Black ma colour
JF-Expert Member
- Nov 28, 2012
- 733
- 664
hello mendez n Madonna.
I salute u in the great name of love.
leo nataka nishare na nyinyi jambo dogo lakini muhimu sana katika nyanja mbili,
yan mapenzi na usafi kwa wote .
WANAWAKE NA USAFI
-Jitahidi uwe na medicated soap like detto, tetmosal n the like, kuwa wakisasa, sio kutwa nzima kwenye mihangaiko kisha unaogea sabuni ya jamaa na maji yako ya kisimani yaliyo jaa chunvi balaa, ndugu mwili lazima uwe safi na tone yake ionekane, medicated soap huondoa harufu mwilini. thogh usitumie kila leo but walau 2 days in a week.
-jitahidi utumie dawa ya meno thabiti kama vile alovera ile halisi achana na hizi za elfu 1. usafi wa kinywa ni muhimu.
-kitambaa cha jasho, perfume ni muhimu.
-be simple, vaa pendeza epuka madorido mengi yasiyokuwa na maana. mwanamke umenyoa nyusi na umeweka kope bandia kama nguruwe pori,umejichubua, umejichora tatoo shingoni, mikononi, pia umevaa nguo zenu za mipira mipira na wigi lako la katani yani unaonekana kama kahaba mkongwe mwenye cheti cha uzamivu.
-Usafi wa unapolala ni muhimu saana, zingatia hilo, badilisha shuka mara kwa mara sio shuka unalalia siku nne kama kenge, na joto hili la mjini ni tabu tupu ndio maana mafua hayakuishi.
-usafi wa mwili na mazoezi ni muhimu saana, acha kukaa kizembe zembe, una tumbo kubwa kama
una mimba ya miezi 9, epuka kula kula hovyo kama nguruwe.
MAPENZI
-jitahidi uwe na chupi na sindiria kampuni moja walau pair 4, hii nyeusi, ile brown, kule nyekundu hapa nyeupe, usiende kwa bwana ako na chupi umenunua karume sokoni, sindiria umeokota manzese, chupi nyeusi afu sindiria nyekundu, dada angu wewe sio mganga wa kienyeji kama binti rukungu.
-be romantic during sex.
sio mwanaume anakuvua chupi unamuangalia usoni kwa jicho kali na kuanza kusema unataka kufanya nn kwa ukali, my dear kwani umesikia ghetto ni banda la sinema au wanauza vitumbua?, kubali tu kwa aibu aibu hivyo hivyo kiwizi wizi hata kama ushatoa mimba 6 toka mwaka huu uanze. si unajua wanaume mafala tupo wengi.
kipindi cha sex lia lia basi, hata kama mtu ana kibamia basi vumilia mama, ndo ukubwa huo.
WANAUME
-usafi wa mwili na kinywa ni muhimu.
-wallet yenye unene, sio ujaze vitambulisho na kadi feki hadi wallet inaoneka haikutoshi kumbe una elfu 2, huo ni utoto.
-jitahidi uwe VUMBI la CONGO kwenye wallet yako, huo ni uhai wako kimapenzi. nami nipo kwa ajili ya kukusaidia.
ts me,
al maaruf Kassongo-0713 92 45 81