Mdosi kaniganda

Mdosi kaniganda

MadameX

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2009
Posts
7,792
Reaction score
3,859
Mimi kama mimi siamini au kawaida nashangaa kwanini mtu anacheat au extra marital affairs . Niko katika dilema na huyo mdosi ambae ni coworker, he is married and kids, kwa kawaida hawa watu ni wabaguzi so rightly speaking I dont fancy them.

Sasa issue huyu mdosi bwana kahamishwa hapa kwetu na ni mchapakazi, lakini kikazi tunaingiliana kisana. Hawezi kufinalise his projects without my inputs, he is more technical cum sales and Im into commerical aspects.

sasa mara kwa mara huwa deals zake lazima nizipe kwangu. Inafikia lazima tuende tukanegotiate at customer place, hii ikaleta ukaribu zaidi. Hii imeendelea kwa muda wa karibu Mwaka, nimekuja kugundua ni zaidi nionanvyo ni kabla ya 2 weeks back. The guy seem is on mission.

-Napata free Lunch lol!

-Saa nyingine usafiri sina napewa usafiri for number of days as I wish!

-Akienda kwao Zawadi.

-Sikuja kazini misimu, sometimes calling for no reason.

-Everynow and then yupo office kwangu.

-Ataka kujifunza Dini yangu na Lugha yangu.

-Kuna katrip nje ya Nchi kikazi naona, jina langu kalitia.
-
Ananotice hata rangi ya Kucha (naiipolish).

-Kaingia gym sababu mimi ni mtu wa kujijali in that area.

-Eyes contact hazishi.

Sasa huyu yuko kwenye kupiga sound ama vipi maana nataka kujitoa kwenye majanga naweza mchuna if I want to lakini hakuna kula bure na wala sio tabia yangu.

Nimeacha kuambatana nae kwenye deals zake lakini naogopa nisijekuwa najishuku tu nikakosa friend na kuathiri utendaji wangu wakazi. Maana tukileta customer tunapaka equal credit.

Nipeni mbinu
 
Mama naomba Iphone unayotumia unipe nisongeshee siku manake nina uhakika atakupa Iphone 6 mupyaaaaa

NB: Hao wadwanzi wanajifanyaga wanajua sana kulove hasa wakionja papuchi ya moto(ya kiafrica). Be careful
 
we piga dili achana na kujishtukia .. wewe ndiyo final saya kama ni YES or NO... stop assuming bwana
 
jamii ya wahindi ni jamii ya ajabu sana,unaweza dhania yupo ktk mood ya mapenzi lakini ikawa ni upendo tu ila ktk hali ambayo ya moyoni/niliwahi kuwa na kademu kakihindi the same kila mahali hakutaka kuniacha ajabu alikuwa na wivu ajabu na mimi lakini siku nilipojaribu omba mzigo hakika ulikuwa mwisho wetu
 
You can create a boundary by referring to him as a friend, as you know he's married and you are not interested. Turn down some offers, like lifts, tell him that your bf is gonna drop you off even though you gonna be walking. Just put him off
 
Ukweli ni mchungu lakini inapobidi mtu kumezeshwa hakuna namna!! Ameoa na ana watoto duuuh!! Mtafutie evidence uhakikishe kweli analolitaka ni hilo!! Maana anaweza kuwa na yote uliyosema kumbe jamaa zikawa ni flirting tu ili kukamilisha deal zake, mwambie unaijali familia yake hasa watoto wake na kama kuna uwezekano tafuta uswahiba na mkewe atapunguza kasi yake kwa hofu labda mnamuongelea na mkewe!!
 
We sema unataka kuwalingishia vicheche wenzio kuo upo karibu kuopoa mdosi, na kutiaminisha unataka u mchune tu na kumtosa, kwan akikupanda utakuja kutuhadithia hapa?
 
Wahindi bana watu wa ajabu sana kuna mmoja alikua kama usemavyo nikahis gari bovu lataka kuniangukia ila nikaenda nae mdomdo mwisho wa siku ni friends wa kawaida kabisa nachokushaur wewe jiwekee boundaries mapema kabla mambo hayajaharibika kwako japo unaona kabisa kua dalili zote za kukutaka zipo kua makin hawakawii kukubadilikia kuna mmoja nachompendea ni very caring na akikuambia kitu maybe anakualika dinner ukakataa bas hakupingi wala kuumia yaan kama yes ni yes kwake kama no ni no Mafikizolo pita hapa
 
Last edited by a moderator:
yani umeona dhahabu njiani afu wajiuliza uokote au uiache, mwenyew aliyedondosha anaweza akakuona!!! huhuhuhuuu upele haumpati mwenye kucha..... usikute kapenda tu company yako
 
yani umeona dhahabu njiani afu wajiuliza uokote au uiache, mwenyew aliyedondosha anaweza akakuona!!! huhuhuhuuu upele haumpati mwenye kucha..... usikute kapenda tu company yako

Hawa watu unaweza mdhania hiv kumbe hata huko hayuko tena hayuko kabisa
 
Kumbe ndio maana nakuonaona nae kila siku ofisini eeehh... na juzi mkaninyima lift kumbe mna yenu
 
Back
Top Bottom