Kuna umuhimu gani wa kubadili dini?

Kuna umuhimu gani wa kubadili dini?

Ave Ave Maria

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2011
Posts
10,707
Reaction score
5,682
Salaam zenu wana jamvi!

Katika jamii zetu tumekuwa tukishuhudia vikwazo mbalimbali katika safari ya mapenzi,
Hasa pale wawili wapendanao wanapotaka kuishi pamoja.
Hapa nazungumzia kwa aina yeyote ile ya ndoa . . . (Homosexual excluded!)

Tukiachana na sababu zingine, dini pia imekuwa ni kikwazo kwa baadhi ya watu.
Suala la dini limeshafanikiwa kuzuia ndoa tarajiwa kadhaa,
Hii inatokana na utofuti wa dini/imani za watarajiwa wenyewe.

Sitajikita sana kwenye ushawishi/msukumo wa familia na ndugu kwa ujumla,
Ila kuna familia/wazazi wasotaka/wasokubali wanao waoane na mtu wa dini/imani tofauti na ya kwao.

Lakini, pamoja na yote hayo,
Kuna baadhi ya wapenzi ambao huchukua mbadala wa kubadili dini/imani zao
Ili tu . . .waweze kuishi na hao wapendwa wao(wapenzi).
Wengine huridhiwa na wengine hulazimisha tu kadri mioyo yao inavyowaambia!

Twajua kwamba ndoa haina assurance ya kulast forever though wengi wanapenda iwe hivyo.
Na kutodumu kwa ndoa inategemea vitu tofauti tofauti vitokee. . . aidha;
  • Kuachana (tutazame kuachana kwa sababu ya huyo huyo ulobadili dini kwa ajili yake)
  • Kifo (cha mwenza mmoja. . . specifically ulomfata))
  • Mwenza mmoja kurudi kwenye dini yake (pengine imekuwia vigumu kubadilika kiimani)
Tokana na hayo, nimejikuta napata swali,
Hivi kuna umuhimu gani wa kubadili dini ilihali ndoa yenyewe ni prabability????

Pengine mimi nimelitazama hili suala kivingine. . . .na sikupata umuhimu wake.
Sijui nyie wenzangu mnalizungumziaje hili suala la kubadili dini kwa kupata nafasi ya ndoa?
Ni nini hasa umuhimu wake, tukiitazama chance ya kusurvive kwa ndoa?
 
Dini ni unganiko la kiimani kati ya mtu na Mungu.
Ndoa ni unganiko la kimwili na kiroho ambalo watu wawili huunganishwa na Mungu.
Sasa imani inapokua tofauti baina ya watu wawili kwa Mungu, kwa urahisi tu utaona hata unganiko lao litakua na mushkeli.
 
. . . (Homosexual excluded!)
you're right here, gays dont change dini when get married.
Tukiachana na sababu zingine, dini pia imekuwa ni kikwazo kwa baadhi ya watu.Suala la dini limeshafanikiwa kuzuia ndoa tarajiwa kadhaa,Hii inatokana na utofuti wa dini/imani za watarajiwa wenyewe.Sitajikita sana kwenye ushawishi/msukumo wa familia na ndugu kwa ujumla,Ila kuna familia/wazazi wasotaka/wasokubali wanao waoane na mtu wa dini/imani tofauti na ya kwao.Lakini, pamoja na yote hayo,Kuna baadhi ya wapenzi ambao huchukua mbadala wa kubadili dini/imani zaoIli tu . . .waweze kuishi na hao wapendwa wao(wapenzi).Wengine huridhiwa na wengine hulazimisha tu kadri mioyo yao inavyowaambia!Twajua kwamba ndoa haina assurance ya kulast forever though wengi wanapenda iwe hivyo.Na kutodumu kwa ndoa inategemea vitu tofauti tofauti vitokee. . . aidha;
  • Kuachana (tutazame kuachana kwa sababu ya huyo huyo ulobadili dini kwa ajili yake)
  • Kifo (cha mwenza mmoja. . . specifically ulomfata))
  • Mwenza mmoja kurudi kwenye dini yake (pengine imekuwia vigumu kubadilika kiimani)
Tokana na hayo, nimejikuta napata swali,Hivi kuna umuhimu gani wa kubadili dini ilihali ndoa yenyewe ni prabability????Pengine mimi nimelitazama hili suala kivingine. . . .na sikupata umuhimu wake.Sijui nyie wenzangu mnalizungumziaje hili suala la kubadili dini kwa kupata nafasi ya ndoa? Ni nini hasa umuhimu wake, tukiitazama chance ya kusurvive kwa ndoa?
sijui maudhui ya hiki swali but remember hakuna guarantee in life; mnaweza kuwa imani tofauti na mkazeeka pamoja, na mnaweza kuwa imani sawa na mkabwagwana baada ya mwaka LOL. since tunaweza funga ndoa za serikali/bomani its not really an issue kama haukotayari kubadili dini
 
kutofautiana kiimani(dini) baina ya wapendanao ni moja kati ya matatizo lukuki yanayotukumba vijana now days na hii ishu sometimes inakuwa very complex kwa baadhi ya familia/koo ikizingatiwa kuwa maisha ya ndoa yenyewe pia ni uncertenity so nafikiri ni bora zaidi kuwaachia wenyewe(wapendanao) wali handle/wafanye maamuzi jinsi watakavyoona inafaa wao wawili pasi na presha kutoka nje ili kuwe na mutual concent mwisho wa siku likitokea la kutoke kusiwe na lawama
 
Uko sawa kabisa best.

Tukumbuke ukiwa ndoani sio kila siku ni sikukuu. Sasa ikitokea mwenza amekuboa ama mambo hayaendi sawa hata hiyo dini uliyomfuatia nayo utapoteza interest. Believe me you, ukipenda mtu kwa moyo wote unafanya mambo nje ya uwezo wako. Hata ikifika umeachana nae unabaki unajishangaa uliwezaje! Hukawii kuanza kuichukia na dini yake.

Ingia kwenye dini.kwa sababu unaipenda hiyo dini na unautafuta uso wa Mungu. Usifanye kwa ajili ya mali wala mwenza, utachemsha tu

(nikiingia kwenye uislamu ama usababto, siku mwenza akiniudhi naenda kujipooza na kitimoto kama kg 2. Hapo nimemkomoa Allah ama mume?)
Dini ni unganiko la kiimani kati ya mtu na Mungu.
Ndoa ni unganiko la kimwili na kiroho ambalo watu wawili huunganishwa na Mungu.
Sasa imani inapokua tofauti baina ya watu wawili kwa Mungu, kwa urahisi tu utaona hata unganiko lao litakua na mushkeli.
 
Kwanza kabisa kama wewe unamsimamo wa dini yako usitafute mapenzi na mtu mwenye dini tofauti. Siyo rahisi mtu kubadili na hata akibadili itakuwa just for the sake of it. Lakini ile imani ya ukaribu na mungu kwakweli inakuwa shida.

Na hata ikiwa ndoa ya kiserikali matatizo yatakuwa pale watoto watakapozaliwa washike dini ipi.....?
 
Kwa upande wangu, naona kubadili dini kwa sababu tu eti umepata mke/mume ambaye amekulazimisha au kukushauri ubadili dini ili mfunge ndoa ni kukosa kumjua na kumuamini yule unayemuabudu. Kama unamumini Mungu unayemuabudu, inawezekanaje ukamuacha na kuingia kumuabudu mungu mwingine uliyekuwa haumuamini hapo mwanzo kwa kigezo cha kutafuta ndoa? Baadaye mkiachana utarudi tena kwenye imani ya zamani kwa yule uliyemsaliti au utaendelea na huko ulikolazimishwa kwenda kwa sababu za ndoa? Hii si wazi kuwa hujui unaabudu nini?
Nasikia kizunguzungu!
 
Kwanza kabisa kama wewe unamsimamo wa dini yako usitafute mapenzi na mtu mwenye dini tofauti. Siyo rahisi mtu kubadili na hata akibadili itakuwa just for the sake of it. Lakini ile imani ya ukaribu na mungu kwakweli inakuwa shida.

Na hata ikiwa ndoa ya kiserikali matatizo yatakuwa pale watoto watakapozaliwa washike dini ipi.....?

You're very right! Maswala ya dini ni ya rohoni. Ukibadili kwa sababu ya kupata mwenza ni maigizo! Dawa ya tatizo ni kumpata mwenzi mnayefanana Imani. Otherwise matatizo hayatawaacha. Tusisahau hata ukifa kuna kugombewa maiti!
 
Dini ni tatizo sana nowdays,ndugu/wazazi wanapokataa mtoto asioewe/oa mtu wa dini tofauti ni kutokana na imani ya kidini.

Lakini unapoitafsiri au kuitazama ndoa kwa hatma hasi ni jambo baya sana.Ni sawa ushindwe kuanzisha biashara ukihofia kushindwa.Hii ni mbaya sana maendeleo yasingekuwepo duniani!
 
mwisho wa siku jamani Mungu ni mmoja haijalishi wewe ni wa imani gani...njia ni ileile, na kwa wawili wanaohitaji kuishi pamoja km mume na mke wakiwa na imani tifauti, Mungu ndiye huwaunganisha, na hapo ndipo wataamua wafunge ndoa hiyo kwa imani gani ili basi familia watakayoianzisha iwe na msomamo wa imani moja ili kuondoa matatizo hasa kwa watoto. Pia mkono wa Mungu huwepo pale ambapo wawili watafunga ndoa kwa imani moja tofauti na huko bomani kwani hakuna mkono wa Mungu, ni kisheria za kidunia tu. Kwa upande wangu naona ni sawa tu as Mungu ni mmoja tu!
 
hakika nitafurahi sana siku naamka nakuta walau watu kumi wamejaribu kuelezea uhusiano wao na MUNGU wao kama wao out of their religion, kwani kila siku its all abt Dini Dini. if u understand GOD through religion then everything is complicated. but if u understand religion through GOD then everything is as simple as u can have a wife/husband of any type.
 
Salaam zenu wana jamvi!

Katika jamii zetu tumekuwa tukishuhudia vikwazo mbalimbali katika safari ya mapenzi,
Hasa pale wawili wapendanao wanapotaka kuishi pamoja.
Hapa nazungumzia kwa aina yeyote ile ya ndoa . . . (Homosexual excluded!)

Tukiachana na sababu zingine, dini pia imekuwa ni kikwazo kwa baadhi ya watu.
Suala la dini limeshafanikiwa kuzuia ndoa tarajiwa kadhaa,
Hii inatokana na utofuti wa dini/imani za watarajiwa wenyewe.

Sitajikita sana kwenye ushawishi/msukumo wa familia na ndugu kwa ujumla,
Ila kuna familia/wazazi wasotaka/wasokubali wanao waoane na mtu wa dini/imani tofauti na ya kwao.

Lakini, pamoja na yote hayo,
Kuna baadhi ya wapenzi ambao huchukua mbadala wa kubadili dini/imani zao
Ili tu . . .waweze kuishi na hao wapendwa wao(wapenzi).
Wengine huridhiwa na wengine hulazimisha tu kadri mioyo yao inavyowaambia!

Twajua kwamba ndoa haina assurance ya kulast forever though wengi wanapenda iwe hivyo.
Na kutodumu kwa ndoa inategemea vitu tofauti tofauti vitokee. . . aidha;
  • Kuachana (tutazame kuachana kwa sababu ya huyo huyo ulobadili dini kwa ajili yake)
  • Kifo (cha mwenza mmoja. . . specifically ulomfata))
  • Mwenza mmoja kurudi kwenye dini yake (pengine imekuwia vigumu kubadilika kiimani)
Tokana na hayo, nimejikuta napata swali,
Hivi kuna umuhimu gani wa kubadili dini ilihali ndoa yenyewe ni prabability????

Pengine mimi nimelitazama hili suala kivingine. . . .na sikupata umuhimu wake.
Sijui nyie wenzangu mnalizungumziaje hili suala la kubadili dini kwa kupata nafasi ya ndoa?
Ni nini hasa umuhimu wake, tukiitazama chance ya kusurvive kwa ndoa?
Mbona umechanganya mambo hapa?...na wanaojibi hawajui wanajibu nn!...unauliza umuhimu wa kubadili dini ili kufunga ndoa au unasema ndoa kudumu ni bahati kwa hiyo hakuna haja ya kubadili dini.$
Hoja ya kwanza jibu lk ni moja kwa moja...mtaunganaje kuwa kitu kimoja km mmetofautiana baadhi?kuna dini fulani hazikubali dini zingine pia.hoja ya pili...duniani kila tunachofanya huwa nika kubahatisha na tunasukumwa na matarajio.Kama si ndoa kuvunjika mweza akifa je?utasema siwezi ingia kwenye ndoa kwa kuwa mwenzangu anweza kufa...goofy kind tjinkinmg!....homosexuals wanabadili dini pia ukizingatia msingi wa ndoa ni muunganiko wa kisheria na kuwa wamoja..._kiachilia mbali kujamiina km kigezo kwa kuwa ht ndo inapofungwa hw hakuzungumziwi...
 
MFANO: Kuna kina dada wa kiislamu lakini wamepata mabwana wakizungu na wamewang'ang'ania haswa bila kujali dini zao na wazungu wengi wao ni wa-kristo.................!
 
uko sawa kabisa best.

Tukumbuke ukiwa ndoani sio kila siku ni sikukuu. Sasa ikitokea mwenza amekuboa ama mambo hayaendi sawa hata hiyo dini uliyomfuatia nayo utapoteza interest. Believe me you, ukipenda mtu kwa moyo wote unafanya mambo nje ya uwezo wako. Hata ikifika umeachana nae unabaki unajishangaa uliwezaje! Hukawii kuanza kuichukia na dini yake.

Ingia kwenye dini.kwa sababu unaipenda hiyo dini na unautafuta uso wa mungu. Usifanye kwa ajili ya mali wala mwenza, utachemsha tu

(nikiingia kwenye uislamu ama usababto, siku mwenza akiniudhi naenda kujipooza na kitimoto kama kg 2. Hapo nimemkomoa allah ama mume?)

thank u,,
well said..
 
mwisho wa siku jamani Mungu ni mmoja haijalishi wewe ni wa imani gani...njia ni ileile, na kwa wawili wanaohitaji kuishi pamoja km mume na mke wakiwa na imani tifauti, Mungu ndiye huwaunganisha, na hapo ndipo wataamua wafunge ndoa hiyo kwa imani gani ili basi familia watakayoianzisha iwe na msomamo wa imani moja ili kuondoa matatizo hasa kwa watoto. Pia mkono wa Mungu huwepo pale ambapo wawili watafunga ndoa kwa imani moja tofauti na huko bomani kwani hakuna mkono wa Mungu, ni kisheria za kidunia tu. Kwa upande wangu naona ni sawa tu as Mungu ni mmoja tu!

Ndugu yangu inaonekana hujasoma vitabu vya dini vya pande zote vizuri, kuna tofauti kubwa sana kati ya ALLAH ambaye ni Mungu wa waislam na JEHOVA ambaye ni Mungu wa wakristo, hivi ni vitu viwili tofauti kabisa, soma vitabu acha uvivu
 
sasa wewe unayedai unajua vzr vitabu sijui umeelewa nini!!!jamani hayo ni majina tu Mungu aliyeumba waislam, wakristo, wapagani, sijui mafreemason huko, ndege, nyoka, mbingu, ardhi, na vitu vyote uvionavyo na usivyoviona aliyeumba ni mmoja tu na hakuna miungu wawili!! kasome vizuri ndio uje na hoja!

Hakika Mungu wa kweli ni mmoja tu alieumba mbigu na ardhi, na vitu vyote vinavyoonekana na visivyoonekana, LAKINI wapo miungu wengi sana wanaoabudiwa hapa duniani, wakidhaniwa kuwa ndio Mungu wa kweli!
 
umeona ee!! hao 'miungu wengine wanaoabudiwa' ni mbwembwe tu ila UKWELI utabaki kuwa MUNGU NI MMOJA TU na HANA MSHIRIKA WAKE!!!!
Hakika Mungu wa kweli ni mmoja tu alieumba mbigu na ardhi, na vitu vyote vinavyoonekana na visivyoonekana, LAKINI wapo miungu wengi sana wanaoabudiwa hapa duniani, wakidhaniwa kuwa ndio Mungu wa kweli!
 
Hili suala huwa haliishi kunishangaza. Wengi wetu ni wanafiki sana inapokuja suala la hizi dini. Unakuta wapenzi wamekaa miaka wakivunja "amri ya sita" hakuna anayejali dini yake. Inapokuja mnataka kuoana, suala la dini ghafla linapata umuhimu! Baada ya kuona utaona wengi bado hatutendi kwa kadri dini zetu zinavyotutaka. Ni unafiki mtupu.
 
Salaam zenu wana jamvi!

Katika jamii zetu tumekuwa tukishuhudia vikwazo mbalimbali katika safari ya mapenzi,
Hasa pale wawili wapendanao wanapotaka kuishi pamoja.
Hapa nazungumzia kwa aina yeyote ile ya ndoa . . . (Homosexual excluded!)

Tukiachana na sababu zingine, dini pia imekuwa ni kikwazo kwa baadhi ya watu.
Suala la dini limeshafanikiwa kuzuia ndoa tarajiwa kadhaa,
Hii inatokana na utofuti wa dini/imani za watarajiwa wenyewe.

Sitajikita sana kwenye ushawishi/msukumo wa familia na ndugu kwa ujumla,
Ila kuna familia/wazazi wasotaka/wasokubali wanao waoane na mtu wa dini/imani tofauti na ya kwao.

Lakini, pamoja na yote hayo,
Kuna baadhi ya wapenzi ambao huchukua mbadala wa kubadili dini/imani zao
Ili tu . . .waweze kuishi na hao wapendwa wao(wapenzi).
Wengine huridhiwa na wengine hulazimisha tu kadri mioyo yao inavyowaambia!

Twajua kwamba ndoa haina assurance ya kulast forever though wengi wanapenda iwe hivyo.
Na kutodumu kwa ndoa inategemea vitu tofauti tofauti vitokee. . . aidha;
  • Kuachana (tutazame kuachana kwa sababu ya huyo huyo ulobadili dini kwa ajili yake)
  • Kifo (cha mwenza mmoja. . . specifically ulomfata))
  • Mwenza mmoja kurudi kwenye dini yake (pengine imekuwia vigumu kubadilika kiimani)
Tokana na hayo, nimejikuta napata swali,
Hivi kuna umuhimu gani wa kubadili dini ilihali ndoa yenyewe ni prabability????

Pengine mimi nimelitazama hili suala kivingine. . . .na sikupata umuhimu wake.
Sijui nyie wenzangu mnalizungumziaje hili suala la kubadili dini kwa kupata nafasi ya ndoa?
Ni nini hasa umuhimu wake, tukiitazama chance ya kusurvive kwa ndoa?
Love doesn't cost a thing nakubali bt ingawa tunaingia kwny mahusiana ya imani\dini tofauti nakujikuta hatusikii wala hatuoni[vipofu kwny mapenzi] lazima tuangalie na vizazi vyetu, to honest hizi ndoa za boman zinachanganya sana vizazi vyetu nakutufanya kupoteza mwelekeo halisi na thabiti ktk Dini\Imani zetu, Utakuta Mtoto\Kijana akijita Mwislam Mkristo hali yakuwa hajui wapi ni sahihi nakuamua kuchanganya kote Msikitini na Kanisani yote kwake ni sawa tu Ili hali wazazi wenyewe wanashindwa kumpa muongozo thabiti wa dini yake halisi nakusubilia Mtoto\Watoto wakizaliwa kuanza kuwapachika majina kwa zamu huku wakigombania huyu aitwe Juma na mwingine aitwe Rose jst mnaenda kwa style hiyo nakusema wakitimiza miaka 18 watachagua wenyewe wapi ni sahihi pakwenda.For sure kwa style hii nivigumu tunawachanganya mtoto\watoto kuwaongoza kiimani\dini nakushindwa kuwalea nawakupa maadili yaliyo bora dini zaidi,Hii yote nikutokana na tofauti za dini walizonazo Wazazi.Tusijiangalie sisi tu ktk mahusiano tulionayo ama tunayoingia bt hii ni kwale wenye future na wapenzi wao, Tujaribu focus zaidi kwenye vizazi vyetu tunavyovichanganyaJst tuwe makini nakuliangalia kwa mtazamo chanya pindi tunapojiingiza kwny mahusiano ya dini tofauti nakuwa wawazi kwa tuwapendao ili kuweza kuepuka madhara ya hiya.
Ndio maana Watu hawana faith kwny dini zao hii ikiwa ni sababu moja inayochangia.
 
Back
Top Bottom