Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kwa uelewa wangu mdogo katika mahusiano ni kuwa wanaume wengi kama sio wote tunamuaproach dame huwa tunawaza tu sex, mambo ya kuoana huja baadae. Sasa basi katika kufanikisha hilo tunatumia kila...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Natafta Mke vigezo awe tayar kuolewa, mwislamu,umri 24-32,mawasiliano ni WhatsApp 0653290146.... CV .Elimu -bachelor ya education (elimu ya chuo) .Kazi-Nimejiajiri maduka ya cm bnafs .Cna gari...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari za Asubuhi wakuu [emoji117][emoji16]Angalia hoja za baba na mama kila mmoja anadai ni wake[emoji23][emoji116][emoji818] Mume alimpa mkewe talaka wakaenda mahakamani ili hakimu aamue nani...
1 Reactions
9 Replies
4K Views
Ni ukweli usiopingika kuwa asilimia kubwa za ndoa za wazee wetu zilikuwa zinadumu sana ukilinganisha na sasa!ni sababu kubwa nadhani ni hii! Wazee wetu hawakuwa lele mama ni watu waliokuwa na...
4 Reactions
29 Replies
3K Views
Mimi nikijana sijafikisha umri wamiaka 30 bado nipo chini yahapo. Nimekuwa kwenye mahusiano permanent kama mawili toka nibalehe nakatika hayo mahusiano yote wao ndio walikuwa wameshikilia penzi...
0 Reactions
42 Replies
4K Views
(Wadada wenye tabia hii mnisamehe) Kuna wadada huku wamejiajiri fb kupitia ugonjwa au kwa kutokuwa na ajira (kazi). Mdada ana friends 5000, kati ya hao tuseme anaweza kuchat na watu 3000. So...
7 Reactions
26 Replies
2K Views
Wakuu nianze hivi, mimi miez kama mitatu imepita nlikuwa nakatiza kariakoo-mtaa wa Agrey na mshikaji wangu mara akapita binti mkali jamaa akanishtua nimwangalie ( kama ilivyo hulka ya wanaume...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Neno la kwanza ambalo huwa unamwambia mpenzi/mke/mume wako asubuhi kukikucha ni lipi?
0 Reactions
92 Replies
18K Views
soma hii[emoji23][emoji116][emoji818] [emoji1505]the world is not fair Unapiga kilimo chako unamsomesha girlfriend anafika chuo anakutana na msomi mwenzake anarudi anakwambia unanidai shilingi...
1 Reactions
16 Replies
1K Views
1. Single and searching 2. Single and not searching 3. Taken and searching 4. Taken and not searching 5. Taken yet single 6. Single yet taken
0 Reactions
77 Replies
5K Views
Jamaa alikuwa kwenye daladala pembeni kuna dada mrembo kakaa. Kamlia timing kwa muda kisha halafu akamuuliza "Samahani dada unaitwa Google?". Dada: "hapana, kwanini umedhani naitwa hivyo?". Jamaa...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Salamu wakuu, Naanza na wanaume wenzangu, kutwa nzima upo Jf na kushindana kupost na mama wa nyumbani, kazi unafanya saa ngapi? Bora hizo posts zingekua za maana, kila siku comments "wanakuja"...
14 Reactions
77 Replies
5K Views
Ulimuona binti ukampenda ama ukamtamani mie sijui, ukamfuata na kumtongoza lakin akakukataa kwa vile alikuwa hajui kama unampenda kweli, lakini kutokana na umahili wako wa ulaghai ukamdanganya...
5 Reactions
19 Replies
2K Views
Nimeona niwashirikishe hili tukio ambalo limeota kasi sana siku za hivi karibuni,wanaume nini hasa sababu ya kupiga magoti,na kwa wanawake huwa mnatuchuliaje tunapofanya hili tendo.Nawakaribisha...
0 Reactions
25 Replies
5K Views
Habari za time hii wadau wa MMU. . Naomba wake kwa waume ladies and gentlemen kwamba wale ambao walifanya vitu vingi kwa girlfriend au boyfriend wako enzi hizo kwa kutegemea utakuja kuolewa au...
0 Reactions
25 Replies
2K Views
Heri ya sikuku ya EId wana MMU niende kwenye mada moja kwa moja. Kuna ka binti fulani cha mtaa wa pili karibu na mtaa ninao fanya kazi nili anzisha naye mahusiano 2017 mwishoni. Binafsi nili...
1 Reactions
55 Replies
4K Views
Huwa inaumiza sana. Huenda ilikuwa kupitia ujumbe mfupi wa maandishi ama alimtuma rafiki yake kipenzi aje akupe hii taarifa au labda kwa kinywa chake pasipo kujali hisia zako hata kidogo...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
habari zenu wadau, hivi wewe kama mume au mke, girlfriend au boyfriend siku inatokea unamfumania mpenzi wako na anajivinjari na mtu mwingine ni maamuzi gani uanachukua hapo kwa papo na kwa wale...
1 Reactions
55 Replies
5K Views
kwenye simu nikiwa kwenye corridor za posta mpya. Mimi: Boss njaa inanisumbua naenda kula kwanza Boss: Ukitoka kula nenda kajiandae na safari ya dodoma kesho Mrembo kisu ile mbaya akiwa karibu...
0 Reactions
4 Replies
759 Views
Back
Top Bottom