RASCO BOY
JF-Expert Member
- Jul 29, 2018
- 428
- 485
Mama mkwe alimuuliza mkwewe "binti" samahani mbona mtoto hajafanana na mwanangu kabisa?
Binti akajibu, "bila samahani mama huku chini nina njia ya uzazi sio mashine ya photocopy"
mama mkwe hoii!! Chezea Wakwe Wa Bongo wewe.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]
Muda wa kulala Bado nipo na Design......