Nimeona bora nimuache aende tu

Nimeona bora nimuache aende tu

Nyamalapa

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
211
Reaction score
470
Huyu ni mpenzi wangu ambaye tumedumu kwenye mahusiano kwa muda wa mwaka mmoja lakini sasa nasema baaaaasi.Kazidisha sana njaa ndomana nimeona bora nimuache aende.

Tabia kubwa ambayo inanikera na nimeivumilia mwishowe nimeshindwa ni kwamba unaweza mtumia pesa leo lakini baada ya siku mbili tu anakupiga mzinga mwingine sasa nabaki najiuliza ndani siku mbili anawezaje kutumia pesa bila mpangilio.

Kiukweli nimemvumilia sana tu ila sasa ngoja niwaachie wenye mpunga mnene huenda wakawezana nae ila kwangu mimi niseme tu imetosha.

Wanawake jifunzeni jinsi ya kuomba pesa, sio mtu anakutumia pesa leo baada ya siku mbili unaomba tena inamana unaemuomba yeye hana matumizi na pesa ama inakuaje.

Tukumbuke kwamba kila mtu ana maisha mengine nje ya mahusiano, kuna ndugu na jamaa nao wanahitaji msaada vilevile sio kwamba mwanamke tu ndo mwenye haki ya kutumia pesa za mpenzi wake.

Wacha awepelekee wengine sinema zake mimi kwangu imetosha.
 
Huyu ni mpenzi wangu ambaye tumedumu kwenye mahusiano kwa muda wa mwaka mmoja lakini sasa nasema baaaaasi.Kazidisha sana njaa ndomana nimeona bora nimuache aende.

Tabia kubwa ambayo inanikera na nimeivumilia mwishowe nimeshindwa ni kwamba unaweza mtumia pesa leo lakIni baada ya siku mbili tu anakupiga mzinga mwingine sasa nabaki najiuliza ndani siku mbili anawezaje kutumia pesa bila mpangilio.

Kiukweli nimemvumilia sana tu ila sasa ngoja niwaachie wenye mpunga mnene huenda wakawezana nae ila kwangu mimi niseme tu imetosha.

Wanawake jifunzeni jinsi ya kuomba pesa, sio mtu anakutumia pesa leo baada ya siku mbili unaomba tena inamana unaemuomba yeye hana matumizi na pesa ama inakuaje.

Tukumbuke kwamba kila mtu ana maisha mengine nje ya mahusiano, kuna ndugu na jamaa nao wanahitaji msaada vilevile sio kwamba mwanamke tu ndo mwenye haki ya kutumia pesa za mpenzi wake.

Wacha awepelekee wengine sinema zake mimi kwangu imetosha.
Mwenyewe anataka umwache ndo maana anapiga mizinga
 
Hii tabia imeshamiri sikuizi sana miongoni mwa wadada. Yaani ww unakuwa life support wake hapa mjini.

Kibom kila baada ya siku moja au maasa kadhaa. Mbaya zaid hawabadiliki hata umonye vipi.

Tabia hii huambatana na kuto kushukuru anachopewa, kutokuridhika, na ubinafsi.
Ukiona hawezi acha hizi tabia.. basi piga chin maana atakuletea shidah mbeleni..

*HATUKATAI WADADA KUOMBA HELA KWA MPENZ WAKO LAKIN OMBENI KWA UTARATIB MAALUMU
 
Yani we acha tu ndugu, yani nimemsaidia sana tu ila hanaga matumizi mazuri na pesa ye anajua kila mara pesa yangu inakua haina kazi nyingine ndomana nimemshindwa kwakweli.
 
Pole mimi wangu nimempa jana 50000. Ila yeye mwenyewe akasema atanirudishia ijumaa akipokea mshahara maana bosi wao hayapo.. ndio tatizo la kudate under 28.
 
Pole mzee maana umeingiaa Choo cha kikee cha Kijeshiii...!!

Kama huna helaa muache wenye Helaa wamchukuee mzeee usijekuugua Kichaa bure
 
Kwa taarifa yako hajaanza lao hadi huwa namuambia usirudishe maana ni wajibu wangu kukufanyia
 
Aaha kumbe pesa ya Kuhongaa unayoo mkuuu...!! Sema usimzoeshe vibaya Mwisho wa siku ujee uanzee kuliaa Liaa humuu...Ikiongaaa ongaa kwa akili usijedhani unapendwaaa mzeee[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Moja ya sababu zinazorudisha nyuma maendeleo ya vijana kwa kasi.
 
Ningetoa ushauri endapo ungekitaja kiasi unachompatia alafu siku mbili tena anakupiga kirungu kingine je kama unampatiaga buku mbili sisi tutajuaje mkuu
 
.Kazidisha sana njaa .

DmVPR_mW0AYEFJ5.jpg
DmVPR_mW0AYEFJ5.jpg
DmVPR_mW0AYEFJ5.jpg
 
papuchu hiyoooooooooooo inasepa.
I bet mada ijayo itakuwa ni ya kupiga nyeto
 
Pole mimi wangu nimempa jana 50000. Ila yeye mwenyewe akasema atanirudishia ijumaa akipokea mshahara maana bosi wao hayapo.. ndio tatizo la kudate under 28.
[emoji121]
KAMWE USIPENDE KUKOPESHA HELA OVYO!!!

[emoji121] [emoji121] [emoji121]
 
Hii tabia imeshamiri sikuizi sana miongoni mwa wadada. Yaani ww unakuwa life support wake hapa mjini.

Kibom kila baada ya siku moja au maasa kadhaa. Mbaya zaid hawabadiliki hata umonye vipi.

Tabia hii huambatana na kuto kushukuru anachopewa, kutokuridhika, na ubinafsi.
Ukiona hawezi acha hizi tabia.. basi piga chin maana atakuletea shidah mbeleni..

*HATUKATAI WADADA KUOMBA HELA KWA MPENZ WAKO LAKIN OMBENI KWA UTARATIB MAALUMU
Naomba nikuombe kwa utaratibu maalum D,J...[emoji56]
 
Back
Top Bottom