Nifanyaje ili anielewe kuwa sikufanya makusudi kuanika picha zake za utupu?

Starboywiz

JF-Expert Member
Nov 28, 2016
867
1,441
Habari wana MMU, nisiwachoshe..

Wiki kadhaa zilizopita niliamua kuachana na mwanamke ambaye nilikua nae kwenye mahusiano kwa takribani miezi miwili hivi..kiukweli tuliachana kwa ugomvi, na kingine ni kwamba binafsi huwa napenda sana kuwa na mipaka inayoonekana wazi kabisa, na hupenda ku keep cycle yangu small kwa mantiki hiyo basi huwa sina urafiki na ex wangu yeyote yule (tafsiri vyovyote unavyoweza, lakini sio gubu).

Kipindi nina mahusiano na huyu sister aliwahi kunitumia nudes zake kadhaa, na alikuwa na hofu sana kufanya hivyo lakini nilimlazimisha akafanya hivyo hizo picha nikazihifadhi kwenye vault, sikuwahi kufikiria kutumia hizi picha kumuadhibu kwa namna yoyote ile mana najua kila kitu alichofanya kwangu kwa hiyo miezi miwili alifanya kwa ajili ya mapenzi.

Leo mida flani niliamua kupitia Gallery vault yangu ambako huwa nahifadhi picha zangu za muhimu (na hizi zake zilikua huku) baada ya kuziona nikaamua kuzifuta, so nikazi mark kama mbili hivi mbazo ndo chafu zaidi kabla sija press delete button kuna mtu akawa ananipigia simu na baada ya kuongea nae nikawa nimesahau kuwa nilikuwa Vault nataka kufuta hizo pics (kumbuka nilikuwa nishazi mark), baadae kidogo nikarudi tena kwenye vault ili niendelee kuangalia pics zangu zingine nikaikuta picha fulani ambayo nikawish niiweke whatsapp status nikai mark nikasend

Upuuzi ni kwamba nilisahau kuwa hata zile nudes za yule manzi nilizimark kwa ajili ya kufuta kwahiyo still zilikua marked so nazo zikaenda whatsapp status bahati nzuri niliwahi kuona hilo nikazifuta mapema..

Utata unakuja kwamba, kipindi niko kwenye mahusiano na huyu mtu nilimfundisha kutumia mod ya whatsapp ambayo ina kitu kinaitwa ant delete yani mtu akikutumia meseji au aweke status hata akifuta kwako haifutiki!! yeye alivoingia online akakuta hizo picha zake ziko posted na aka reply hiyo status.

Nimejaribu kumpigia nimuelekeze kilichotokea kapokea simu kibabe, nikamuuliza kama naweza kuongea nae akajibu "hapana haiwezekani"

Yeye akilini mwake anajua mimi nineamua kupost hizo picha ili kumuumiza makusudi, kitu ambacho sio kweli..na bahati mbaya hataki kunisikiliza, sasa sijui niendelee kujaribu tena kuongea nae ili nimuelekeze au nimkaushie tuu??

Screenshot_2018-09-30-23-19-20-1-1.jpg
 
Habari wana MMU, nisiwachoshe..

Wiki kadhaa zilizopita niliamua kuachana na mwanamke ambaye nilikua nae kwenye mahusiano kwa takribani miezi miwili hivi..kiukweli tuliachana kwa ugomvi, na kingine ni kwamba binafsi huwa napenda sana kuwa na mipaka inayoonekana wazi kabisa, na hupenda ku keep cycle yangu small..kwa mantiki hiyo basi huwa sina urafiki na ex wangu yeyote yule (tafsiri vyovyote unavyoweza, lakini sio gubu).

Kipindi nina mahusiano na huyu sister aliwahi kunitumia nudes zake kadhaa, na alikuwa na hofu sana kufanya hivyo lakini nilimlazimisha akafanya hivyo. Hizo picha nikazihifadhi kwenye vault, Sikuwah kufikiria kutumia hizi picha kumuadhibu kwa namna yoyote ile mana najua kila kitu alichofanya kwangu kwa hiyo miezi miwili alifanya kwa ajili ya mapenzi.

Leo mida flani niliamua kupitia Gallery vault yangu ambako huwa nahifadhi picha zangu za muhimu (na hizi zake zilikua huku)..baada ya kuziona nikaamua kuzifuta, so nikazi mark kama mbili hivi mbazo ndo chafu zaidi..KABLA SIJA PRESS DELETE BUTTON kuna mtu akawa ananipigia simu na baada ya kuongea nae nikawa nimesahau kuwa nilikuwa Vault nataka kufuta hizo pics (kumbuka nilikuwa nishazi mark), baadae kidogo nikarudi tena kwenye vault ili niendelee kuangalia pics zangu zingine..nikaikuta picha fulani ambayo nikawish niiweke whatsapp status nikai mark nikasend

Upuuzi ni kwamba nilisahau kuwa hata zile nudes za yule manzi nilizimark kwa ajili ya kufuta kwahiyo still zilikua marked so nazo zikaenda whatsapp status. Bahati nzuri niliwahi kuona hilo nikazifuta mapema..

Utata unakuja kwamba, kipindi niko kwenye mahusiano na huyu mtu nilimfundisha kutumia mod ya whatsapp ambayo ina kitu kinaitwa ant delete...yani mtu akikutumia msj au aweke status hata akifuta kwako haifutiki!! yeye alivoingia online akakuta hizo picha zake ziko posted na aka reply hyo status.

Nimejaribu kumpigia nimuelekeze kilichotokea kapokea simu kibabe, nikamuuliza kama naweza kuongea nae akajibu "hapana haiwezekani"

Yeye akilini mwake anajua mimi nineamua kupost hizo picha ili kumuumiza makusudi, kitu ambacho sio kweli..na bahati mbaya hataki kunisikiliza, sasa sijui niendelee kujaribu tena kuongea nae ili nimuelekeze au nimkaushie tuu??

View attachment 882798
pole bro but usichoke kumtafuta km sim hapokei jarb hata kumtumia ujumbe tu ukijarb kufafanua kile ulichotaka kusema atakuelewa tu na uhakika
 
Unawajibika kwa kile ulichomaanisha sio alichokielewa mtu so kama anaona hataki kusikiliza muache aelewe atakavyo yy au mtumie text ueleze ulichotaka kueleza afu baada ya hapo kaa kimya
 
Acha ufala dogo. Unakuwaje na mapicha ya uchi kwenye simu yako kama sio uduanz?
We kama huyo demu tuu mana umesoma thread na kumaliza sio kusoma na kuielewa, Soma mara ya pili..ukirudia round hii tumia macho shirikisha na ubongo sio macho tuu kama ulivofanya mara ya kwanza
 
Nimesoma vizuri tu.. Umesema mwenyewe kuwa ulimlazimisha ex wako kutuma hizo picha.

Hatua ya kwanza ya uduanzi ndio hiyo hapo. Utaombaje manzi akutumie mapicha ya uchi? Acha utoto chaliangu
 
Sasa mkui picha za kumark kufuta na inakuwaje ulipoenda kuweka status ambapo ni vitu viwili tofauti na zile ulizomark nazo zikaenda kwenye status akati ukitaka Kuweka status Lazima uingie WhatsApp kwanza umark picha ndo uwekee?????? Sema kwa kuwa ni Ex mpotezee ilaa umemdhalilisha Sana mtoto wa watu...
 
Aisee achana nae japo hujamfanyia Fare kabisaa alafu kinginee Huwezi Kumark Picha zaidi ya mojaa ukaziwekaa Status nakataaaaa...!! Lazima uweke picha moja mojaaa mkuu...Hapo inaonekana umeweka makusudiiii
Sasa mkuu ningekua nimeweka makusudi hii thread niiweke hapa ya nini? mtu mwenyewe hata JF hayupo
 
Sasa mkui picha za kumark kufuta na inakuwaje ulipoenda kuweka status ambapo ni vitu viwili tofauti na zile ulizomark nazo zikaenda kwenye status akati ukitaka Kuweka status Lazima uingie WhatsApp kwanza umark picha ndo uwekee?????? Sema kwa kuwa ni Ex mpotezee ilaa umemdhalilisha Sana mtoto wa watu...
hapana mkuu, kuna option ya kuselect picha>share to whatsapp>to conctact
hapo ndio una-share status
 
Nimesoma vizuri tu.. Umesema mwenyewe kuwa ulimlazimisha ex wako kutuma hizo picha.

Hatua ya kwanza ya uduanzi ndio hiyo hapo. Utaombaje manzi akutumie mapicha ya uchi? Acha utoto chaliangu
Bro hizo pics alituma kwa mapenzi yake, na hata kama nilimuomba niliziomba kwa mapenzi..na ndo maana baada ya mapenzi kuisha nikataka kuzifuta. Kwa mtazamo wako huo ni utoto na uduanzi, mi siamini kama wewe..kuna vitu unaweza kuwa unafanya na manzi wako mi nikijua nitaona ni uduanzi lakin wewe kwako ni mapenzi.

Sio kila mtu atakua smart kama wewe
 
Back
Top Bottom