Je ni Sahihi!???

Je ni Sahihi!???

rikiboy

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2017
Posts
22,163
Reaction score
43,988
Ikitokea rafiki ako kaachana na mpenzi wake na wewe ulikuwa unajua ni wapenzi...!! Lakini umetokea kumpenda huyo mdada kwa wanaume au mkaka kwa wanawake je ni sahihi kutoka nae na wew!?? Kama si sahihi kwa ninii...
 
Me Napiga Pu.mbu tuu

Kama ni mke ndo ntaheshimú japo ntakuwanamega kisela.
 
Piga vyombo huyo mpaka inukie nyama choma Vita vya panzi furaha kwa kunguru
 
Ikitokea rafiki ako kaachana na mpenzi wake na wewe ulikuwa unajua ni wapenzi...!! Lakini umetokea kumpenda huyo mdada kwa wanaume au mkaka kwa wanawake je ni sahihi kutoka nae na wew!?? Kama si sahihi kwa ninii...
Naona unatafuta uhalali wa kujilia vyako
 
Kula ni kula tu mbaya ni kukomba mboga.mapenzi ni kama kiti cha basi akishuka mtu anapanda mtu na kukaa akishuka tena anapanda mwingine ngoma inogile hainaga makombo hiyo
 
Nimepata tabu sana na hili. Wapenzi wa marafiki zangu walijilengesha mno baada ya kukosana na ma bwana zao.
Sema sikutaka vunja urafiki ilibidi nitie upole wa kutokuwa na meno kama bunge la awamu ya tano.
 
Back
Top Bottom