpeleka sehemu yeye ni kukasirika tu Je kuna mapenzi kweli ?
Hii Situation ninayo sasa hivi ni mwaka wa 13 years .
5) Ni mtu hapendi nikashika simu akiona tu nimeshika simu hata kama nacheza Games utasikia una Chart na nani ? Really i m Tired .
6) Ni mtu anapenda wa kwao tu .
Ushauri wakuu nimfanye nini nilisha fanya kazi kubwa kumuonyesha vipi mke should be lakini wapi .
Bila KASHFA please .