Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Nina rafiki ambaye alimpa mimba msichana aliyekuwa akiishi naye kwa takribani miaka 3 hadi 4. Baadaye alipata kazi mbali na eneo walilokuwa wanaishi. Alipofika kwenye eneo lake jipya la kazi...
7 Reactions
54 Replies
631 Views
Natafuta mke umri 30+ Umri wangu 41 Watoto 2 Sms kujibiwa 0792045560
0 Reactions
1 Replies
137 Views
Yafurahisha hisia, kwa mfereji maringo. Kurambwa hadi safia, mrembo wenye mpango. Maji yaweza pitia, ndani ya fumbo kiungo. Mfereji majinono, wasafiwa kwa ulimi. Mfereji wa heshima, ule wa kingo...
4 Reactions
26 Replies
412 Views
Kibongo bongo ukiacha wasanii kuna hili kundi la wachezaji na wanamichezo mbalimbali ikiwemo ngumi and so on udhaifu wao ni kipochi.... aiseee Hatuwezi kuwa na watu wengi wawakilishi nje huko au...
9 Reactions
44 Replies
530 Views
Hii ni simulizi fupi ya kweli ya mahusiano yangu na ndoa yangu,naomba wengi tujifunze na kushauri pia. Mimi ni baba wa watoto watatu naishi na familia yangu kwa miaka kumi sasa,katika maisha yetu...
19 Reactions
55 Replies
2K Views
🤔 Unakuta mdada ana 35+ anakuuliza "kama hautaki kunioa niambie" sasa unajiuliza hao aliopita tangu akiwa 18 mbona akuwaambia wamuoe akiwa bado kigori
1 Reactions
14 Replies
221 Views
Kama wewe si mmojawapo basi kwa vyovyote kuna mtu unamfahamu mwenye hili tatizo. Anaweza kuwa ndugu jamaa ama rafiki. Ni jambo baya na lenye kutatiza mno. Watoto wa mtaani wanasema KIMAVI. Mind...
107 Reactions
262 Replies
75K Views
Sitawai kupenda mwanamke wala kuoa maisha yangu yote mpaka kifo.nimeapa na damu yangu sitawahi kuthubutu kupenda.
4 Reactions
17 Replies
225 Views
Naomba kufahamu kwa undani kuhusu wanawake wa kinyantuzu kutoka bariadi simiyu
0 Reactions
5 Replies
74 Views
https://www.jamiiforums.com/threads/ushawahi-kujichanganya-kimapenzi-mpaka-ukawa-unawaza-hapo-nyuma-ulikosea-wapi.2291358/ Kwema wanafamilia.... Maisha haya hayana mapumziko, hasa hasa sisi...
20 Reactions
111 Replies
9K Views
Kuna baadhi ya Vijana sasa hivi wanadai Kuoa ni kukaribisha matatizo, hivi ni kweli kuoa ni kukaribisha matatizo?
0 Reactions
19 Replies
155 Views
Naomba ushauri kuhusu changamoto yangu ya ndoa Ninaishi na mke wangu, lakini kuna jambo ambalo limekuwa likinisumbua kwa muda na sijui nifanye nini. Katika maisha yetu ya ndoa, mara nyingi ni...
14 Reactions
209 Replies
4K Views
Bado tuh nauguza majeraha.maasai nilidanganywa na shepu nikakutana na mkibosho. penzi lilishamir ila mazoea yalipozidi akaanza dharau na matusi.mim...
21 Reactions
60 Replies
1K Views
Kwa kikwetu mwanamke akikutukana unaruhusiwa kumwadhibu maana mke ni kama mtoto kwa kikwetu.mwanaume anafaa aheshimiwi maana n kichwa.
2 Reactions
21 Replies
242 Views
Inapotokea kwenye mahusiano kuna sintofahamu ya aina yoyote, hapo ndio strength ya bond huwa inapimwa. Mengi hutokea, usaliti, dharau, uongo n.k ambavyo vinaweza pelekea uhusiano kuvunjika. Na...
14 Reactions
107 Replies
7K Views
JE KUNA UKWELI WOWOTE KWAMBA KIPATO CHA MWANAMKE KIKIONGEZEKA HUWA CHANZO CHA KUONYESHA DHARAU NA KIBURI? Swali hilo linaweza kuwa na majibu aina mbili ndiyo na hapana kwa wakati mmoja. kwa uzoefu...
8 Reactions
29 Replies
2K Views
Kuna mama fulani wa makamo anauza genge maeneo ya karibu na mtaani kwangu. Ni mama mcheshi kiasi. Huwa napita kununua matunda kwahiyo nimezoeana nae kidogo. Wiki kadhaa zikizozipita, wikiend moja...
28 Reactions
490 Replies
6K Views
Binafsi nilikuwaga na mpenzi wangu ambaye tulikuwa tunapendana Sana kwa kweli ya dhati Tulidumu kwenye mahusiano Yenye mapenzi tashtiti (furaha.utamu na faraja kero kidogo) kwa muda wa miaka...
6 Reactions
250 Replies
28K Views
Kama wewe ni mwanaume au kijana wa maisha ya kawaida au kipato cha chini hakikisha girlfriend wako awe anafanya kazi, ameajiriwa mahali , analima, anafuga au anafanya biashara, hamna hamna kabisa...
7 Reactions
11 Replies
200 Views
Hakyamungu, ndio maana huwa silali kwa watu
12 Reactions
24 Replies
420 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…