moj6
JF-Expert Member
- Nov 2, 2017
- 3,354
- 5,027
Habarini wadau
Nimeona sio vibaya kushare yaliyonipata mda kidogo uliopita
Story ipo ivi ! Ilikuwa mida ya saa 12 jioni ,Mara ikaingia sms kwenye kasimu kangu kanokia tochi ,ilisomeka hivi " baby njoo nyumban fasta ,mama na baba hawapo wameenda msiban watarudi kesho "
Daa mapigo ya moyo yakaenda mbio nikajisemea moyoni "mechi ya ugenini hii ushindi lazima"
Nikajilipua pamba nilizonunua krismas,plus unyunyu hevyi ,baada ya hapo nikatuma sms "baby nikuletee nini? Mtoto akajibu " chochote baby wangu "
Nikachomoka huyo hadi super market ,nikachukua pizza na burger pamoja na wine moja matata ,ndomu kama zote hiv
Baadae nikaanza kuelekea kwenye eneo LA tukio ,kufika nikakaribishwa na mahugs na kiss kama zote hivi
Tukachili huku tunagonga msosi huku akir yangu ikiwaza mechi tu ,
Baada ya kama dakika 20 hiv ,mara nasikia mtu akigonga dirishan ,"H hebu fungua huo mlango " daa baada ya kutafakar kwa mda nikagundua kuwa ilikuwa saut ya mama yake H ,stimu zilikata ghafula nikawaza gharama nilizotumia na jins nilivyokamia gemu,bahat nzur maza aninijua kama jiran yake ,basii nikaaga huyooo mpaka hom
Saiv npo hom ila usingiz umekata kabisa,daa hakika leo mkeka wangu umechanika dakika za mwisho..