Upepo wa ngono umetawala nyakati hii

Upepo wa ngono umetawala nyakati hii

Magoya2000

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2017
Posts
641
Reaction score
1,267
Habari wana JF

Najitahidi kuangalia wakati huu tulionao. Ukweli wakati huu watu wanapenda pesa kuliko utu, sijui ndo utabiri wa nyakati za mwisho ndo huu maana bible imezungumza.

Pia katika conversation na wanawake wengi wanaoneka bila pesa mapenzi hayaendi. Hivyo pesa imekuwa mbele.

Tatizo ninalojiuliza why wake wengi za watu wana michepuko? Je, nao wanatafuta pesa au muhogo? Isitoshe wanaume wengi wenye pesa wana wanawake wengi zaidi ya 20. Sasa kama wanaume wanachepuka na wanawake wanachepuka tunatafuta nini? Tujadili
 
Tamaa tu mkuu, Nyapu zote zinafanana radha sisi wanaume tuna ujinga kwa kujiona vidume kwa kugegeda wanawake wengi. Nature ya wanawake wa Tz ni wambea na hawapendani, wakijua umeoa wanakukubalia haraka ili wajue anachokipata mwenzao.

Kwa upande wa wanawake tatizo kubwa lililopo ni kuchokana, unahitaji busara na Nguvu ya Mungu kudumu na mkeo bila kumchoka kwasababu ukimchoka ukawa humpi haki yake hata kama unamhudumia kiasi gani ataitafuta Nje.
 
Naam, hapo zamani za kale utu ulikuwa mali. Watu walipendana na kushibana kweli, pesa ilikuwa ni kama kitu cha ziada tu kwenye mapenzi.

Zamani watu walijali utu, siku hizi watu wanajali vitu. Nyakati za mashaka hizi, na kukosa imani ni rahisi. Wengi wanaendeshwa na tamaa tu kama za bwana fisi kutaka kula kwenye harusi mbili tofauti, mwisho akazikosa zote.
 
Ni dalili ya umaskini, wachache watanielewa. Ukiona watu wanapenda sana ngono ujue maisha hayavutii tena, watu hawana hobbies, they are so broke they cannot afford nothing but pussies. Elsewhere watu wana hike, play golf, do shopping, go vacation etc.
 
Dah,.Niko kulima dear,.tuliambiwa tukitaka mali tutaipata shambani...ndio maana nikianza kulishika jembe hata nguvu ya kuja kijijini kusalimia inanikosa,..[emoji28]
Hongera sana kilimo siyo jambo dogo matajiri wote duniani mnalima
Naomba nichukue next time tukalime wote
 
Ni dalili ya umaskini, wachache watanielewa. Ukiona watu wanapenda sana ngono ujue maisha hayavutii tena, watu hawana hobbies, they are so broke they cannot afford nothing but pussies. Elsewhere watu wana hike, play golf, do shopping, go vacation etc.
Poverty indeed,.
 
Back
Top Bottom