Mada yenye ukakasi: Wanawake wenye kinyama njia ya haja kubwa

Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Messages
118,425
Points
2,000
Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2012
118,425 2,000
Tuwiane radhi mno na isije kuchukuliwa kuwa naandika mambo yasiyofaa kwa kisingizio kuwa kuna watoto, lakini tukumbuke kuwa hii ni JF where we dare to talk openly!

Kila mtu ana changamoto nyingi katika maisha lakini zinapozidi kwa baadhi ya watu ujue kuna shida mahali...

Tumesikia mara nyingi kuwa kuna wanawake mlango wa nane! Yani ukiingia naye kwenye mahusiano kila kitu kinaparaganyika na kuandamwa na mikosi nuksi na balaa mpaka muachane

Sasa kuna hili la kinyama njia ya haja kubwa! Kinakuwa kama kimkia kidogo sana! Wanawake wenye hiki kinyama hawana bahati ya kudumu kwenye mahusiano. Ni watu wa kuumizwa na kutendwa kila mara! Furaha yao huwa ni ya muda mfupi tu na pale wanapojaribu kutafuta ufumbuzi kwa waganga hujikuta wameharibu kabisa kwa kubambwa na madawa hirizi nk na kuishia kuachwa kwa aibu.

Ni jambo la kushangaza kuwa kuna uhusiano gani kati ya kinyama husika na maisha ya mtu! Lakini hiyo ndio hali halisi.

Leo hakuna picha na naomba tusiulizane kuwa nimejuaje, wote hapa sisi ni watu wazima.

NB: Hiki si ugonjwa wala uvimbe kipo tu tangu kuzaliwa
 
chingaa

chingaa

Member
Joined
Jun 25, 2017
Messages
87
Points
125
chingaa

chingaa

Member
Joined Jun 25, 2017
87 125
Tuwiane radhi mno na isije kuchukuliwa kuwa naandika mambo yasiyofaa kwa kisingizio kuwa kuna watoto ,lakini tukumbuke kuwa hii ni JF where we dare to talk openly!
Kila mtu ana changamoto nyingi katika maisha lakini zinapozidi kwa baadhi ya watu ujue kuna shida mahali...
Tumesikia maranyingi kuwa kuna wanawake mlango wa nane! Yani ukiingia naye kwenye mahusiano kila kitu kinaparaganyika na kuandamwa na mikosi nuksi na balaa mpaka muachane
Sasa kuna hili la kinyama njia ya haja kubwa! Kinakuwa kama kimkia kidogo sana! Wanawake wenye hiki kinyama hawana bahati ya kudumu kwenye mahusiano ...ni watu wa kuumizwa na kutendwa kila mara! Furaha yao huwa ni ya muda mfupi tu....na pale wanapojaribu kutafuta ufumbuzi kwa waganga hujikuta wameharibu kabisa kwa kubambwa na madawa hirizi nk na kuishia kuachwa kwa aibu
Ni jambo la kushangaza kuwa kuna uhusiano gani kati ya kinyama husika na maisha ya mtu! Lakini hiyo ndio hali halisi
Leo hakuna picha na naomba tusiulizane kuwa nimejuaje, wote hapa sisi ni watu wazima

NB: hiki si ugonjwa wala uvimbe kipo tu tangu kuzaliwa
Tatizo ni hofu kwa wanaume.. Maana wanaona ni ajabu sana mtu kuwa na kamkia
 
Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Messages
118,425
Points
2,000
Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2012
118,425 2,000
Hata mimi nimewahi kuvisikia. Wahenga wanaenda mbali zaidi kwa kusema kwamba, mwanamkea aliyenacho kinyama hicho hata akizaa watoto wanakufa. Tiba yake huwa ni kukikata hicho kinyama na tatizo na mikosi inakwisha.
Ni kweli ishu hiyo ya uzazi ila kuhusu kuvikata sina hakika
 
The Chosen One

The Chosen One

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2017
Messages
3,593
Points
2,000
The Chosen One

The Chosen One

JF-Expert Member
Joined May 24, 2017
3,593 2,000
Hicho kinyama kina madhara yoyote
 

Forum statistics

Threads 1,335,564
Members 512,388
Posts 32,509,588
Top