Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Hivi ulishawahi kupewa zawadi na mpango wa kando zawadi kama simu ,saa etc sasa ukifika nayo nyumbani mme/mke anaipenda na umeshadanganya ya kuwa hiyo zawadi umenunua hii issue ilishakutokea...
1 Reactions
45 Replies
3K Views
Mara nyingi tunaambukizwa na wale tunaowapenda na kuwaamini kupita kiasi. Ni nadra sana kupata gonjwa la zinaa pale unaposema napita tu. Magonjwa ya zinaa yapo mengi sana. Yanayotibika na hili...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Nimetoka zangu kijijini mkomaindo wilaya ya masasi toka juzi nimefikia hapa temeke kwa kutopenda shida na bughuza za mji huu nimekuwa nashinda maskani moja hapa ambayo ina vijana kadhaa wa kiume...
2 Reactions
21 Replies
4K Views
Hakuna kitu kinakera kama kuingia lodge unakuta wana vitanda vizuri lkn godoro la hovyoo, ukilala kama shimoni bwana, bora kitanda cha hovyo godoro liwe zuri. Afu unakuta lodge nzuri tuu kwa...
1 Reactions
19 Replies
1K Views
Habari wazee Naomba ni-share nanyi hii tabia ya dada zetu wa siku hizi maana inaota mizizi kila uchao. Hivi ni kwanini ukimtongoza msichana muda huo huo njaa na chakula anachagua chips kuku? Hivi...
14 Reactions
116 Replies
11K Views
Katibu wa wanaume sichoki kuwaelimisha tumeambiwa kuishi na wake zetu kwa akili Kwa lugha nyingine wasio na akili hawataweza kuishi na wake zao. Kwahiyo kwa chochote unachofanya ilinde sana akili...
6 Reactions
7 Replies
3K Views
Inaelekea wiki ya pili sasa huzuni imeujaza moyo wangu na masikitiko kibao Ni kawaida familia tofauti zikiwa kwenye ukoo mmoja lazima kuna tofauti za hapa na pale kimtazamo hasa zile koo zenye...
8 Reactions
69 Replies
7K Views
Dah! List ni ndefu wakuu Nimewakumbuka wote Hasani hawa ambao ndoto zao zilikatishwa 1:Ben Saa8 2: Daudi Mwangosi 3:Azory Gwanda 4:Mawazo 5: Akwilina 6:Malya 7:..... 8:..... 9...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Mimi ni binti wa miaka 24, mkristu (RC) nimeajiriwa, sina mtoto. Natafuta mwanaume wa kunioa, umri 26-35, mkristu, asiwe na mtoto. Nitafute tmaganga21@gmail.com
23 Reactions
139 Replies
22K Views
Nisiwachoshe sana niende moja kwa moja kwenye mada. Kilichonisukuma mpaka kukosa usingizi muda huu saa 6 usiku ni haka kadada ambako kamekuwa kanaigiza na muigizaji maarufu comedy Lukas Mhuvile...
2 Reactions
26 Replies
4K Views
Hi ilikuwa miaka ya 2000 mida ya saa mbili usiku .mke wa jilani yetu alikuja home anavuja damu alipo ulizwa kulikoni akadai kapewa kipigo Na mumewe. Mzee alikuwa mwenye kiti wa mtaa . kutokana Na...
2 Reactions
28 Replies
2K Views
Jamani hivi karibuni kuna hali imenitokea nashindwa kuelewa Yaani siku hizi najikuta nawaza mpaka naanza kuongea mwenyewe kwa sauti jamani unakuta nipo ofisini, barabarani, nawaza mambo yangu...
2 Reactions
69 Replies
6K Views
Salaaam wananchi wa JMT under Kichaa JPM Kama mada inavyojieleza Nashangazwa sana na hii tabia ya hawa mabinti wa kileo hasa wale waliokwisha balehe na kifuani kuanza kuota matiti Hawa mabinti...
2 Reactions
22 Replies
2K Views
Jamani kwa nini ongezeko la wanawake wenye vitambi limekuwa kubwa? Idadi ya wanaume inapungua lakini ya wanawake inaongezeka! Kitambi kwa mwanamke kinapunguza mvuto au hamlijui hilo nyie wanawake?
3 Reactions
722 Replies
91K Views
Kama unamuhonga mwanamke ili akupende basi jua una kosea sana. Hautakiwi kumuhonga mwanamke ili akupende ila unatakiwa kumuhonga mwanamke kwa sababu unampenda. Upendo ni kutoa hata Mungu alimtoa...
5 Reactions
16 Replies
2K Views
Katika kipindi kigumu ambacho nimepitia ni wakati huu ambapo mke wangu mpendwa ananinyima tendo la ndoa kisa simkuni itakavyo hivyo kujikuta ninamchafua na kumuacha na hamu kubwa ya kutaka...
9 Reactions
167 Replies
22K Views
Katika mahusiano kugombana na kupatana ni kitu cha kawaida sana na ukiona watu wanagombana na wanapatana tambua kwamba neno "nisamehe" limetumika sana.Hakuna mahusiano ambayo hayana changamoto...
3 Reactions
14 Replies
5K Views
Naamini mke anaweza kupatikana mahali popote pale Mungu ndo humwongoza mtu kupata mke mwema Sifa zangu Umri:30 Elimu:Chuo Kazi:Nimejiajiri Dini:Mkristo Sifa za nimtakae Umri:19-32 Elimu...
1 Reactions
39 Replies
3K Views
Za siku,kuna katoto flan a,daaah unajua kama ni fisi ni fisi tuu Kuna siku nimeenda site kwangu sasa akat naingia ile njia iko kimya sana,wapita njia ni m1 m1...nkasimama ninunue vocha...
10 Reactions
118 Replies
7K Views
Direct to the point Huku kitaa mambo ni [emoji91], tena fire ile mbaya . Kuna zari limenitokea, mtoto mzuri, independent, charming and really she is beautiful ila kazimika nami. Kiukweli kila...
3 Reactions
68 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…