figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,185
- 64,574
Heshima kwenu wakuu,
Nimeona leo niwatibue watu kidogo, kwa maana hiyo, Kleesoft ruksa.
Hizi ni tofauti 8 kati ya Wasichana na Wanawake;
1.Wasichana wanatafuta wanaume wenye pesa na magari ambapo wanawake wanatafuta wanaume wanaojali na wenye mapenzi ya dhati.
2.Wasichana hupima thamani (quality) ya wanaume wao kwa kuangalia ukubwa wa mifuko yao wakati wanawake wanapima thaman ya wanaume wao kwa kiwango chao cha busara na hofu ya MUNGU (sio mungu wa daresalama ila MUNGU anayeishi na kuketi juu mbinguni) na namna wanaume hao wanavojiheshim.
3.Wasichana huvunja mahusiano kwa sababu za kipumbavu kabisa(mfano uspompa hela ya kununua wigi) wakati wanawake huvumilia mana wanajua kila linalotokea ni jaribu na linakuja kwa sababu.
4.Wasichana hufikria mambo yaliyopo sasa (ndo mana wanajidhalilisha mpaka kupiga picha za uchi na kuweka mitandaoni ) wanasahau watoto wao watakuja kuingia fb na kuona ujinga huo,wakati wanawake wanafikiria mambo yajayo na hatima ya maisha yao ya badae na familia zao.
5.Wasichana wanapenda kuwa na wanaume wengi wanaowafuata ,hii ni kutokana na tamaa na kutaka kuwa na vyanzo vingi vya pesa wakati wanawake wanajua sheria ya uhitaji (vitu rahisi vina Wateja wengi)
6.Wasichana huumizwa na mwanaume mmoja halafu wanakuwa na kinyongo na wanaume wote ,huu ni ujinga wa hali ya juu ,utakuta Wasichana wanasema (Wanaume wote wako sawa ) lakini wanawake wanajua wanaume wote hawapo sawa.
7.Wasichana wanajiuza na kujiweka sokoni ili wahongwe pesa wakanunue mawigi na make-ups ili wafanane na Wema Sepetu au Rihana wakati wanawake wanahitaji pesa kwa ajili ya kufanya maendeleo.
8.Msichana "anajifunza" ila mwanamke "anajua"
NB:Umri hauhusiani na tabia hizi,utakuta wa mama wanawatoto lakini tabia zao za kisichana au binti mdogo ana tabia za wanawake.
NOTE: Sijamlenga ndugu, babe wala rafiki yangu yoyote wa JF. Huwa natafsiriwa vibaya. Mia
tupate wimbo kutoka kwa Lucky Dube - It’s Not Easy
I remember the day I called mama on the telephone
I told her mama I'm getting married
I could hear her voice on the other side of the telephone she was smiling
And she asked me a question that I proudly answered
She said son did you take time to know her
I said mama she's the best
But today it hurts me so
To go back to mama and say mama I
'm getting divorced
Oh I'm getting divorced
This choice I made didn't work out the way I thought it would [x2] it hurts me so mama
Mama said to me
[Chorus:]
It's not easy to understand it son
But I hope you'll make it [x3]
You'll be happy again
I remember in church
When the preacher read the scriptures
You looked so beautiful and innocent
I did not know that behind that beauty
Lies the true colors that will destroy me in the near future
This choice I made didn't work out the way I thought it would be [x2]
Now I'm hurting
I remember when I held you
By the hand preacherman read the scriptures
Putting words in your mouth
Maybe what the preacherman said was not something that was within you
Now I know what they mean when they say
Beautiful woman is another man's plaything
Oh Lord I'm hurting now
This choice I made didn't work out the way I thought it would
Mama said to me
[Chorus]