Huyu mtoto wa Kihaya vp???ni wivu tu au? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Huyu mtoto wa Kihaya vp???ni wivu tu au?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by liman, Dec 20, 2010.

 1. l

  liman Member

  #1
  Dec 20, 2010
  Joined: Mar 25, 2010
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani wadau asalam maleko wakubwa,nina mchumba wa kiaya me mchaga,tatizo lake ni wivu uliopindukia kosa asione jina la kike kwenye phne book yangu tatzo,nsipigiwe cm ata na dada pamoja na kwamb wanafaamiana,akipig nsipopokea ugomvi,kila akishika cm faster ni kwenye msg,akizikuta ni shda asipozikuta ni shda,wadau ntayamudu kwel aya!!ila mambo anayaweza tena sana ci unajua tena izo pande za bk,wadau ushauri plse
   
 2. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #2
  Dec 20, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  hahaha ngoja Mods wapeleke kwenye mapenzi nz mapendo usaidiwe
   
 3. S

  Son of Alaska JF-Expert Member

  #3
  Dec 20, 2010
  Joined: Jun 2, 2008
  Messages: 2,813
  Likes Received: 102
  Trophy Points: 0
  huyu mchumba wa KIAYA mbona hujatuambia ni mtu wa wapi?kenya, uganda au zaire. nime google hata computer imeshindwa toa jibu
   
 4. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #4
  Dec 20, 2010
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  mkuu Jamii Photos ni nini.......???? au picha ilishindwa ku- upload
   
 5. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #5
  Dec 20, 2010
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Those are your private domain, so please keep them to yourself. mbona hutuambii kama anakupa papa au anakunyima, unailaje, huyo demu wa kiaya anajituma au...! pls keep them to yourself!
   
 6. roselyne1

  roselyne1 JF-Expert Member

  #6
  Dec 20, 2010
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 1,369
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  mnh too much inakuwa kero-mtu anakuwa kama anakupossess bwana-mie naona ni dalili ya kutokuamini,jaribu kutafuta njia za kumfikishia ujumbe kuwa unampenda na ni yeye tu unayempenda-gradually ataanza kukutrust ...na hii tabia itapotea ukiona harekebishiki mpotezeee..usije ukakonda bure.:teeth:
   
 7. semango

  semango JF-Expert Member

  #7
  Dec 20, 2010
  Joined: Aug 24, 2010
  Messages: 532
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Huyo mshamba na mwizi tu.anafikiri anachofanya yeye na wewe unafanya.kwa ndoa hafai.atakufanya uaenze kuokota makopo huku umevaa chupi kichwani muda si mrefu.kama nyama tamu kama unavyodai we kula tani yako ila usije ukathubutu kuiweka ndani
   
 8. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #8
  Dec 20, 2010
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  weka passward kushnei
   
 9. M

  Mokoyo JF-Expert Member

  #9
  Dec 20, 2010
  Joined: Mar 2, 2010
  Messages: 14,834
  Likes Received: 1,999
  Trophy Points: 280
  huyo mjanja sana
  anakuteka akili
  akukosanishe na rafiki zako
  halafu akupige chini
  hapo ndio utakapojuta
   
 10. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #10
  Dec 20, 2010
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,785
  Likes Received: 2,395
  Trophy Points: 280
  hakufai huyo,kwenye maisha lazima mmoja wenu awe chini ya mwenzake sasa huyo mpo nae level moja!hata hivyo combination ya mchaga na mhaya ni ngumu ku survive!
   
 11. Chapa Nalo Jr

  Chapa Nalo Jr JF-Expert Member

  #11
  Dec 21, 2010
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 6,375
  Likes Received: 3,207
  Trophy Points: 280
  Utayaweza yote katika yeye akutiae nguvu, Amen
   
 12. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #12
  Dec 21, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,802
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  kiaya = kihaya?

  Kwani amekuloga au una tatizo la kupata wachumba? Unapoanza kuja kuomba ushauri jinsi ya kuishi na mchumba maana yake utakapokuwa umeoa utakuwa unalala baa! Uchumba ni process nyepesi sana kuomba ushauri!
   
 13. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #13
  Dec 21, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  tafsida.
   
 14. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #14
  Dec 21, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Tuliza kichwa uandike kiswahili sanifu...Kwenye majukwaa haya tusilete vifupi vya kwenye SIMU na kiswahili cha mitaani.
  Angalau labda ungekuwa umetuma kwa simu ningeelewa kuwa unabanwa na space.
   
 15. l

  liman Member

  #15
  Dec 21, 2010
  Joined: Mar 25, 2010
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  najaribu dada lakn inakua ngumu kumpotezea,couse ata md napenda sana
   
 16. l

  liman Member

  #16
  Dec 21, 2010
  Joined: Mar 25, 2010
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kaka ni kazi lakn,inabidi niwe muangalifu zaid,vngnevyo ntaivaa kwel chupi kichwani
   
 17. l

  liman Member

  #17
  Dec 21, 2010
  Joined: Mar 25, 2010
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nimeweka pasword mbili kaka iyo ndo balaa kabisa
   
 18. l

  liman Member

  #18
  Dec 21, 2010
  Joined: Mar 25, 2010
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ubarikiwe na bwana
   
 19. l

  liman Member

  #19
  Dec 21, 2010
  Joined: Mar 25, 2010
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  natumia simu kaka.
   
 20. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #20
  Dec 21, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Ina maana hawajui rafiki zako?
   
Loading...