WanaJF naomba ushauri wenu kuhusu wema wa boss wangu

WanaJF naomba ushauri wenu kuhusu wema wa boss wangu

mlevi sugu

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2025
Posts
1,981
Reaction score
3,875
Nafanya kazi kwa mwarabu hapa Bagamoyo. Bosi ananikubali kinoma maana najituma kiukweli. Ila boss simuelewi maana akiongea nami anachekacheka.

Na tena kingine amekuwa akinizidishia vichenji, mpaka na jiuliza mbona sijawahi kuona mwanaume akizidishwa pesa badala yake anadhulumiwa, na tena majuzi alikuwa aniambia nifike kwake nikamtembelee.
 
Pole kaka.. vya Bure vinakuja na heavy price to pay for. Mkatae shetani na Mambo yake yote haraka sana
Ngoja nikupe na kifungu kabisa cha biblia
Mwe na kiasi na kukesha; kwa sababu adui yenu Ibilisi, kama simba angurumaye, huzunguka-zunguka akitafuta mtu ammeze. Mpingeni yeye, mkiwa imara katika imani@1petro5:8-9
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom