Nyerere na wanawake | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nyerere na wanawake

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Bishanga, Mar 19, 2011.

 1. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #1
  Mar 19, 2011
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  Wana MMU haya sio maneno yangu bali ni maneno yaliyotamkwa na Hayat Mwl.JK Nyerere tarehe 18/Desemba/1976 katiba hotuba yake ya ufunguzi wa mkutano mkuu wa UWT. Nimeyanukuu toka gazeti la 'Raia Mwema'toleo la March16-22.Nanukuu:
  "Nyinyi hampendi hilo la kwanza(kutumikishwa).Ndiyo,hampendi upagazi. Lakini hili la pili mnalipenda.Mnapenda kuwa maua.Mkikubali kuwa maua na kujipamba kwa ajili ya kumfurahisha mtu mwingine(mwanaume) na si nafsi zenu,mjue pia mtatumiwa,mtakuwa mapagazi."
  mwisho wa nukuu.
   
 2. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #2
  Mar 19, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 160
  Tunajipamba bila kumfurahisha mwanaume. Tunajipamba ili kuwa wasafi
   
 3. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #3
  Mar 19, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Na wanaojipamba kufurahisha nafsi zao je?Sio kila anachofanya mwanamke anafanya kwaajili ya mwanaume!
   
 4. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #4
  Mar 19, 2011
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  DA hapo sitii neno.
   
 5. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #5
  Mar 19, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,919
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Word..
   
 6. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #6
  Mar 19, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  keli maua haswaaaaa
   
 7. Elia

  Elia JF-Expert Member

  #7
  Mar 19, 2011
  Joined: Dec 30, 2009
  Messages: 3,442
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Atakua ali-quote sehemu fulani kwenye Bible akaichambua kidogo, :juggle:
   
 8. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #8
  Mar 19, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,565
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Twajipamba ili tuonekane nadhifu sio kwa ajili ya mtu, wanaume wengine haapendi hata wapenzi wao wapake urembo wowote
   
 9. Dinnah

  Dinnah JF-Expert Member

  #9
  Mar 19, 2011
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 507
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mwanamke kujiremba wandugu iwe kwa ajili yake mwnyewe au kwa ajili ya mpenzi wako a na b yote sawa tu
   
 10. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #10
  Mar 19, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 160
  Hilo nalitambua na thanks nimekugongea
   
 11. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #11
  Mar 19, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,497
  Likes Received: 19,912
  Trophy Points: 280
  nimepita tu hapa wakuu.
   
 12. tzjamani

  tzjamani JF-Expert Member

  #12
  Mar 19, 2011
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 997
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Je hii dunia ingukuwa na wanawake pekee yao wangehangaika kujipodoa?
   
 13. M-mbabe

  M-mbabe JF-Expert Member

  #13
  Mar 19, 2011
  Joined: Oct 29, 2009
  Messages: 4,992
  Likes Received: 3,742
  Trophy Points: 280
  Na hicho ndicho haswa mwalimu alichokisema....misijipambe kumfurahisha mwanamume!
   
 14. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #14
  Mar 19, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,565
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Ina maana mwalimu alitaka tuwe natural?
   
 15. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #15
  Mar 20, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 589
  Trophy Points: 280
  ndio maana yake.
   
 16. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #16
  Mar 20, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  mmmhh kwa kweli ..
  kazi ipo ...
   
 17. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #17
  Mar 20, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 160

  Kama wakwako hapaki hata lotion hukohuko mwanaume ndo nini??
   
 18. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #18
  Mar 20, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,822
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Wanapokutana wanawake peke yao kama vile kwenye kitchen party, maulidi, mikutano, hawajipodoi? Kwa udadisi tu.
   
 19. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #19
  Mar 21, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,565
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Tunajipodoa sana tu
   
Loading...