Shetani alieyeingia kwa social network (media)

Nkonzi JR

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2017
Posts
324
Reaction score
195
Habari wandugu nimefanya uchunguzi Mdogo Tu,kwa social network kama facebook, tango, badoo na nyinginezo
Hizi huongoza kwa mapepo yanii ni chanzo kikubwa cha umalaya, roho za kipepo, na kila aina ya uchafu
Hili nilionalo ni kweri au?????
Naitaji tathimi ya uchunguz mwingne wa hiz social network
 
Lipo wazi mbona huko ndio, kila kitu kimehamia. Sema tu na moyo wako usiangukie dhambinii.
 
Sikuizi nimebadili maombi..
Siombi ulinzi wa Vyombo vya moto (bodaboda,gari n.k )
Hua naomba Mungu anilinde na ajali za socialmedia.
Niingie na kutoka nikiwa salama mikononi mwake.
Sio siri tena Shetani kawekeza mno mawakala wake ktk Mitandao ya kijamii kuliko kawaida.
Kuna nguvu ya kishetani,mtu akinaswa anakuwa mteja na kujinasua mwnyewe hawezi ispokuwa Mungu amfungue na kumuweka huru.
Si hofii sana Madanguro halisia na Anasa za mtaani,nahofia Madanguro ya mtandaoni unaweza ukajikuta unafanya uzinzi na wanawake walio nje ya Dunia hii ya kawaida kupitia mtandaoni.
Vijana wana jilipua na mademu walioko ng'ambo kwa punyeto kupitia social N.
Kwa hivyo utafti wako kwa asilimia kadhaa ni kweli.
Japo hujatolea ufafanuzi jinsi ulivyofanya utafiti.
 
betting nazo?
 
betting nazo?
Ni Ulevi pia na waathirika wakubwa ni wanaume na vijana wakiume.
Ukianza huwezi acha mara moja kwa kufumba na kufumbua,mpk moyo wake ujitathimini na ujutie kwa hasara kubwa uliyoupata kupitia betting.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom