Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Nataka nianze kwa kusema kuwa mimi ni mzima kabisa. Na kama kungekua na dawa ya kupunguza nguvu za kiume ningetumia. Maana katika utu uzima huu wa 45+ bado nina uwezo wa kukimbia hata round tisa...
3 Reactions
55 Replies
7K Views
Habari Leo naungana na dada yangu Mwasity katika kile alichokiimba..... Leo nalivua pendo, nililopenda zamani Nabadili wangu mwendo, nami niwe furahani Nimechoshwa na vitendo, visa na...
7 Reactions
542 Replies
52K Views
Kuna Demu nilimuomba urafiki FB alipojibu Reguest nikachukua namba yake ya simu bila kumuomba nikamchek msg kawaida kajibu then nikampiga. Sasa leo nimemtongoza akaomba nimtumie oicha zangu...
1 Reactions
28 Replies
2K Views
Madai yake ni kwamba kama Mwanaume ana Mpenzi wake wa Kike halafu: Hamsaidii Kumlipia Dstv Hamnunulii Nguo Hamnunulii Luku Hamnunulii Chupi Hampigii Pasi Hamfulii Nguo Hampigii Deki Nyumbani...
7 Reactions
94 Replies
18K Views
Hebu napenda kupata mawazo yenu wadau maana unaweza kumfikiria vibaya mwanamke kumbe nyuma ya paziaa kuna vitu gani wanajaribu kuvificha au kutufichaa tusivijuee. Au papuchi ina utata maana...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Watu husema ongea na watu uvate viatu. This thing is killing me softly, labda wadau mnaweza kunisaidia. Kuna mtoto mmoja wa kike nilimpata mwaka jana, ofcourse nikam misuse sana na mambo kama...
1 Reactions
45 Replies
7K Views
Wasichana wazuri karibia wote ni single mom?
1 Reactions
9 Replies
1K Views
You can predict their future Jr[emoji769]
3 Reactions
10 Replies
2K Views
Mkasa huu umemkuta rafiki yangu wa karibu, ana umri wa miaka 35 kwa sasa na nimewaletea hapa jukwaani ili mumpe ushauri na kama kuna wengine wenye tatizo kama hili waelimike. Jamaa ni mtu mwenye...
4 Reactions
83 Replies
8K Views
"Baby I wish Uuze Nyumba yako ya Urithi uninulie ile Harier New Model kama ya shoga yangu,...Mimba imekua kubwa siwezi kutembea Mwendo Mrefu kwa Miguu..I love U Chogo" Sent using Jamii Forums...
1 Reactions
23 Replies
3K Views
Toka saa saba na dakika 20 nmeamka usiku mpaka muda huu nipo macho.nina demu amekuja kwangu nalala naye week sasa na siku kadhaa.ni mzuri na amechangamka sana kitandani.huwa tukija chumbani ile...
0 Reactions
42 Replies
5K Views
Mambo mengine yanaudhi sana na kukarahisha. Toka last weeke nilikuwa nmemweka sawa huyu dada kuwa weekend hii nami nikale mzigo.maana tumekuwa na mapenzi ya kihindi week mbili sasa. Akakubali...
10 Reactions
107 Replies
10K Views
A salaam allekyum ndugu zangu waislamu,heri ya sikukuu,na wakristo wenzangu salamu kwenu nyote Ipo hivi ndugu zangu nina Rafiki yangu kabisaa ambae nae ana mpenzi wake na huyo mpenzi wake...
0 Reactions
55 Replies
4K Views
VITU NANE VYA KIPUMBAVU AMBAVYO WADADA HUFANYA KWENYE MAPENZI 1.Kuishi na mwanaume ambaye ajakutolea mahari au kukuoa. Hii inachoma lakini ndio ukweli wenyewe. Usiwe mjinga. 2. Kukubali kuwa mke...
35 Reactions
160 Replies
24K Views
[emoji113] Habari za Asubuhi waungwana wakubwa shikamoni [emoji113] [emoji117][emoji16] Madogo wa sikuizi ni kiboko, cheki huyu alichokifanya akiwa darasani na mwalimu...
0 Reactions
4 Replies
823 Views
Ndipo utaelewa umeoa au umeolewa Sent using Jamii Forums mobile app pkease Change my Name to mkuu wa kaya
0 Reactions
7 Replies
2K Views
A good woman is hard to find. Nowadays you have to steal her from a guy who doesn't know what he has Sent using Jamii Forums mobile app
3 Reactions
16 Replies
3K Views
Habari za mda huu wakuu wana MMU natumai mu wazima na mnaendelea vyema kuijenga Tz ya viwanda. Tikiwa tunaendelea kufarijiana na msiba wa dada yetu kipenzi J. Magufuli naomba nowape kisa changu...
4 Reactions
94 Replies
8K Views
Alikuwa ni rita niliyempenda zaidi pale kazini kwetu , kazi yake sikujua ni nini haswa , lakini nilimwona mara kwa mara akipita huku na kule katika shuguli , mimi kazi yangu ilikuwa ni nyingine...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wana MMU habari zenu. Nijulisheni ulazima au umuhimu wa mwanaume kukata kiuno kwenye game. Mimi binafsi naona anazingua na kuniondolea mood in short nakereka kwa kweli.
7 Reactions
268 Replies
47K Views
Back
Top Bottom