INAWAHUSU_WANAUME

INAWAHUSU_WANAUME

moyafricatz

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2015
Posts
2,905
Reaction score
4,948
(Wadada wenye tabia hii mnisamehe)
Kuna wadada huku wamejiajiri fb kupitia ugonjwa au kwa kutokuwa na ajira (kazi). Mdada ana friends 5000, kati ya hao tuseme anaweza kuchat na watu 3000.

So wadada hawa wanachofanya ni kirahisi mno (ukizingatia wanaume wengi humu hutumia muda mwingi kuomba namba za simu),anaweka status ya AM SICK, NIOMBEENI au NA HILI LITAPITA au EEH MUNGU NISAIDIE, etc. Hapa anajenga mazingira ya watu kumfwata messenger kumuuliza nn kinakusumbua, sasa hapo ndipo anapowafanya nyinyi wajinga (wanaume) anakwambia anaumwa sina hata 10, na anatakiwa kununua dawa ya elfu 3.

Sasa kwa akili yako fupi ya kufikiria unaona mbona buku 3 ndogo, haya unapewa namba unarusha buku 5. Matokeo yake ni kwambia, watu elfu 1 au 2 mliambiwa hivyo hivyo, na kati ya hao assume watu 300 wamekuwa wajinga na wakatuma hela kama ulivyofanya ww. Hapo tayari ana laki 9, na hapo sio wote wametuma buku 3, wengine 5 mpaka 20.

Sasa kwa siku kaingiza laki 9, kwa mwezi ANAWAVUNA sh ngapi!!?? Na ukishtuka unakula block. Na hapo bado mnaojifanya kutuma nauli mtu awafwate (hv mnatumiaga akili kifikiria kweli) Hebu WANAUME tumie muda mwingi kutafakari hili, maana buku 3 yako ndio imefanya wana magari na nyumba. Hii yote ni kwasababu ya kujua UDHAIFU wa wanaume walionao kupitia SOCIAL MEDIA. #UshauriWaLeo #Wanaume #Wanaume

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo kweli mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo mwanamke unayemtumia 3k anaweza kuwa nani kwa mfano? stranger? exgf? au waubani?

kila nikitaka kuchangia, nafuta...au basi
 
inawahusu "TEAM MAFISI" sio WANAUME.
kuna wasiojielewa wao kila chick mtandaoni wanataka ukaribu naye au kutongoza, huo ni upumbavu, yani tabia za kujikombakomba kwa mademu, kuomba namba kila siku, kujifanya mhongaji hodari ni utoto tu huo wala sio uanaume.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
(Wadada wenye tabia hii mnisamehe)
Kuna wadada huku wamejiajiri fb kupitia ugonjwa au kwa kutokuwa na ajira (kazi). Mdada ana friends 5000, kati ya hao tuseme anaweza kuchat na watu 3000.

So wadada hawa wanachofanya ni kirahisi mno (ukizingatia wanaume wengi humu hutumia muda mwingi kuomba namba za simu),anaweka status ya AM SICK, NIOMBEENI au NA HILI LITAPITA au EEH MUNGU NISAIDIE, etc. Hapa anajenga mazingira ya watu kumfwata messenger kumuuliza nn kinakusumbua, sasa hapo ndipo anapowafanya nyinyi wajinga (wanaume) anakwambia anaumwa sina hata 10, na anatakiwa kununua dawa ya elfu 3.

Sasa kwa akili yako fupi ya kufikiria unaona mbona buku 3 ndogo, haya unapewa namba unarusha buku 5. Matokeo yake ni kwambia, watu elfu 1 au 2 mliambiwa hivyo hivyo, na kati ya hao assume watu 300 wamekuwa wajinga na wakatuma hela kama ulivyofanya ww. Hapo tayari ana laki 9, na hapo sio wote wametuma buku 3, wengine 5 mpaka 20.

Sasa kwa siku kaingiza laki 9, kwa mwezi ANAWAVUNA sh ngapi!!?? Na ukishtuka unakula block. Na hapo bado mnaojifanya kutuma nauli mtu awafwate (hv mnatumiaga akili kifikiria kweli) Hebu WANAUME tumie muda mwingi kutafakari hili, maana buku 3 yako ndio imefanya wana magari na nyumba. Hii yote ni kwasababu ya kujua UDHAIFU wa wanaume walionao kupitia SOCIAL MEDIA. #UshauriWaLeo #Wanaume #Wanaume

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu umelenga mulemule mingine ni midume inafanya hivyo..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom