Salaam, mimi ni mwanaume mwenye miaka 28, muislam.
Natafuta mpenzi ili awe mke wangu insha Allah.
Vigezo vyake.
1. Muislam or mkristo mwenye imani thabit ya kikristo na yuko tayar kubadili.
2...
Habarini wadau
Nimeona sio vibaya kushare yaliyonipata mda kidogo uliopita
Story ipo ivi ! Ilikuwa mida ya saa 12 jioni ,Mara ikaingia sms kwenye kasimu kangu kanokia tochi ,ilisomeka hivi "...
Habari za Asubuhi Waungwana.
Naomba niende moja kwa moja kwenye Mada.
Nilisafiri na familia Julai nikamuacha mfanya kazi na wifi yangu nyumbani kwetu akiwa amejifungua sasa mumewe akawa pia...
Kuna dhana kwamba ukubwa wa kitanda hupelekea kuweka wanandoa mbali kimapenzi. Lakini watu wengi watakuambia wanapenda 8x8, 6x6 etc.
Nimesikia mjadala wa size ya kitanda na " madhara/faida" yake...
Jaman naomba ushauri wenu...
Nilikuwa na girl friend hapokei kwanza but tulikwaruzana Sana kufika kipindi akaamua kuondoka na kunitamkia mengi makali. Nilimpenda sana ila aliamua kwenda...
Najishangaa sana siku hizi
Enzi zangu zile ndani ya wiki naomba namba kwa wanawake si chini ya 20 na kuanza kuwatia Mbepesi vokali,kuwatongoza
Na wengi wakiingia line kwa kudai mimi ni HB sana...
Jana nilikua maeneo na bibie bas ikapigwa hii kitu,bibie akawa anaidakia dakia ikifika hyo sehem anaimba kwa tabasam,ikabid niskize kwa makin,kumbe ni upuuz mtu lahaulaa,..nkawa sjaelewa ndo bibie...
Habari wana MMU husika na kichwa cha habari hapo juu hebu tupeane uzoefu maana nilikuwa nauliza hivi unapofanya mapenzi na MTU mwenye ukimwi lakini ukamuandaa vizuri na kutumia condom lakini...
Nitaeleza kwa uzoefu wangu. Nimeandika mwanamke kwasababu ambayo itajidhihirisha kwenye comments.
Tutakubaliana kila mwanamke anapozaliwa anazaliwa akiwa na mapenzi ya kweli kabisa. Lakini hatua...
Niko sehem hapa nimekuja japo kuvuta mda kiasi. Ni sehem ambayo ni ghali kiasi ila nimejikaza
Kwa vile ni sehem ya watu wengi nimejikuta nawaza tu.
Kama mada inavyojieleza hapo juu. Pale mwanaume...
Ukitaka mahusiano yako yawahi kuvunjika fanya mambo haya
1. Dharau: dharau ni miongoni mwa sumu kali kabisa ambazo zaweza kuvunja na kuuwa kabisa mahusiano yako na mwenzi wako.
2. Uongo: hii ni...
Naomba kuuliza nilipitia maelezo ya mwenzetu mwana jf kuhusu njia z uzazi wa mpango faida na hasara zake lakini kuna hasara moja sikuielewa aliposema kuwa njia ya uzazi wa mpango ya kueka njiti...
Husika Na Kichwa cha habari, Mimi ni kijana 30 Niko kaskazini arusha kazi zangu ni ujasiliamali natufuta mchumba wa kike miaka 20-35 sina masharti wala vigezo aliyetayari anitafute au kwa email...
KOMBORA KIOTANI
(VITA KUU)-1
Book 2
Boniface Birage
Tone la umande lilitua kwenye paji la uso.Mwili ulikwisha shtuka dhidi ya baridi kali iliyokuwa ikifyonzwa kwenye ngozi yake na kuzama ndani...
Nimemiss yale mapenzi ya zamani ile msichana anabeba chakula kwenye hotpot toka kwao hadi getto kwako.
Kazi yako ni kula na kula πππ
Hawa madem wa siku hizi sio romantic kabisa, anachokibeba...
Habari ya weekend ndugu zangu,
Mwenzenu najitahidi sana kuishinda dhambi ya kugegedana najalibu kujitahidi ila inapotokea nikapata demu mpya akili hua inaruka then nikisha maliza ndo akili...
Habarini wakuu.
Wengine huvutiwa na sura, wengine chura wa kihansi, wengine rangi na sauti. Basi ilimradi tuu mtu ajisikiavyo.
Kwa upande wangu navutiwa na mwanamke mjanja sana. Yaani ninapenda...
Ni mwanamke ambae hatuna fyucha ya kuoana ni mzuri sana ila mambo ninayomfanyiaga tuwapo sirini nawaza kua hata mwanamke nitakaemuoa mimi nae muda huu yupo kuliwa hivyo hivyo na mwanaume ambae...