Umeshawahi kujiuliza ni kwanini ndoa zilidumu?

Muuza simu used

JF-Expert Member
Aug 23, 2017
4,393
7,039
Ni ukweli usiopingika kuwa asilimia kubwa za ndoa za wazee wetu zilikuwa zinadumu sana ukilinganisha na sasa!ni sababu kubwa nadhani ni hii!

Wazee wetu hawakuwa lele mama ni watu waliokuwa na msimamo pia ilikuwa hakuna ugentleman wala nini!
Ndugu yangu ukimdekeza mwanamke wa kiafrica utapata tabu saaana!
Leo ukimsaidia kuosha vyombo kesho atakwambia ukapike kesho kutwa atakwambia umfulie!
Ndio maana baba zetu walitukataza kwa nguvu zote tusifanye kazi za kijingajinga kama kuosha vyombo,kupika n.k wakati Dada zako wapo au jinsia ya kike!

Wanawake wa kiafrica ili muelewane vizuri ishi nao kibabe akizingua vibao akizingua tena mateke na akizingua tena piga chini!
Sasa jifanye wewe ni Gentleman ukeshe unalilia kwenye social media! Mara mke wangu hv Mara vile!
Nyumba za siku hizi akiwepo baba haijulikani wala asipokuwepo haijulikani!

Sent by Diaspora
 
Wacha weeeee. Danganya tu wenzio Mkuu.

Sababu kwa utandawazi huu na Madawati yaliyojaa hakuna mwanamke mwenye kuvumilia kipigo eti ili ndoa ipate kudumu lol.

Karudie tena kautafiti kako ujue walidumu ndoani kwa sababu gani na si hicho ulichokiandika Mkuu.
 
Wanaume siku izi wengi hawana akili za kuwaishi wake zao.

..sasa kama mtu anamtaman beki tatu??? NDOA ATAIWEZA WAKAT AMBAO MKE KAJIFUNGUA?????

haya marafiki nao wamekua wahovyo hovyo ,ukikuta jamaa zinapiga story ,basi wee usochepuka unaonekana falaaa.

Zaman ilikua mwiko wanaume kushauriana ujinga.

Lkn njooo HUMU JF wanaume ndo wanaongoza kushauriana ujinga hahay

Ukiwaponda utasikia wanakuuliza "Umeoa?" .... Oa kwanza "...

Achen kusingizia wanawake , REACTION YA MWANAMKE HUTEGEMEA ACTION YA MWANAUME .

ofcoz, Uanamme nilazima uonyeshe naijulikane ndan ya familia wewe ni Baba..... Sio unatukanwa ovyoovyo malayaa msengee weewe weee shoga nn? ALAFU UNAKAA KIMYA ....
 
Wengi wao ni kabila moja, dini moja na hata wakati mwengine wanatoka vijiji vya karibu na koo zao unakuta zinafahamiana kabla hata ya ndoa, kwahiyo hakuna jipya au la ajabu linalofanywa na mmoja wao kwa mwengine kwa asilimia kubwa ndoa zao hazikua za majaribu au kubahatisha .
 
Well said

Ni kweli kabisa mkuu

Sent by Diaspora
 
Ni ukweli usiopingika kuwa asilimia kubwa za ndoa za wazee wetu zilikuwa zinadumu sana ukilinganisha na sasa!ni sababu kubwa nadhani ni hii!

Wazee wetu hawakuwa lele mama ni watu waliokuwa na msimamo pia ilikuwa hakuna ugentleman wala nini!
Ndugu yangu ukimdekeza mwanamke wa kiafrica utapata tabu saaana!
Leo ukimsaidia kuosha vyombo kesho atakwambia ukapike kesho kutwa atakwambia umfulie!
Ndio maana baba zetu walitukataza kwa nguvu zote tusifanye kazi za kijingajinga kama kuosha vyombo,kupika n.k wakati Dada zako wapo au jinsia ya kike!

Wanawake wa kiafrica ili muelewane vizuri ishi nao kibabe akizingua vibao akizingua tena mateke na akizingua tena piga chini!
Sasa jifanye wewe ni Gentleman ukeshe unalilia kwenye social media! Mara mke wangu hv Mara vile!
Nyumba za siku hizi akiwepo baba haijulikani wala asipokuwepo haijulikani!

Sent by Diaspora
Zama zimebadilika sio kila homa ni maralia....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli mkuu, siku hizi mwanaume ukikasirika na ukamgombeza mwanamke lazima ajibu au kubisha hata zaidi ya mara mbili. Wakati enzi za wazee wetu hilo ni kosa kubwa la kiufundi, maana mkong'oto utakaofuatia majirani wasipowahi hali inakuwa mbaya.
 
Wanaume siku izi wengi hawana akili za kuwaishi wake zao.

..sasa kama mtu anamtaman beki tatu??? NDOA ATAIWEZA WAKAT AMBAO MKE KAJIFUNGUA?????

haya marafiki nao wamekua wahovyo hovyo ,ukikuta jamaa zinapiga story ,basi wee usochepuka unaonekana falaaa.

Zaman ilikua mwiko wanaume kushauriana ujinga.

Lkn njooo HUMU JF wanaume ndo wanaongoza kushauriana ujinga hahay

Ukiwaponda utasikia wanakuuliza "Umeoa?" .... Oa kwanza "...

Achen kusingizia wanawake , REACTION YA MWANAMKE HUTEGEMEA ACTION YA MWANAUME .

ofcoz, Uanamme nilazima uonyeshe naijulikane ndan ya familia wewe ni Baba..... Sio unatukanwa ovyoovyo malayaa msengee weewe weee shoga nn? ALAFU UNAKAA KIMYA ....
Hapa mzee ukitukanwa kama hivyo inabidi ufanyaje?
 
Back
Top Bottom