Dah kweli nimeamini kupata mke/mme sio kama mchezo wakuigiza

flulanga

JF-Expert Member
Jul 1, 2016
4,861
6,342
Mimi nikijana sijafikisha umri wamiaka 30 bado nipo chini yahapo. Nimekuwa kwenye mahusiano permanent kama mawili toka nibalehe nakatika hayo mahusiano yote wao ndio walikuwa wameshikilia penzi kwamaana hiyo me nilikuwa nipo nipo tu.

Sasa kwasasa hivi najihisi mpweke sana yaani ile kurudi geto nakuta doro nipo me kama me tu bila sapoti yoyote kiukweli najihisi vibaya sana yaani najisikia mwenyewe kutoka ndani yamoyo wangu kuhitaji mwenza wamaisha nahali hiyo imenianza hivi karibuni ila kabla yahapo nilikuwa sina mpango kabisa wakuishi namwanamke nanilikuwa najiambia bado sana kuja kuishi namke ila hali imebadilika hivi karibuni.

Sasa tatizo lipo hapo kwenye kupata huyo mwenza wamaisha yaani najihisi namtihani mzito sana yaani sana wakati kipindi chanyuma nilikuwa naona nikazi ndogo sana endapo nikihitaji kuoa yaani nilikuwa nahisi wanawake wapo tu hata nikihitaji kuoa leo kumbe ndivyo sivyo. Naona manyota nyota aisee, najiona kabisa sipo sawa kuishi pekeangu

Najua humu kuna jinsia zote nakila mmoja wetu anamawazo yake mkichwa, najua wanawake wahumu ndio hao hao tupo nao huku mtaani ila sasa wamtaani uwezi kujua nani mkweli nanani analengo lamaisha nanani analengo lakula ujana ila humu naamini kabisa wapo wanawake wakweli wengi tu kuliko matapeli japo kuwa namatapeli wapo humu

Kwaheshima natahadhima natafuta mke humu jf nasehemu zote ninazozungukia yaani kwalugha nyepesi natega potepote

Sifa zangu
-nimuhaminifu
-sio mfupi wala mrefu
-nipo chini yamiaka 30
-sio mweusi wala mweupe/ maji yakunde
-elimu yangu nikusoma nakuandika 4m4 failed
-mtafutaji/ nimejiajiri mwenyewe kwamtaji usiozidi milioni 1

Sifa zanimtakae
-Awe mkristo
-asizidi miaka 30
-ajue kusoma nakuandika
- awe mtafutaji hasa bila kujali usawa wakijinsia
-awe nahofu yamungu

Kama upo tayari njoo pm nikupe mawasiliano yangu nipo kanda yamagharibi. Asanteni sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanamme akilia mjue amepatwa na taabu kwelikweli, vipozeo vyetu njooni haraka muokoe jahazi karibu linazama huku.
 
Nilijua tuu

Mkuu umeanzia mbali. Kumbe maneno yote hayo ulikuwa unataka useme unatafuta mchumba.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom