UWOGA=UMASKINI
JF-Expert Member
- Dec 30, 2013
- 2,400
- 1,018
Haya wale wataalamu WA ICT au wajanja WA mjini nitajuaje mpenzi/rafiki/mke namba alizoziblock kwenye simu yake ?
Aisee wewe ni mwana democrasia sana. Hadi nimependaNjia rahisi ni kumuuliza mke. Acha kuzunguuka
Kufukunyua fukunyua huku sio kuzuri
Unatafuta magonjwa ya moyo kwa lazima hebu achana na hii kitu ili uishi muda mrefuHaya wale wataalamu WA ICT au wajanja WA mjini nitajuaje mpenzi/rafiki/mke namba alizoziblock kwenye simu yake ?
Thanks mkuuu.Aisee wewe ni mwana democrasia sana. Hadi nimependa
Ndiyo maana nakupenda.Njia rahisi ni kumuuliza mke. Acha kuzunguuka
Kufukunyua fukunyua huku sio kuzuri
Love you moreNdiyo maana nakupenda.