Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Nadhani wanaume wengi tunapitia hii changamoto hii hasa kwa wanawake wa kiafrica(wanawake wa kizungu hawana time)ni swali lao pendwa .... Hivi una mpango gani na Mimi unataka kuniowa au unataka...
3 Reactions
84 Replies
4K Views
Life goes very fast, tunajifunza kwa njia na mbinu mbalimbali za maisha. Maisha yanatufundisha mengi, kutafuta pesa, mapenzi, kutendwa, kuumizwa,kupata mali, kufilisika, kuinuka na kusonga mbele...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Mtoto kaona je wewe umeonaa Sent using Jamii Forums mobile app pkease Change my Name to mkuu wa kaya
0 Reactions
9 Replies
4K Views
kama mtanzania na mwana JF mwenye ubinadam nimeona leo niwakumbushe wenzangu kuhusu hili balaa japo najua mnajua. wanasema ushuhuda ni moja ya mawaidha.. leo natoa ushuhuda: 1. Mwaka 2001 nikiwa...
7 Reactions
36 Replies
4K Views
Mimi ni kijana mwenye Umri wa Miaka 28 natafuta Mke, sina kazi maalum Bali ni mpambanaji. Ni mrefu wa wastani, Nina Mwili ambao ni Presentable na Watu wanapenda kuniiita Gurdiola wa Tz. Kwa sasa...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Habari wakuu kwa sasa niko katika hali ngumu sana kimaisha kutokana na umri wangu kukua kwa kasi huku nikiwa sina ninachomiliki katika maisha. Hata hivyo mie ni graduate tangu mwaka 2016 (BAed)...
8 Reactions
100 Replies
11K Views
Life goes very fast, tunajifunza kwa njia na mbinu mbalimbali za maisha. Maisha yanatufundisha mengi, kutafuta pesa, mapenzi, kutendwa, kuumizwa,kupata mali, kufilisika, kuinuka na kusonga mbele...
0 Reactions
2 Replies
855 Views
Hizi ni tabia ambazo zimeanza kuwa sugu kwa watoto wa kike ambazo kwa bahati mbaya hazina faida na ndizo chanzo kikubwa cha watoto wa kike wa miaka hii kufeli katika mahusiano na kuwa na maisha...
5 Reactions
13 Replies
3K Views
Mambo yawe hivi Aseeh Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
612 Views
Habari wakuu .. hii sio thread ya kuchekesha Ila nimeona ni vizuri nikiwashirikisha.. kwa muda mrefu sana niliamua kutulia nitafute pesa za kupambana na Hali ya sasa ya uchumi..sikutaka...
2 Reactions
38 Replies
3K Views
Hi wanajamii, Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 27 ninaomba ushauri wa kuweza kunisaidia kuondokana na tatizo nililo nalo la kutembea na mume wa mtu. mwaka 2000 nilianza form one kwenye...
7 Reactions
181 Replies
32K Views
Kuna usemi usemao mapenzi ni upofu, kupenda huamuliwa na ubongo na ubongo huohuo hujiundia kanuni kwa yule umtakae lakini mara nyingi hili huwa halitekelezeki. Watu wengi hujiwekea kanuni katika...
5 Reactions
93 Replies
5K Views
Habari wapendwa. Niko na 46yrs, divorced man with 2 kids. Nahitaji mwanamke kuanzia 35 and above tutakae kubaliana na matakwa yetu. Naendesha biashara yangu ndogo, na nina maisha yangu ya kawaida...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Yaani mapenzi sijui ni nini hata. Nimekuwa na mpenzi wangu kwa muda tunapendana na tuna mipango mingi. Nimeridhika naye sana sijawahi kuwaza kuwa ipo siku nitamsaliti. Kuna kaka tunafahamiana...
3 Reactions
96 Replies
6K Views
Wanajamvi salama?! Kama kichwa cha habari kisemavyo, naomba kuuliza hili swali, ni nini maana sahihi ya 'nguvu za kiume'?! Nimeuliza hivi maana nahisi napataga tafsiri zinazochanganya mara nyingi...
0 Reactions
24 Replies
5K Views
Habari wakuu Katika Mahusiano kuna Miteremko na Miinuko kuna wakati kunakua na mitafaruko ya hapa na pale inayoweza kupelekea ugomvi baina ya wapenzi. Endapo mwanaume utakua katika ugomvi na...
0 Reactions
58 Replies
5K Views
Hakuna kitu kisichokuwa na changamoto duniani, mapenzi/mahusiano ni mojawapo wa vitu hivyo. Kwenye mapenzi watu wanapitia vitu vingi sana, mengine yanafurahisha, mengine yanaumiza. Unakuta mtu...
1 Reactions
29 Replies
5K Views
Naleta uzi huu kwenu wakuu naomba mnisaidie hapa mimi nilimpenda binti mmoja hapa dar esalaam nikaja kumuoa ikabidi nifuate taratibu zote kama kawaida lakini mahari mzee baba milion 5 naishi...
0 Reactions
1 Replies
554 Views
Habari za jioni wadau...? Nimepata Taharifa ya Habari kutoka Zanzibar. Ni kwamba Mwanaume mmoja mwenye Umri wa miaka 43 ameukumiwa kunyongwa mpaka kufa. Kwa kumuua mkewe kwa kukusudia. Mwanaume...
0 Reactions
71 Replies
7K Views
Naleta huu uzi kwa masikitiko makubwa sana juu ya unyanyasaji wa wanawake unaondelea maeneomengi sana kwenye mfumo wetu dume, mwanaume ukiona hupati mtoto kwenye ndoa miaka kadhaa wakati unahitaji...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Back
Top Bottom