Ujumbe kwa wanaume wenzangu!

Ujumbe kwa wanaume wenzangu!

Lumbi9

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2014
Posts
8,784
Reaction score
12,592
Kwa uelewa wangu mdogo katika mahusiano ni kuwa wanaume wengi kama sio wote tunamuaproach dame huwa tunawaza tu sex, mambo ya kuoana huja baadae. Sasa basi katika kufanikisha hilo tunatumia kila aina ya maneno matamu ili ndege anase tunduni na kweli tunawanasa, lakini jambo moja muhimu la kuzingatia ni kuwa kama mwanamk amekuelewa hasa anaamini na kushika neno mojamoja unalomwambia, ndo wameumbwa hivyo achana na yale makurubembe yaliyokubuhu ambayo huwa hayajali kwenye mahusiano yenyewe huwa yanawaza tu hela. Sasa basi ikiwa unafahamu lengo lako kuwa ni kupata kipenyo tu usimuahidi binti wa watu vitu vingi mno na yeye kwa mapenzi yake anaamini yote kumbe wewe shida yako ukojoe tu, hata mimi mwanaume pia nafahamu lengo langu ni kumtawanya tu mwanamk sasa sio kumjaza mtoto wa watu maneno matamu na ahadi za kila namna, akikupa game mbili tatu unayeya, tunawaumiza sana hawa dada zetu, kama dame hakuelewi achana nae hutowamaliza wote kuliko kumpa matumaini hewa, jifikirie kuwa ni wewe unadanganywa hvo utafeel aje? wanawake ni watu wanaoeweza kujifanya, usimuone ana furaha usoni lakini wengi wana maumivu ya maneno yetu matamu. Kumbukumbu zinaumiza mno.
 
Nadhani MOYO wako BADO HAUJAWA NA VIDONDA vilivyo sababishwa na hawa VIUMBE WANAWAKE,, hawa ukiwapatia NAFASI usiwahurumie,,,BINYA HASWA,,,tekeleza haswa majukumu yako kama DUME,, wakikushika PABAYA hata UPIGE MAYOWE VP HAWANA HURUMA HAWA,,,,,,,kwann wewe Uwahurumie?MWANAMKE kukwambiya HUNA HADHI,,KIBAMIA,,ALIKUWA ANAKUCHUNA tu,,huna NGUVU ZA KUMPA mimba,,,hata kama ni mkeo wa ndoa,,,hayo ni kawaida kuyasikia kwake,, anapokuchoka,,,sasa huwa tunawawahi,,BEFORE HAJAKINAI ,TUNAWAHI KURUKA,,,yeye bado akidhanj SAFARI YA MAHUSIANO INAENDELEA,,watu hatari sana hawa,,,Mimi nishasomesha 3 Chuo na mwisho napigiwa SIMU NA MIDUME.,,MWANAMKE kukwambiya nipeleke kwa mama mdogo ,,,Leo nalala huko huko kumbe unampeleka kwa DUME LENZIO hayo ni kawaida kwao ,,kukupiga KIZINGA,,kumbe ANAMPA PESA DUME LENZIO ni kawaida sana , ,,BABY SIMU imeibiwa kumbe KAMPA KIDUME,,ni jambo LA kawaida,,,ukiwa nae MKUU FUMUA HADI KOLA sio MARINDA PEKE YAKE....then muwahi,,,shuka kwenye TUTA,,,MWACHE aendelee na safari YAKE ISIYOJULIKANA,,,,maana siku zote MWANAMKE hajuwi mwanaume wa maisha YAKE. ,,wala hujuwi mwanaume atakaye muoa,, kumuhurumia MWANAMKE ni sawa na kumuhurumia mwizi akiwa anapigwa,,,sababu hayajakukuta ya KUIBIWA,,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom