🤣🤣🤣Mkuu embu tafuta kazi ya kufanya.!!
Wakati mnasubiri apate kazi, fanyeni kumshauri kuficha upumbavu wakeMkuu embu tafuta kazi ya kufanya.!!
Kwahiyo mkuu ndo umejiahili kwa mishangazinimemaliza chuo kikuu Dar miaka 8 iliyopita sijaajiliwa,unataka nifanye kazi gani mkuu?
Njoo tuvune ma midege na kohamba wa mpondya Ali ko mbuga.nimemaliza chuo kikuu Dar miaka 8 iliyopita sijaajiliwa,unataka nifanye kazi gani mkuu?
Changamoto ni upweke tu na faida ni kua tunatafuta sana hela kupita mwanamke ambae anahudumiwa na mumewe au baba mtoto wake. Sisi huku unakuta ndio baba ndio mama basi lazima ufanye kazi kwa bidii watoto wale,wavae ,wasome ,waishi vizuri kwahio faida ni akili inasimama wima katika utafutajiMasingle mama mmefikiwa, mada hii ni yetu sote,tujadili faida,hasara na changamoto zinazotokana na kuwa single maza, single baba. Karibuni tujadili kwa pamoja.
Ndio umejiajiri "uleta mada"nimemaliza chuo kikuu Dar miaka 8 iliyopita sijaajiliwa,unataka nifanye kazi gani mkuu?
dah! Mimi nimelelewa na mama pekee,baba alikimbia,aisee ilikuwa inafikia hatua tunalala njaa,ugali ngumi mboga majani ya maboga mengi,nimeishi kwa tabu sana na staki watoto wangu wateseke nilivyoteseka mimi.Changamoto ni upweke tu na faida ni kua tunatafuta sana hela kupita mwanamke ambae anahudumiwa na mumewe au baba mtoto wake. Sisi huku unakuta ndio baba ndio mama basi lazima ufanye kazi kwa bidii watoto wale,wavae ,wasome ,waishi vizuri kwahio faida ni akili inasimama wima katika utafutaji
Pole sanadah! Mimi nimelelewa na mama pekee,baba alikimbia,aisee ilikuwa inafikia hatua tunalala njaa,ugali ngumi mboga majani ya maboga mengi,nimeishi kwa tabu sana na staki watoto wangu wateseke nilivyoteseka mimi.
Usingle mother sio jambo la kupigiwa debe. Vilevile sio kila single mother ilikua ni sababu ya kesi ulizozitaja. Kuna ambao wameishia kuwa singke mothers kwa kwa sababu ya usaliti kwenye ndoa, kiburi, jeuri, mdomo mchafu, tamaa, umalaya n.k.Hata ivyo niwape pole single mama wote popote walipo.
Haijalishi penzi limekushinda,, baba kakimbia, umefiwa na baba mtoto haijalishi songa mbele hizi ni kelele tu ambazo hazikuathiri chochote.
Na pia niwaambie tu wasichana kuwa single mama si dhambi,, usikose ujasili wa kuweka vigezo vyako , kutimiza ndoto zako na kufanya mengi mazuri.
Na usikubali kukaa na mwanaume ambae unajua kuwa huyu hakufai na Hana sifa kisa tu wewe ni single mama.
Na hizi kelele zinazopigwa humu ni kwa sababu nyie ni hot cake!!! Maana huku uraini dada yenu nikienda kwenye kamati za sherehe za ndoa asilimia kubwa wanaoolewa ni single mama.
Hakuna sehemu nimepigia debe au kusema ni jambo nzuri.Usingle mother sio jambo la kupigiwa debe. Vilevile sio kila single mother ilikua ni sababu ya kesi ulizozitaja. Kuna ambao wameishia kuwa singke mothers kwa kwa sababu ya usaliti kwenye ndoa, kiburi, jeuri, mdomo mchafu, tamaa, umalaya n.k.
Ni vyema kuwasisitiza mabinti wadogo kwamba hili jambo sio zuri na consequencies zake ni mbaya angalao watajichunga na kuounguza victims mtaani kuliko kuwapa go ahead ya uwa masingle mother kama ulivyofanya hapa.
Kama wewe ni single mother accept the truth that you made a mistake, then don't transcend the single motherhood circulation to the next generation of young women.