Size ya kitanda inaathiri vipi mahusiano yenu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Size ya kitanda inaathiri vipi mahusiano yenu?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by WomanOfSubstance, Aug 20, 2010.

 1. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #1
  Aug 20, 2010
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  Kuna dhana kwamba ukubwa wa kitanda hupelekea kuweka wanandoa mbali kimapenzi. Lakini watu wengi watakuambia wanapenda 8x8, 6x6 etc.

  Nimesikia mjadala wa size ya kitanda na " madhara/faida" yake katika uhusiano ukanifanya kujaribu kutafiti zaidi kujua zaidi nikakutana na uzoefu kama huu hapa chini:

  - a king-size bed was too big for me to have an intimate relationship with my husband. Not too big to have sex in but too big to be physically close. Too much personal space.


  -I've since remarried and my second husband and I sleep in a queen-size bed. It feels right. But, of course, there are those times when I don't want to be close to him. Those times when I feel like I'm sleeping next to an old dog that .............. and snores. But most of the time, I like knowing that my husband is in the bed with me. The warmth of his body, the sound of his breathing, the feel of his morning wood. It's comforting

  - I think I might feel exactly the same way! A full is much too small.. I want him near by but not completely touching me...a king makes it seem like he is miles away.. but a queen, a queen is just right.

  - We too like to get a king when we're on vacation, or staying at a hotel, but it's more of a commodity, and we usually end up sleeping smooshed together on one side.


  - we sleep in a full size bed normally... and we are usually fine with it and can cope... but lately we have been sleeping in the guest bedroom on the queen sized bed and we have problem with the King sized bed... I will roll to the edge because that's where I'm comfortable and then he will turn around and discover I'm not there and pull me towards him... it makes for restless nights to say the least...

  -We have a King size and it's good for business. If we want to be close, we both migrate towards the middle, but it keeps us from disturbing each other and we sleep better then when we were in my queen.

  -I like the king because it is big enough to have some fun in and on hot summer nights when i dont want anthing touching me, not even his hand. When i need to snuggle we just meet in the middle, I like to have physical contact, ie something touching even if it is just my hand on his back.


  Mambo hayo!
  Hizo 8 kwa 8 zitawafanya kuachana upesi kumbe!.....
   
 2. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #2
  Aug 20, 2010
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  mhhh.........

  nafikiri pia inategemea na maumbo yenu ya mwili........

  unakuta watu maumbo yenyewe hawafiki futi nne na ni wembamba halafu...
  wanachukua size ya 8 by 8...
  mwisho wanapwaya........
   
 3. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #3
  Aug 20, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,655
  Likes Received: 35,417
  Trophy Points: 280
  Mi napenda king size bed bana....kwa sababu nikimaliza kufanya mapenzi huwa nalala fofofo na napenda nafasi nikiwa nimelala
   
 4. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #4
  Aug 20, 2010
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  kitanda kikubwa kinakuwa ishu mnapokuwa mmenuniana hivi
  au mmegombana........space inakuwa kubwa sana.........

  but kama mko in love kitanda mnakiona kidogo...........
   
 5. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #5
  Aug 20, 2010
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0

  Kupwaya tena!
   
 6. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #6
  Aug 20, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,655
  Likes Received: 35,417
  Trophy Points: 280
  Kitanda kikubwa kwa kubadilisha staili ndio chenyewe bana...mtabinuana hivi...mtageuzana vile....huyu atahamia juu......upande upande....mbwa wa Agip...nk bila hata hofu ya kudondoka.
   
 7. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #7
  Aug 20, 2010
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  kupwaya si ndio huko...mnakuwa na space kubwa sana....
   
 8. Pretty

  Pretty JF-Expert Member

  #8
  Aug 20, 2010
  Joined: Mar 19, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
  ......Vitanda vikubwa ni fashion tu siku hizi........ila mimi sioni umuhimu wake sana kwa sababu wapenzi mkilala lazima mkumbatiane muwe zero distance.
   
 9. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #9
  Aug 20, 2010
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  Kulala peacefully wakati mwingine unahitaji space bila bughudha eti.
   
 10. Pretty

  Pretty JF-Expert Member

  #10
  Aug 20, 2010
  Joined: Mar 19, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
  ............We NN unacheza wewe, unaweza kuwa na kitanda kikubwa na mkadondoshana chini libeneke likikolea....Vile vile mnaweza kuwa kwenye sofa bila kudondoshana chini.
   
 11. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #11
  Aug 20, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,655
  Likes Received: 35,417
  Trophy Points: 280
  Kwa jinsi nilalavyo mimi kitanda kikubwa muhimu sana...tena baada ya uroda ndio usiseme kabisa....
   
 12. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #12
  Aug 20, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,655
  Likes Received: 35,417
  Trophy Points: 280
  Lakini kweli aiseee...hasa pale utamu unapokolea hadi kisogoni maana unasahau kila kitu...
   
 13. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #13
  Aug 20, 2010
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  halafu sometimes wanawake hupenda tu kuwa na space
  a sanctuary hivi.....hasa kama kuna mzozo......
  wanawake wa kizungu wana culture ya mwanaume kwenda kulala kwenye kochi....

  utasikia mkeo anakuambia ...haya kwenye kochi,halafu anafunga mlango...lol

  mimi hapo ndo naona sisi waafrika bora uwe na mke mwingine...
  mmoja akihitaji space unaenda kwa mwingine....
   
 14. BelindaJacob

  BelindaJacob JF-Expert Member

  #14
  Aug 20, 2010
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 6,060
  Likes Received: 476
  Trophy Points: 180
  Kulala kwa raha kila mtu na kona yake ni powa zaidi!..hivyo kitanda kikubwa bora zaidi,hata mtu ukilala mwenyewe shurti ujiachie!!
   
 15. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #15
  Aug 20, 2010
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  Ina maana wewe huwa hujisikii wakati mwingine kuwa free bila bughudha ya mtu wala kitu?
   
 16. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #16
  Aug 21, 2010
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  kwa wanaume its easier..
  Unaweza tu chelewa kurudi..
  Ukute mwenzio anakoroma...
   
 17. Lady N

  Lady N JF-Expert Member

  #17
  Aug 21, 2010
  Joined: Nov 1, 2009
  Messages: 1,919
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  kikubwa ndo kizuri, kama unahitaji joto la mwenzio unamsogelea, other wise kila mtu anabinjuka upande wake, kidogo unakuwa huna option!
   
 18. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #18
  Aug 21, 2010
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  mhh imagine kitanda cha futi tatu halafu
  mume anatoka kwenye mataputapu.....
   
 19. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #19
  Aug 21, 2010
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  hapo sasa!
   
 20. b

  bitimkongwe JF-Expert Member

  #20
  Aug 21, 2010
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 3,034
  Likes Received: 211
  Trophy Points: 160
  Najaribu kufikiria usiku utakuwa mrefu kweli kweli. Na ikiwa ni kazi ya kila siku basi lazima ufidie usingizi weekends.
   
Loading...