Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

1. Jifunze kuweka akiba ya fedha na iache bila kuigusagusa. 2. Tafuta mpenzi sahihi na tulia naye, panga maisha. 3. Ishi mahali pa peke yako, acha kuishi kwa wazazi au kupanga na nyumba na...
2 Reactions
8 Replies
4K Views
Hello guys, Sijui kama kuna kuna wengine humu wamekutana na kitendawili kama hiki, nimemaliza chuo, na kwa position ya kifedha nliopo nayo sahivi kwenye maisha, vijana wengi wa umri wangu...
3 Reactions
58 Replies
7K Views
Habari wanajopo. Mm ni kijana wa umri wa miaka 30,nilioa msichana wa miaka 25 na nimezaa nae mtoto 1. Tatizo kubwa la msichana huyu nadhani ni kutokana na umri wake yaani sio mtu wa malengo...
2 Reactions
25 Replies
3K Views
Habari za mida wana JF na poleni na majukumu, Ni mwezi toka nifanye mapenzi na msichana wangu, mara ya mwisho sasa ananichenga isivyo kawaida kila tukipanga ikikaribia siku husika inatokea...
0 Reactions
64 Replies
5K Views
Za asubuhi yako mwanaJF Niende kwenye mada moja kwa moja; kwa sababu kipindi hiki sio ajabu wapenzi au wanandoa kuachana na kuanza mahusiano mapya na mtu mwingine yoyote yule. Hivyo kama binadamu...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
  • Closed
Morning people, Kwakweli nashindwa kuelewa kinachoendelea kwenye jamii ya kike kwa ujumla wake hasa ya mijini (Dar, Mwanza na Arusha). Mimi sio mbahiri au nina tabia ya uchoyo na ninajua umuhimu...
13 Reactions
127 Replies
56K Views
Salamu wanaJF Nimeamua kuishi life la kibachelor kutokana kwamba mpenzi wangu alinisaliti. Tupeane uzoefu maisha haya wakuu.
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Nimeishi na Mpenzi wangu(ke) kwa muda wa mwaka mmoja na kwa kipindi chote sikuwahi kumkosea wala kumuonesha dharau. Nimekuwa nikimsaidia pale alipohitaji msaada wangu wakati akiwa chuoni (bado...
1 Reactions
27 Replies
4K Views
Naomba nieleweke kidogo, hapa sizungumzii wale amabo tayari wameshaingia kwenye ndoa hasa ndoa za kikristu ambazo mke mmoja tu ndie anaetambulika kitu ambacho ni tofauti na wenzetu waislam ambao...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Mimi ni kijana niliyeanza kujitegemea baada ya kumaliza chuo na kukosa ajira nikajifunza fani fulani mtaani ambayo kwa sasa inaendesha vizuri maisha yangu Mwezi wa nne nilipanga chumba hapa mjini...
15 Reactions
156 Replies
24K Views
Niaje wananzengo hamjambo naamin. Kwenye Mada husika, sawa unampenda na moyo wako unakushuhudia kua unamhusudu huyo binti sawaa kabisaa.. Lakini huu utaratibu wa vijana wa kileo wa kwenda ukweni...
6 Reactions
12 Replies
4K Views
Huyu bibie ameuteka moyo wangu kupita kiasi, imefikia muda sasa nakosa usingizi nyakati za usiku. Bibie naomba usikilize kilio changu, nimeshindwa kuvumilia natangaza ndoa
6 Reactions
115 Replies
13K Views
Habarini wakuu! Kwa kweli ni jambo la kushangaza kuona kwamba mwanamke aliyeolewa au ambaye yupo kwenye mahusiano anafanya ukatili wa kumnyima mume wake unyumba(sex) Binafsi huwa sijuagi sababu...
1 Reactions
12 Replies
9K Views
Wakuu habari za leo, binafsi naomba radhi kama uzi utakuwa na maneno makali.. Hivi karibuni nimegundua kitu ambacho si kawaida kwa mke wangu. Baada ya tukio la huko nyuma nami kuwaomba ushauri...
3 Reactions
221 Replies
34K Views
Habari..... ngoja tupeane experience kwa wale waliowah kua Na wapenzi ambao mna usiano wa kindugu.either binamu..mtoto wa ba mdogo au mama mdogo ... whatever but muwe ni ndugu.je mliachanaje Na...
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Habarini wakuu... Tatizo la kukosa mtoto na kutoshika kwa mimba limekua sugu miongoni mwa kina Dada wengi ( haswa wale waliowahi kutoa mimba ....ingawa si wote) Kama kuna mtu mwenye tatizo hili...
1 Reactions
18 Replies
3K Views
SIFA 10 AMBAZO MUMEO ANAHITAJI KUZISIKIA KUTOKA KWAKO Chukua moja katika sifa na pongezi hizi 10 na umfurahishie mumeo leo. Vitu na mambo tunayoyasema yana athari kubwa kwenye ndoa zetu...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Kuna fursa ya biashara nimechungulia hapa mjini. Mimi sina mtaji.ila natamani kama tunaweza kuunda kikundi tuifanye. Inaitaji fuso moja na cash kama 30 m. Kwa kuanzia.ndani ya miaka 2 unakuwa...
0 Reactions
84 Replies
8K Views
Tendo la ndoa ni tendo la faragha ambalo ni sehemu ya mahusiano baina ya wapenzi wawili.Kitendo hiki adhimu kila mtu huwa ana namna anavyokichukulia na kukifurahia. Neno UCHIZI nimelitumia Kwa...
1 Reactions
50 Replies
9K Views
Habari wana jf Kuna jambo linaniacha nikijiuliza maswali mengi sana bila majibu Je instagram ndo sehemu Ya kutangaza privacy zenu? Kila kitu instagram inashangaza sana Mungu aturehemu sisi...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Back
Top Bottom