Hivi kweli maji ya bahari ya toa gundu ya kupigwa vibuti

Top gun maverick

JF-Expert Member
Dec 10, 2017
2,018
2,599
Habari za kutwa wananzengo Leo npo mtaani nimetongoza madem kama watatu wote wamenikataa sasa wadau wameniambia labda na gundu LA kukataliwa na wanawake eti maji ya habari ni kweli yanatoa gundu ya kupigwavibuti na madem wakuu?
 
May be kuna ukweli ndan yake kuhusu hilo mkuu
 
Habari za kutwa wananzengo Leo npo mtaani nimetongoza madem kama watatu wote wamenikataa sasa wadau wameniambia labda na gundu LA kukataliwa na wanawake eti maji ya habari ni kweli yanatoa gundu ya kupigwavibuti na madem wakuu?
Yaani watatu tuu? mbona wachache sana? Tembea kwenye idadi ya watoto km 20 au 30 hv ndio uanze kufikiria hayo mambo
 
Maji ya bahari ni machafu, nikisema machafu namaanisha...ukienda kuoga na ukawa na mchubuko, kuna possibility kubwa ya kupata ukimwi...maji ya bahari hayana uhusiano wowote na gundu ni kujitafutia matatizo tu
 
Back
Top Bottom