RASCO BOY
JF-Expert Member
- Jul 29, 2018
- 428
- 485
Habari za Asubuhi wakuu
[emoji117][emoji16]Angalia hoja za baba na mama kila mmoja anadai ni wake[emoji23][emoji116][emoji818]
Mume alimpa mkewe talaka wakaenda mahakamani ili hakimu aamue nani akae na mtoto.
MME: Akasimama akauliza hivi: Mheshimiwa hakimu hivi nikichukua ATM card nikaingiza kwenye mashine ikatoa pesa, sasa pesa zitakuwa ni za ATM au zakwangu?
MKE: Akasimama na kusema: Mheshimiwa hakimu hivi ukimwaga mbegu ktk shamba la mtu mti ukiota utakuwa wa kwako au wa mwenye shamba?.
Hebu tumsaidie hakimu aamue kesi hii…
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app pkease Change my Name to mkuu wa kaya