Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Is it racism ?maana Mna beef sana na wake wa wazungu na sio wanaume waliooa wazungu.Tell me why mna chuki .Na nyie Mna nini kilichomzidi huyo mzungu ?
1 Reactions
72 Replies
7K Views
Hapo vipi? Embu tushare sababu zilizotupelekea tukaachana na wapenzi wetu wa zamani. Binafsi, nilimuacha kwasababu alikuwa muongo muongo sana, nikaona ataniletea stress mbeleni.
11 Reactions
490 Replies
55K Views
Salaam zenu wana jamvi! Katika jamii zetu tumekuwa tukishuhudia vikwazo mbalimbali katika safari ya mapenzi, Hasa pale wawili wapendanao wanapotaka kuishi pamoja. Hapa nazungumzia kwa aina...
1 Reactions
25 Replies
6K Views
Kama kichwa kinavojieleza ni kosa gani au kitu gani mume anaweza kunyimwa papuchi kwenye ndoa yake akilifanya au kitu gani kikifanywa na mwanaume kinaweza pelekea kumuudhi mtu wake hadi kunyimwa...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Mama mkwe alimuuliza mkwewe "binti" samahani mbona mtoto hajafanana na mwanangu kabisa? Binti akajibu, "bila samahani mama huku chini nina njia ya uzazi sio mashine ya photocopy" mama mkwe hoii...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Wana MMU haya sio maneno yangu bali ni maneno yaliyotamkwa na Hayat Mwl.JK Nyerere tarehe 18/Desemba/1976 katiba hotuba yake ya ufunguzi wa mkutano mkuu wa UWT. Nimeyanukuu toka gazeti la 'Raia...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Ukipita kona yoyote ya jiji ukiona gari imejaa vumbi sana angalia ndani ya gari utaona ni MWANAMKE. Na gari nyingine zina majani ya miti juu ya bodi nadhani sababu ya kupaki chini ya miti na...
5 Reactions
83 Replies
10K Views
Hii ni ya kweli na imetokea hivi: Njemba imekwenda kwa hawara,katika malavidovi ikanyolewa nywele za chini.Akiwa njiani anaelekea nyumbani hawara kampigia simu Bi Mkubwa "haya sema sasa,hata...
0 Reactions
143 Replies
15K Views
Tanga Sirudi Tena 14th January 2012, Jumamosi 12:00 noon Ama kwa hakika tukio lililomo kwenye simulizi hili ndilo lililonisababisha Mentor kuamua kutulia kama maji ya mtungi. Kwa kipindi cha...
64 Reactions
318 Replies
47K Views
Mimi kama mimi siamini au kawaida nashangaa kwanini mtu anacheat au extra marital affairs . Niko katika dilema na huyo mdosi ambae ni coworker, he is married and kids, kwa kawaida hawa watu ni...
3 Reactions
106 Replies
11K Views
Naskia Mlio wa Simu yangu Ndogo ya Mkononi aina ya Nokia ya Tochi, ilikuwa ni saa kumi na mbili Jioni kasoro dakika kumi na tatu siku ya Jumatano wiki iliyopita Nikiwa natoka Mitaa ya Msasani Pale...
4 Reactions
18 Replies
3K Views
Huyu ni mpenzi wangu ambaye tumedumu kwenye mahusiano kwa muda wa mwaka mmoja lakini sasa nasema baaaaasi.Kazidisha sana njaa ndomana nimeona bora nimuache aende. Tabia kubwa ambayo inanikera na...
8 Reactions
60 Replies
6K Views
weka neno lolote kwa X wako. ''Uishi kwa amani x wangu'' Sent from SIEMENS mkonge.
5 Reactions
655 Replies
57K Views
Habari wana JF Najitahidi kuangalia wakati huu tulionao. Ukweli wakati huu watu wanapenda pesa kuliko utu, sijui ndo utabiri wa nyakati za mwisho ndo huu maana bible imezungumza. Pia katika...
7 Reactions
40 Replies
5K Views
katika hili napenda kupata ukweli wenye ukweli. watu (wanaume) wengine hatupendi kabisa kushea uchi (ashakum!) na wanaume wengine. wanaume tufanyeje ili wanawake wetu wasigawe "urithi" wetu? yaani...
0 Reactions
67 Replies
12K Views
Jamani wadau asalam maleko wakubwa,nina mchumba wa kiaya me mchaga,tatizo lake ni wivu uliopindukia kosa asione jina la kike kwenye phne book yangu tatzo,nsipigiwe cm ata na dada pamoja na kwamb...
0 Reactions
27 Replies
6K Views
Heshima kwenu wakuu, Nimeona leo niwatibue watu kidogo, kwa maana hiyo, Kleesoft ruksa. Hizi ni tofauti 8 kati ya Wasichana na Wanawake; 1.Wasichana wanatafuta wanaume wenye pesa na magari...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Naomba kujua kati ya hili neno anayetakiwa kuitwaa.. (mzazi).. je ni baba mzazi au mama mzazi na kwa nini??? ,kwa fikra zangu naona baba hawezi kuwa mzazi ila ni mama tu kwani baba hawezi kuzaa...
0 Reactions
39 Replies
12K Views
Je, ni kweli kuna ukweli katika kauli hii Mke akishazaa mapenzi huyahamishia kwa mtoto badala ya mumewe?
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Daaah !! Niko njia panda aiseee sijui nimuambie kuwa namuelewa au nianze kutafuta mazoea nae kwanza. Kuna kidada flan hivi kinapita mitaa ya om kila siku. Umri ni kama 20-23 hivi. Sasa huyu mtoto...
2 Reactions
31 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…