Playlist: Ngoma/Music kali wakati wa tendo

Playlist: Ngoma/Music kali wakati wa tendo

Teslarati

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2019
Posts
3,390
Reaction score
13,445
Tushushe hapa ngoma kali za minyanduano.

Kuna zile ngoma ukiwa unazipiga wakati huo zinaongeza sana mzuka/radha ya minyanduo.

Please hii haiwahusu wale wanaomaliza ndani ya dakika moja, angalau uwe unaweza kumudu dakika 10 kuendelea

Mie naanza
1. Drunk in love ya Beyonce na JayZ
2. Drunk in love remix ya Lil Wayne
3. She will ya Lil Wayne
4. Into You ya JLO na Lil Wayne
5. Back to Sleep Remix ya Chris Brown, Usher na Zayn Malik
6. Drunk in love remix ya Beyonce, JayZ na Kanye (Humu Kanye katema cheche sana, anasema "You are a MILF and I'm the motherfvcker...... I'm a visionaire, I know a good pvssy when I see it")
7. Kuna Iokote ya mauwa sama sio kwa yale mashairi
8. Kuna na ngoma kaimba maua sama na alikiba nmeisahau jina.
9. Kuna ngoma ya Yammi niliwekewa na mchepuka hadi leo inaplay kichwani ila sijui jina, kuna mda anasema "Kiuno kanipa mama...." wanaoijua hii waweke jina


Ongezeeni wakulungwa, maisha ndo hayahaya
 
Huu wimbo utakupa ashki, utakupa nguvu ya kusonga mbele, na unaongeza nguvu za kiume, usikilize
 
Huu wimbo huwa unanibamba sana...hasa kama instincts zinaniambia kuwa kuna hatari ya kuondoka na ngoma, kaswende, Yutiai, kisonono au herpes. We acha tu 😂😂😂🖐

 

Similar Discussions

Back
Top Bottom