Hivi kuna msemo wa kilofa unaouzidi msemo huu?

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
20,004
Reaction score
37,911
Kwa maoni yangu huu ndio msemo wa kilofa ulio katika kiwango cha juu kabisa cha ulofa na kwa wakati wote

ALIEKUPA WEWE NDIO ALIENINYIMA MIMI..

Siamini kama kuna msemo mwingine wa kilofa unao fikia viwango vya ulofa wa msemo huo hapo huu.

Watu wote wanao tumia msemo huo hapo juu wana sifa moja in common.." Ulofa" wa kiwango cha lami..

Personally I cannot keep a friend anae tumia msemo huo na ikitokea bahati mbaya nikaingia katika mahusiano ya kimapenzi na mwanamke halafu nikamsikia anazungumza sentensi hiyo basi nitampiga chini with an immediate effect..

I got a very negative attitude towards persons who use such kind of a sentence.

Kama una msemo mwingine wa kilofa wenye kiwango cha msemo huo hapo huu utaje mkuu tufanye comparison..
 
Kama ni muumin basi ni hivi aliyekufanya usizaliwe mbuzi tukanywa supu ndio huyo aliyekufanya usizaliwe panzi ukawa mlo wa kiku,au maana rahisi aliyekufanya usizaliwe Us ukala baga ndo amekufanya ushindie supu ya kongoro .........[emoji5]
 
Yan unamuacha mwanamke kisa anatumia huo msemo, hauko serious
Ndio kwa sababu mwanamke anaetumia msemo huo lazima atakuwa mchawi au mshirikina..I put 100% on this one
 
watapata tabu sana ,,, huu msemo ni wa kilofa exactly yan nikisikia mtu anasema hivo natakamani nimtie kibao au status za waxap natamani nimtie block alie post yaaan yan alooo!!!,
Kula tano
 
Kama ni muumin basi ni hivi aliyekufanya usizaliwe mbuzi tukanywa supu ndio huyo aliyekufanya usizaliwe panzi ukawa mlo wa kiku,au maana rahisi aliyekufanya usizaliwe Us ukala baga ndo amekufanya ushindie supu ya kongoro .........[emoji5]
Hapana mkuu don't use that sentence..itakufanya udharaulike
 
Back
Top Bottom