NAOMBA USHAURI NA MAWAZO YENU KATIKA HILI

Nyamiyaga

JF-Expert Member
Apr 30, 2017
757
588
Amani ya Bwana iwe nanyi wana jukwaa la MMU,

Nielekee kwenye mada, kuna binti anakaa kwa mama akee mdogo ambapo ni jirani na sisi, japo Mimi nipo mbali kidogo na nyumbani
Nimebahatika kupata mawasiliano yaake na kiukweli kwa harakaharaka nahisi anaweza kua mwanamke wa ndoto yangu.

Nimejaribu kupitia social media tofauti ili kuona at least life style yaake kwa kiasi fulani inaonesha ni mwanamke mwenye maadili. Sijabahatika kukutana nae kutokana na mimi kua mbali nae japo ntajaribu kuomba ruhusa ili niweze kukutana nae.

Sasa wana Great thinkers wa jukwaa hili pendwa naomba USHAURI wena pamoja na mawazo yenu juu ya haya yafuatayo
1) Aina ya mazungumzo kati yangu na yeye ili nisiharibu mwanzoni
2) Ni sahihi kumpigia simu mala kwa mala ukizingatia kila mmoja anashinda kazini
3) Kwa kua hatujafahamiana muda mrefu, ni sahihi kwangu mimi kumuonesha nia mapema kua nataka kumchumbia na hatimae kumuoa
4)Kutokana na Uzuri waake na anavyopenda kujisitiri, naamini kabisa wanaomtafuta ni wengi, soo ni kipi naweza kufanya ili angalau ahisi mi ni naweza kua mwanaume tofauti na wengine.

USHAURI wenu na MAWAZO yenu ntayapokea kwa umuhimu mkubwa.
Niwatkie Juma pili njema.
 
Hapana Mkuu, lengo na madhumuni ya huu uzi ni kupata MAWAZO yenu ambayo yanaweza kunijenga kwa njia moja ama nyingine
Mpigie simu fanya appointment mueleze unachotaka kwake, achana na habari za uzuri wake ama status yake just Face her.
 
Ongea nae kawaida af mwambie mapema kuwa waga unapenda miondeni yake ya maisha
Bira kusahau kumsifia kwa tabia yake nzr na kumwambia afafaa kuwa mke na ataempata atakuwa na bahati sana

Mshauri pale atapohitaji ushauri na mlazimishe akwambie pale utapohisi anashida flan au hayuko normal
Sio lazima kumpigia kila siku ila jitaidi ukimuwaza unamtafta
Jaribu kucheka nae pale inapotokea na usijifanye we ni mwenye maadili zaidi yake

Kuwa very relaxed ukiwa nae na jaribu kuongea nae lolote likujialo akilini, ila tu lisiwe la kumuuzi au kumfanya ahisi we ni muuni

Mpende na muoneshe kuwa ye kuwa mpnzi wako sio hitaji lako la kufa na kupona
 
Umemaliza ashindwe mwenyewe
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom