swali kwa wanawake II | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

swali kwa wanawake II

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Raia Fulani, Mar 25, 2009.

 1. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #1
  Mar 25, 2009
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  katika hili napenda kupata ukweli wenye ukweli. watu (wanaume) wengine hatupendi kabisa kushea uchi (ashakum!) na wanaume wengine. wanaume tufanyeje ili wanawake wetu wasigawe "urithi" wetu? yaani ipite hata miaka mitatu, mke/mpenzi wangu hajachunguliwa na mwanaume mwingine ili nijisikie fahari ya kusema nina mke/mpenzi. najua zimeshatangulia threads nyingine zenye mrengo kama huu, ila sasa nataka kujua kwa kina zaidi. uwanja ni wenu wadau- hasa kina dada.
   
 2. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #2
  Mar 25, 2009
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  mimi ni kidume samahani kama nachezea uwanja siyo.
  unajua sehemu ya kike ni kama sahani ya mama lishe ambapo ukilia msosi inaoshwa halafu anapakuliwa mwengine anakula and so forth, hivyo kuwa mpole kwa kuwa wanawake karibu wengi ni mama lishe na siyo malaya.
  pili labda uamue kuifungia sahani kabatini uwe unailia peke yako pekee ambapo nayo ni ngumu. mwache mwanamke ajichunge mwenyewe ili awe mwaminifu wala usijitie sungusungu.
  cha msingi peleka mapigo muafaka katika tendo atapagawa tu
   
 3. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #3
  Mar 25, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...hamna la kufanya hapo, hata ukiomba mungu kazi bure tu!
   
 4. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #4
  Mar 25, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...kabsa, kabsaaaaaaa babaaangu... 'Kunguru hafugiki eeh!'

  ...aaaah wapiiii!!! wala usijidanganye ndugu yangu! hata ukijitia 'cherehani', kama kusaidiwa, utasaidiwa tu!
   
 5. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #5
  Mar 26, 2009
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  hivyo mwana, ishu ni kukubali matokeo sio? there is nothing u can do about it!
   
 6. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #6
  Mar 26, 2009
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  mbu unakata tamaa mapema sana. so u dont have to trust your woman. hivyo unamchukulia kama alivyo?
   
 7. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #7
  Mar 26, 2009
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0


  mbona me nipo kwenye ndoa miaka kadhaa na cjachunguliwa na mwanaume mwingine? inawezekana sana! mwanamke uwe na mcmamo kwenye maisha ,uijali ndoa/mpenzi wako, uone kwamba hakuna mwanaume/mwanamke mzuri/mtamu kuliko huyo ulienae, inawezekana kabisa, sio wanawake wote tunatoka nje ya ndoa/wapenzi wetu.
   
 8. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #8
  Mar 26, 2009
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0


  mhh cjui niseme dharau, cjui nisemeje?, kwa hiyo wewe unaamini kabisa kwamba mkeo/mpenzio sio wako peke yako unasaidiwa na mtu fulani? shughuli pevu.
   
 9. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #9
  Mar 26, 2009
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0


  ni kwa cc wanawake tu au hata kwenu pia?
   
 10. BornTown

  BornTown JF-Expert Member

  #10
  Mar 26, 2009
  Joined: May 7, 2008
  Messages: 1,716
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Me ni mwamamke

  nadhani kutembea nje ya ndoa/mpenzio ni hulka ya mtu sio kwa wanawake wala wanaume. Wapo ambao wapo hivyo bila kuchokonolewa na mtu zaidi ya mmoja haoni rana nisawa na mtu mlafi ata awe ameshiba vibi akiona chakula udenda unamtoka
   
 11. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #11
  Mar 26, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...Ebwana wee,

  msema kweli kipenzi cha Mungu au sio? ...i went thru a Roller coaster full of heartbreaks maishani mwangu, kiasi kwamba roho yangu imejaa ukungu, masizi na madoa ya kudumu. Hata ugombane na mama mzazi, ndugu na marafiki zako juu yake, ipo siku atakuendea kinyume tu, na kukufanya uonekana kenge tu mbele ya familia na jamii inayokuzunguka.

  Nimenawa mikono katika kuwapa trust yangu kina dada...

  Imetosha.
   
 12. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #12
  Mar 26, 2009
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  .......................... Zi wapi trust zenu enyi waungwana? Kwa nini hutaki kuamini kuwa yeye ni wako wako peke yako? Mi mnanikera!!
   
 13. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #13
  Mar 26, 2009
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  ..... Kumbe ndo maana. Pole kaka yangu hata sie pia tumepitia huko ulikopitia wewe tena wengine in a very rough road but tunajifunza kutrust again with caution though lakini si kukata tamaa kabisa kwa sababu doing that utakuwa unamwadhibu tu kwa kosa alilofanya au walilofanya wengine.

  We take the package as it comes without putting an old cloth on it and we treat a new wine in a new glass and not an old one kaka.
   
 14. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #14
  Mar 26, 2009
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  mwanajamii nimekupata ila unasema ni trust tu. kucheat bado kupo sio? ww kama mwanamke ni kitu gani kinakufanya utoke nje ya mahusiano yako?? (ila si wewe)
   
 15. Violet

  Violet Member

  #15
  Mar 26, 2009
  Joined: Nov 17, 2008
  Messages: 99
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Inawezekana, muonyeshe kwamba ni yeye tu na hakuna mwingine- msimamo wako ni muhimu, sio akuone au ahisi una mihangaiko mingine. Itategemea pia na mke / Girl-friend ni waina gani, ila kwa msichana /mwanamke wa kawaida ukimwonyesha msimamo hawezi kuhangaika kwingine, atafute nini tena?
  Hakikisha pia unamridhishwa kihaswa mamaa, sio mambo ya kulipua kulipua. Wapenzi wengi hawahi free kusema mimi napenda hivi,au vie, muulize anapenda vipi n.k Wanawake sio kama wanaumme , tunahitaji mda , kitu ambacho wanaumme wengi hawajui. Otherwise sioni sababu ya kuhangaika, maana kama huyo wa nje ananipenda zaidi mbona hakuniowa au kunichukua kama official girl-friend wake
   
 16. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #16
  Mar 27, 2009
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Mziwanda ni kweli TRUST is the most important thing- next to faithfulness-in any relationship. Nimeposema trust simaanishi kuwa hata mtu akiwa cheater basi umtrust hapana nazungumzia kwa wale ambao hawajawahi kufumaniana au hata kuhisi kuwa anaibiwa just trust kuwa uko peke yako kwa sababu unaweza ukawa unamshuku mtu kila siku kumbe masikini ya mungu wala yeye kwako kafika. Mimi my bf ndo yuko hivyo yaani kila siku yeye ananiona mie namegwa no matter how much I do to make him believe that am all his but bado siaminiki ndo mana nawasihi trust pelase.

  Mimi kama mwanamke kitu kitachonifanya nitoke nje ya mahusiano yangu kwa kweli sikioni as I dont believe in double standars!.
   
 17. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #17
  Mar 27, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...scenario zinatofautiana kiasi kwamba hata huo mvinyo unageuka siki hata kama unaunywea kwenye bilauri mpya.

  ...baada ya ndoa na kufungua "package", unagundua kumbe umeuziwa punda kwenye mfuko wa karatasi! Unakuja baini ukweli wa maneno ulokuwa unapinga na kugombana na ndugu, jamaa na marafiki walokuwa wanatoa maonyo, 'mchumba hafai huyo!'... kwakuwa nilimuamini kwa 101%!

  Inauma, inaudhi, na inasikitisha.
   
 18. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #18
  Mar 27, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Nyamayao Nyamayao unaongea ukweli lakini?Namwachia Mungu.
  Mi nina software ya kupima kama umetoka nje.
   
 19. BelindaJacob

  BelindaJacob JF-Expert Member

  #19
  Mar 27, 2009
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 6,060
  Likes Received: 475
  Trophy Points: 180
  Pole sana kwa hili,usipoumia kwenye mapenzi hujapenda kwahiyo lazima upitie vitu kama hivi japo maumivu yanatofautiana kati ya watu na watu!
  Kumwamini binadamu mwenzangu tena kwenye mapenzi ni ngumu sana,ila tu inabidi uwe na imani japo kidogo angalau kutowaza mpenzi anacheat nje ya penzi lenu.
   
 20. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #20
  Mar 27, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145

  Unajua inabidi umwamini tu hivyo hivyo unajua ukimchunguza kuku au bata kwa makini tambua huwezi mula kabisaaa maana anaokota okota mauchafu kisha ala.
   
Loading...