iron finger
JF-Expert Member
- Sep 27, 2011
- 369
- 253
Mara nyingi nikiwa nimekaa maskani kuna kauli naisikia sana anaweza kupita mwanamke ukasikia watu wanaambiana chini chini uyo mwanamke anayepita hapo golikipa katoka kuna yeyote anayejua maana ya msemo huo?