Ushauri wa kuoa unahitajika.

Ushauri wa kuoa unahitajika.

JOTO LA MOTO

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2018
Posts
766
Reaction score
563
Kuna kijana mmoja mwenye 'nafasi' yake nzuri tu, yaani kazi nzuri na kipato si haba, kwa sasa anaenda miaka 35...anaomba ushauri aoe yupi, kati ya binti aliyelelewa na kukulia kijijini dhidi ya yule aliyekulia mjini mwenye ufahamu wa mambo mengi na tabia za kimjini. Hofu yake kubwa ni kuwa huyu wa kijijijni anaweza kubadilishwa na mazingira akawa fyatu kuliko hata aliowakuta na kila akiwafikiria wa mjini ni picha ya kina gigi ndio inamjia.
 
Aache woga. Tuliopo mjini wengi tumetokea kijijini. Si kila anayetoka kijijini anakuwa limbukeni wa maisha. Ns si wote wa mjini wapo kama kina Gigi. Nina swali. Wanaume huwa hawaoi wanaowapenda? Au anayehitajika ni mwenye sifa za kuwa mlinzi wa nyumba?
 
Mkuu kwa umri wake huo ni mkubwa Sana ku evaluate wife material haijalishi anaishi mjini au kijijini. Pia kama Ana chuchu yake hapa town na anaona anafaa kuwa wife ni bora zaidi kuliko kubeti kijijini.
 
Yaan MTU mzima anachaguliwa mke? Hii hainiingii akilini.mwambie awalete kwangu waishi week moja ntamchagulia.
 
Aache woga. Tuliopo mjini wengi tumetokea kijijini. Si kila anayetoka kijijini anakuwa limbukeni wa maisha. Ns si wote wa mjini wapo kama kina Gigi. Nina swali. Wanaume huwa hawaoi wanaowapenda? Au anayehitajika ni mwenye sifa za kuwa mlinzi wa nyumba?
Mdau ametishwa na stori kuwa eti Demu wa kijijini akierevuka anaeza kuwa yule aliyeimbwa na Prof J.

Na wa mjini ni hao wa kushinda mitandaoni, ukija yupo busy anakwambia 'hot pot hiyo hapo'
 
Mkuu kwa umri wake huo ni mkubwa Sana ku evaluate wife material haijalishi anaishi mjini au kijijini. Pia kama Ana chuchu yake hapa town na anaona anafaa kuwa wife ni bora zaidi kuliko kubeti kijijini.
Jamaa yake juzi juzi tu katoa talaka kwa 'Mdada wa mujini' ndoa iliyodumu mwaka mmoja tu, sasa
ameingia baridi.
 
No one is perfect mkuu cha msingi uwe na uhakika wa mtu aneataka kumuoa haijalishi ni wa mjini au kijijini lakini pia kuoa kijijini Sio kigezo cha kupata mke bora.
Namshauli aangalie mtu aneona anamfaa kila idara kuwa mke wake na mengine yajayo atapambana nayo mbele ya safari.
Ila kama angepata mtu wa kutoka kwao hata kama wamekutana town ingekuwa poa Sana Kwa usalama wa ndoa yake.
 
umri wote huo bado hujui kuchanganua mambo[emoji851][emoji851][emoji851][emoji851]
 
No one is perfect mkuu cha msingi uwe na uhakika wa mtu aneataka kumuoa haijalishi ni wa mjini au kijijini lakini pia kuoa kijijini Sio kigezo cha kupata mke bora.
Namshauli aangalie mtu aneona anamfaa kila idara kuwa mke wake na mengine yajayo atapambana nayo mbele ya safari.
Ila kama angepata mtu wa kutoka kwao hata kama wamekutana town ingekuwa poa Sana Kwa usalama wa ndoa yake.
Wa kutoka kijiji kimoja huenda wakaendana vizuri.
 
Back
Top Bottom