Jua haya kuhusu dhambi ya ngono

Jua haya kuhusu dhambi ya ngono

gasgas

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2015
Posts
1,098
Reaction score
994
JIHADHARI SANA NA DHAMBI ZA NGONO. ATHARI YAKE NI KUBWA SANA..

“Ikimbieni zinaa. Kila dhambi aitendayo mwanadamu ni nje ya mwili wake; ila yeye afanyaye zinaa hutenda dhambi juu ya mwili wake mwenyewe. Au hamjui ya kuwa mwili wenu ni hekalu la Roho Mtakatifu aliye ndani yenu, mliyepewa na Mungu? Wala ninyi si mali yenu wenyewe; maana mlinunuliwa kwa thamani. Sasa basi, mtukuzeni Mungu katika miili yenu” (1 KOR. 6:18-20 SUV).

Binafsi siamini kuwa kuna dhambi kubwa na ndogo. Dhambi ni dhambi ila sio zote zina athari sawa za sasa. Katika maisha yajayo athari ya dhambi zote ni sawa.
Hukumu ya milele katika ziwa liwakalo kwa moto na kiberiti.
Ila katika maisha haya athari ya dhambi hazipo sawa.

Maandiko yanatuonyesha wazi kuwa athari ya dhambi za ngono (sexual sin) ni kubwa kuliko dhambi zingine.
Ni dhambi ya pekee ambayo tunaambiwa tuikimbie.
Ni dhambi ya pekee ambayo tukiifanya tunaifanya dhidi ya miili yetu.
Tunapofanya dhambi ya ngono sio tu tunamkosea Mungu bali pia tunaikosea miili yetu.
Hii miili tunayoikosea ni hekalu la Roho Mtakatifu au kwa maneno mengine nyumba ya ibada ya Roho Mtakatifu.

Hakuna dhambi inayoua maisha binafsi ya ibada ya mtu kama dhambi za ngono.Ndiyo maana Paulo aliwaambia Warumi, itoeni miili yenu kuwa dhabihu iliyo hai takatifu ya kumpendeza Mungu na akasema huko kutoa miili yetu kama dhabihu iliyo hai takatifu ya kumpendeza Mungu ndiyo ibada yetu yenye maana.

Dhambi za ngono huharibu kabisa hii ibada ya kwanza, ya muhimu na yenye maana ya kuitoa miili yetu kama dhabihu iliyo hai.
Miili yetu isipokuwa dhabihu iliyo hai, takatifu ya kumpendeza Mungu, ibada nyingine yeyote tunayotoa haina maana hata kidogo.

Kuitoa miili yetu kuwa dhabihu iliyo hai ndo ibada ya muhimu kuliko zote.
Ndiyo maana kizazi cha kwetu kimevamiwa na dhambi za kingono kuliko kizazi kingine chochote.
Kinachotafutwa ni ibada ya kizazi kizima.
Mungu anatafuta wamwabuduo katika Roho na Kweli.
Alimradi kizazi kimefungwa na dhambi za ngono hao waabuduo katika Roho na Kweli hawawezi kupatikana.

Ngono ni kitendo cha ibada au kwa maneno mengine ni zaidi ya kukutana kwa miili ya watu wawili.
Ngono nje ya utaratibu wa Mungu ni ibada kwa miungu mingine.
Amri ya kwanza katika Torati ni usiwe na miungu mingine ila Mungu.
Amri ya kwanza katika Agano la Neema ni umpende Bwana Mungu wako kwa moyo wako wote, kwa akili zako zote, kwa nguvu zako zote na kwa roho yako yote.
Ukishampenda Mungu hivyo huwezi kuwa na nafasi kwa ajili ya miungu mingine.

Unapotenda dhambi ya ngono unafanya ibada kwa miungu mingine.
Ndiyo maana kwenye Agano la Kale wana wa Israeli walipoenda kujichanganya na miungu mingine, Mungu aliwaita wanafanya ukahaba na uzinzi maana mpendwa wangu ngono ni zaidi ya tendo ni ibada ambayo inachafua ibada iliyo halisi.

Paulo akamwambia Timotheo zikimbie tamaa za ujanani.
Kwanini alimwambia akimbie tamaa za ujanani?
Athari za tamaa za ujanani ni kubwa mno.
Hakuna kifungo kibaya na kinachotesa kama kifungo cha dhambi za ngono.
Nilikuwa najiulizaga swali.
Kwanini waabudu wakuu wote wa bibilia walistruggle sana na dhambi za ngono?

Yuda alistruggle na dhambi ya ngono akalala na mkwewe.
Rahabu alistruggle akalala na wanaume wengi wakati ndani yake kabeba kusudi la ajabu la kuwa mojawapo wa watu ambao ataleta wokovu kwetu.
Daudi alishindana sana na dhambi ya ngono japo alijulikana kama mtunga zaburi mwenye kupendeza wa Israeli.
Mariamu Magdalena ambaye alimwabudu Yesu kwa kibweta cha marhamu alikuwa anastruggle na dhambi ya ngono hata ikabidi atolewe mapepo saba na Yesu.

Mwanamke Msamaria wa Kisimani alikuwa anastruggle na dhambi ya ngono mpaka Yesu alipomfungua.
Kwanini?
Ngono inatafuta ibada yako.
Ngono inatafuta kuua uhusiano wako na Mungu Aliye Hai.

Hivi unajua kuwa kufanya ngono nje ya utaratibu wa Mungu ni ibada ya sanamu?
Ngoja nikuonyeshe andiko:

“Basi, vifisheni viungo vyenu vilivyo katika nchi, uasherati, uchafu, tamaa mbaya, mawazo mabaya, na kutamani, ndiyo ibada ya sanamu;” (KOL. 3:5 SUV).

Unapofanya ngono nje ya utaratibu wa Mungu unaabudu sanamu.
Unaabudu kilichoumbwa badala ya kumwabudu mwumbaji.

Uhusiano wako na Mungu ukivurugwa itajidhihirisha kwa mlipuko wa ghafla wa dhambi za ngono maishani mwako kama inavyoelezwa kwenye Warumi 1. Ngono ni kitendo cha ukaribu (sex is an act of intimacy) kama ambavyo ibada ni kitendo cha ukaribu (just as worship is an act of intimacy).
Katika lugha ya kiyunani kuabudu ni neno Proskuneo na ni neno hilo hilo ambalo linatumika kuelezea kubusiana kwa kina (deep kissing).

Wengi wetu hatujui kuwa kama ambavyo kuna mabadilishano katika tendo la ngono kuna mabadilishano hayo hayo katika kitendo cha kubusiana hasa tunapobusiana mdomo kwa mdomo.

Wengi wanadhani ngono ni pale tu uume unapoingia ndani ya uke lakini hawajui kuwa hata tunapobusiana mdomo kwa mdomo kuna mabadilishano yanatokea toka kwa moja kwenda mwingine kama ambavyo hutokea tukiwa tunafanya ngono.

Sio hivyo tu tunapogusana kimahaba, kupapasana, kushikana shikana kuna mabadilishano pia yanatokea kama ambavyo hutokea wakati wa ngono au wakati wa kubusiana.

Yote haya tumeambia tuyakimbie.
Ikimbie ngono.
Kimbia kubusiana.
Kimbia kushikana shikana, kupapasana na yanayofanana na hayo.

Chochote ambacho kinaamsha hamu na kiu ya ngono kwa mtu ni kitu hatari sana maana kiu na hamu ya ngono ikishapanda kuna mabadilishano yanatokea ambayo yatalinajisi hekalu la Roho Mtakatifu na kuathiri ibada yako.

Kutumiana jumbe za mahaba hasa za kufanya ngono kupitia maneno ya message ni kitu hicho hicho.
Ukitaka kujua maneno yana nguvu kiasi gani kaka embu ona upo mbali na mtu mnachat lakini inavyoamsha hisia za kimapenzi.

Dada angalia jinsi ambavyo hisia za mapenzi zinaamshwa na maneno.
Maneno ni roho.
Yanaweza yakaleta uhalisia wa mazingira ya tendo halisi kwa kuteka ufahamu.

Yesu alizungumzia kuhusu kumwangalia mwanamke kwa kumtamani na ukajikuta umeshatenda naye zinaa moyoni.
Mwanadada unapovaa nguo inayotamanisha kimahaba ni wanaume wangapi umeshafanya nao zinaa moyoni mwao kwa wao kuyaangalia maungo yako na kuyatamani?
Kizazi hakipo makini kinavyovaa.
Ukifundisha mavazi wanakuambia Mungu anaangalia moyo.
Nini shida?
Ibada ya kizazi inatafutwa.
Wanawake na nguo fupi jamaani!

Nguo zinazoacha nje viungo vyenye mvuto kimahaba.
Nini kinasukumo uvaaji usiyo na staha?
Roho ya ngono.
Roho ya ibada ya sanamu.

Ngono ni hatari sana.
Inaleta athari.
Ina madhara.
Inanajisi.
Inaharibu ibada.

ASOMAYE NA AFAHAMU.
 
Amen...
Ila ningependa ufafanue zaidi juu ya "Kuitoa miili yetu kama dhabihu iliyo hai"
 
DAH... UKWELI MTUPU!!!!!

Hata sie tunaambiwa "altakrubu zinaa "

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
 
Nimekusoma mkuu[emoji120] [emoji120]
 
Hakuna dhambi ya ngono Adam na Hawa wenyewe hawakuwa wameoana na walizaa watoto,tatizo mnasoma biblia zilizo fanyiwa remix.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] biblia zilizofanyiwa remix
 
Tatizo lako hujui tofauti ya ngono na zinaa..nimepoteza muda wangu bure kuisoma hii biblia yako feki
 
Mwenye ufahamu na alishike hili hii dhambi inaelekea kuwashinda hata baadhi ya waumini wanazini wao kwa wao
 
“Wala USIKARIBIE zinaa. Hakika huo ni UCHAFU na NJIA mbaya (kabisa)” (17: 32).
Do not go near adultery. It is truly a shameful deed and an evil way @ fatimakarimms twitter.jpg
 
Back
Top Bottom