Podcast
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 842
- 1,032
Daaah !! Niko njia panda aiseee sijui nimuambie kuwa namuelewa au nianze kutafuta mazoea nae kwanza.
Kuna kidada flan hivi kinapita mitaa ya om kila siku. Umri ni kama 20-23 hivi.
Sasa huyu mtoto nimetokea kumuelewa kweli ila nashindwa naingia na gia gani sababu mitaa hii ya om sijakuwepo kwa mda kidogo sasa nimerudi na kutana nae daaah ni hatari kila mtu anatolea macho.
Sasa leo kamepita tena hapa hapa home bna mida flan hivi asubuhi nilikuwa zangu nje nikampa hi akapita zake.
Sasa niko hapa nawaza naingia na gia gani alafi anaonekana ni mtu wa dini dini hivi.