Mjamzito....

Mjamzito....

definition

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2013
Posts
972
Reaction score
1,584
Heri ya sikuku ya EId wana MMU

niende kwenye mada moja kwa moja. Kuna ka binti fulani cha mtaa wa pili karibu na mtaa ninao fanya kazi nili anzisha naye mahusiano 2017 mwishoni. Binafsi nili mfanya kam mchepuko waku malizia genye japo bado sijao na yeye alikuwa ana litambua hilo.

kama mwezi na week 2 zikizo kwisha ali nitunuku papuchi getto kwangu na ndiyo ikawa mara yake ya kwanza kupajua kwangu. Basi toka mda huo sikuwahi wasiliana naye adi week ikiyo kwisha nilipo ona txt yake akilalama kuwa hali yake ya kiafya siyo nzuri.

Nkaona isiwe tatizo kwakuwa mm ni medical personnel ni mwite ni mfanyie vipomo . Basi binti akawasili nika chukua damu nikapma vitu vyote badae wazo lika nijia nifanye pregnancy test kwaku tumia serum hapo ndipo nilipo data nkakuta pregnancy +ve.

majibu nkampa lakini sijataka mwambia kuwa ana ujauzito. Sasa nimebaki njia panda inawezekana mtoto wa kike akawa na ujauzito wa kama week 6 bila kujua??

je baba wa mtoto ni mimi?

ikumbukwe huyu msichana kabla yaku vunja naye amri ya 6 ali safiri kwenda kwao tanga kama miez 2!!

je nimwambie kama yupo kwenye hiyo hali? Tatizo na hofia nkisema tu lazma ni bebeshwe zigo hilo!

ila ninacho tambua ni kuwa binti ana nipenda ila mm ndo kwanza paka wa mpishi kila chungu na funua!!
 
Hicho kiumbe chako ndugu, na watoto wa design hiyo hufanana sana na baba zao
 
Mwambie mapema ajitambue kinachomkabili, ila usikimbie majukumu ya kulea.
 
Mwambie kuhusu hali yake ya hujauzito...wenda akakwambia mvunje mahusiani yenu kwasababu ana mpenzi wake mpya..Usiishi kwa kukariri wanawake wanatofautiana mkuu..

Kadiri unavyochelewa kumwambia, ndivyo anavyochokana na jamaa yake wa kisambaa. Wakishachokana, anarudi kwako na kukutupia mzigo....

utaja ukumbuka huu mchango, kama utapuuzia
 
Mkuu wa medical sasa tatizo lipo wapi kama uligegeda bila kutumia kinga na wazungu ukamwagia kwenye papuchi basi mzigo ni wako. Anza kutunza akiba usije ukaaibika. Ohooo!
 
Back
Top Bottom