Mke wa mtu sasa lakini bado ananipenda balaa...

JOYSTICK

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2014
Posts
221
Reaction score
57
Saa 12:30 asubuhi ya leo niko macho lakini bado nimejilaza kitandani nikiangalia miziki ya injili katika kituo cha EATV mkono mwingine nimeshikilia simu yangu aina ya HUAWEI Ascend nikiangalia wa kuchati nae whatsup asubuhi hiyo.Kasimu kangu kengine pembeni hii ikiwa ni ile ya mchina Itel ikaita namba mpya ambazo zilikuwa hazi'click' akilini,ndani ya sekunde kadhaa akili ikajiuliza ni nani huyu ananipigia asubuhi hii na namba mpya.Nikapokea.
Upande wa pili ilikuwa ni sauti ya kike ambayo kwa hakika haikuwa ngeni kwenye ngoma za maskio yangu.

Yeye:Hallo,mambo
Mimi😛oaa,mambo vipi?

Yeye😛oa tu,unajua unaongea na nani?
Mimi:Nope,sijui.Nani kwani?

Yeye:Aah jamani yaani sauti yangu umeisahau,mimi Zoe
Mimi:Hahaha nilijua ni wewe sema nilikuwa nakuzingua tu.

Basi tukaendelea na maongezi mengine akiniambia kuwa wiki kadhaa zilizopita aliibiwa simu hivo akaamua kubadili kabisa namba na kwasababu namba yangu iko kichwani kwake akawa ananijulisha namba yake hiyo mpya.Maongezi mengine yaliendelea ambayo kila mara tukiongea nae huwa anayaongea hayohayo.

Miaka takribani kumi na moja iliyopita kipindi hicho mimi nikiwa kidato cha tatu shule moja ya jeshi kule mujini Dar nilikutana na binti huyu kipindi hicho yeye akiwa bado primary school.Na kwa sababu alikuwa akiishi maeneo hayo hayo niliyoishi mimi,pia ni binti aliyekuwa dhehebu moja ingawa tulisali makanisa tofauti tulikutana mara kwa mara.

Baada ya kuanzisha urafiki na kuzoeana kidogo alipenda kuja kunitembelea nyumbani marakwamara.Na baada ya muda hakuweza kuzuia hisia zake za mapenzi kwangu.Kwangu niliona ni akili za kitoto zinamuendesha ukilinganisha kuwa yeye bado yuko primary na mimi sekondari.Basi niliipuuzia hisia zake.Hakukata tamaa alikuwa akija nyumbani kuonana na mimi na kupiga stori,kipindi chote hicho mimi sikuwahi kumgusa kabisa ingawa alikuwa na umbo kubwa hasa sehemu za makalio,umbo zuri,kifua cha kunyonya ambacho hakijachezewa sana.

Maisha ya jinsi hiyo kati yangu na yake yaliendelea.Nilimaliza kidato cha nne nikaenda kuendelea na masomo nje ya mkoa wa Dar na kukaribishwa vizuri mkoa wa Kilimanjaro kwa masomo ya A level nikiwa boarding school.Kwa kipindi hicho simu za mkononi zilikuwepo lakini wanafunzi wa kipndi kile hatuwa nazo.Binti huyu kwa kuwa ndio kwanza alikuwa yupo kidato cha kwanza hakuweza kumiliki simu.Mawasiliano yetu yakawa yamekufia hapo na hata nilivorudi likizo ndefu na fupi hatukuweza kuonana sana.

Baada ya miaka miwili ya A level nilirudi nyumbani.Kama wiki hivi nilikutana nae akafurahi sana mimi kurudi na alifarijika sana kuniona na kujua kuwa sasa nimerudi mazima.Mimi nilijua kuwa sasa binti yule atakuwa amekuwa na hatakuwa na mpango na mimi tena.Kumbe ndio kwanzaa hisia zake zilikuwa zimekolea kwangu.Alikuwa akija nyumbani mara kwa mara kuonana na mimi,alikuwa akitumia simu ya mama yake mdogo kuwasiliana na mimi kwa simu yangu ya kijangani.Hisia zake za mapenzi kwangu zilikuwa maradufu.Niliona kabisa alikuwa akiteseka kimapenzi kwa ajili yangu,alikuwa akililia japo tuwe tunakutana nusu saa tu kila siku.Alitafuta pesa alipopajua yeye na kuhakikisha kila mara ananiletea zawadi.Kumbuka ndio alikuwa kidato cha tatu,lakini mimi sikuona hayo yote.Basi niliipuuzia hisia zake.

Sababu kubwa ya kupuuzia hisia zake kipindi kile zisikumbuki vizuri nafkiri labda kwasababu nilipendwa sana na mabinti na yeye sikumuona wa maana.Sikumbuki vizuri sababu.Binti aliumia sana akinikumbusha kila siku kwa ujumbe mfupi wa meseji na kwa kupiga simu kuwa ananipenda sana na hajawahi kumpenda mwanaume mwingine kama mimi.Kwa kipindi hiki kila mara nikikutana nae nilikuwa namchezea tu kwa kumkiss,kunyonya matiti yake yaliosimama vizuri kabisa na kushika mapaja yake makubwa laini,sikuwahi kulala nae kwa sex.Aliteseka sana kwa hilo!

Nilikaa nyumbani mwaka mmoja baada ya kumaliza elimu ya juu ya sekondari baada ya hapo nikaenda chuo huku yeye akienda Kenya kuendelea na masomo pia.Hatukuweza kuwasiliana sana ukilinganisha gharama za kuwasiliana zilizokuwepo kati ya nchi hizi.Baada ya miaka takribani minne ya masomo yake na yangu wote tulijikuta tumerudi nyumbani maeneo yaleyale.Uhusiano ukaanza upya.Yeye akinipenda saana kuzidi hata awali.Nilijiuliza kwanini huyu binti ananipenda sana,kila nilipomuuliza alinijibu hajakutana na kijana mwingine kama mimi na hajawahi kumpenda mwingine na hafikirii kumpenda mwingine anavyonipenda mimi.

Mimi kwa kipindi hicho nilikuwa na msururu wa mabinti yeye akiwa mmoja wapo.Pamoja na uzuri alikuwa nao,rangi nyeusi ang'avu,macho yake kama ya brown,matiti makubwa kiasi lakini yaliyosimama vilevile,mapaja makubwa,makalio makubwa,miguu mizuri lakini sikuvutiwa nae saaana kihivo.Nilipenda wasichana wenye rangi ya chungwa na wale weupe.Nilimtesa sana binti huyu kiukweli nilijua namuumiza.Muda mwingine alikuwa akija nyumbani mimi naondoka namwacha na dada zangu.Alikuwa akiingia chumbani namchezea na kufanya nae kidogo tu.Akili yangu ilikuwa kwa vyombo vyeupe vyembamba.

Kuna kipindi ilifika aliugua ugonjwa usiojulikana mpaka kufikia kulazwa hospitali kubwa pale Dar.Yeye ndo alijua sababu ya ugonjwa huo akamwambia mama yake,mama alimshauri aachane na mimi kwasababu ningeweza kumuua binti yule kwa presha.Mimi hata sikujishughulisha kumtembelea hospital ingawa nilipata taarifa toka kwa mdogo wake.Alivotoka wa kwanza kunitafuta ilikuwa ni mimi.Akaumia sana kwa kuwa sikwenda kumuangalia hospital ingawa sababu ya yeye kulazwa ilikuwa ni mimi.

Pamoja na yote hayo bado aliendelea kunipenda sana,hakuacha kuniletea zawadi wala kuja kwetu.Mimi nilikuwa nimeanza kufanya kazi lakini sikuwahi kumpelekea zawadi hata sikumoja.Mwaka juzi mwanzoni aliniita na kuniambia 'Mimi siwezi kuishi maisha haya utaniua kwa presha (akinitaja jina),Nakupenda sana lakini naona wewe hunipendi kabisa ingawa nilishakiri kuwa sitaolewa na mwingine isipokuwa wewe ila kwa sasa sina jinsi.Mimi naolewa (akinitaja jina),bora niolewe tu maana najua hata nikisubiri wewe hutanioa,na ukinioa utaendelea kunitesa tu.'Akiwa anaendelea kusema hayo kwa hisia kubwa machozi yalikuwa yakimtiririka shavuni mpaka chini.Sikuwa na la kumwambia kwasababu ni hakika hata angenisubiri nisingemuoa.Hata sasa sijaoa.

Baada ya miezi miwili alinitelea kadi ya mchango wa send off yake.Week mbili kabla ya harusi alikuja nyumbani ili tuagane,tuliagana kwa uzuri kabisa akiniahidi kuwa hata akiolewa bado mimi nilikuwa na free access kwake.Siku ya sherehe ya send off akiniita kwenye salon aliyokuwa akipambwa ili nimpe kampani bila hiyana nami nikaenda.

Sendoff yake sikwenda lakini kwa taarifa zake na za walioenda,sherehe hiyo ilifana na alipata zawadi za kutosha.Aliniletea kadi ya harusi,nikaenda harusini.Ilikuwa ndio mara ya kwanza kumuona huyo jamaa aliyekuwa anamuoa.Harusi ilikuwa nzuri sana,ilifanyika pale kati kati ya karume na kigogo.Mara kadhaa wakiwa honey moon alikuwa akinipigia simu kunijulia hali.

Baada ya hapo hatukuonana tena zaidi ya mawasiliano ya simu.Nilikuja kuonana nae akiwa na mimba ya miezi mitatu.Na alikuwa akitaka twende tukakumbushie enzi zetu,nilimkatalia katakata akakasirika sana.Niliogopa sana kutembea na mke wa mtu,lakini yeye alikumbushia ahadi tuliowekea ya kuendelea kuwa pamoja.Hatukufanya.

Tulipotezana tukawa tunawasiliana kwa nadra.Nilifurahi nikajua sasa mimi na yeye basi.Baada ya kujifungua alinitafuta ili niende kumsalimia mtoto wake sikuwahi kwenda mpaka alipotimiza miezi kama sita akiwa ameshanikaribisha sana nilienda kumuona mtoto.Aliponiona alifurahi sana.Akakumbushia kuwa bado ananipenda na hatoacha kunipenda kamwe na pale alikuwa ameolewa basi tu lakini kiukweli hakuwa anampenda mwanaume yule.

Siku moja asubuhi ya sa kumi na moja asubuhi alinipigia simu.Alikuwa analia,nilistuka sana kwanini analia.Aliniambia bado ananipenda,na hatoacha kunipenda kamwe na akanikumbushia kwa nini nilimtesa sana kimapenzi kipindi cha nyuma.Mimi sikuwa na la kujibu.Zaidi nilimwambia mambo hayo hatuwezi kuongelea kwenye simu kwahiyo tukutane mahali tuongee.Maana ya kukutana nae ilikuwa nimshawishi anisahau na aweke akili yake kwenye ndoa ukiangalia wana mtoto.Kwasababu ilikuwa ni siku ya kazi alikataa kukutania sehemu ya wazi,ikabidi tukutane sehemu ya kificho (Lodge).Tuliongea mengi zaidi ilikuwa ni lawama toka kwake kwanini sikumpenda,kwanini nilimtesa,kwanini,kwanini,kwanini.Baada ya maongezi marefu tuliingia ulimwengu ule.Ingawa nilikuwa na woga mwingi kuwa natembea na mke wa mtu,lakini ilionyesha wazi alikuwa amemiss manjonjo yale ya kitandani.Ilijionyesha wazi kuwa mambo yale ya makeke hayapati kwa mmewe,mmewe yuko bize sana.

Kumi na moja kashatoka nyumbani anarudi jioni kachoka hana muda na manjonjo yale.Basi binti alinipa yale manjonjo yote.Tko lilikuwa limeongezeka maradufu,mwili mnono lakini kiuno chembamba.Alinikatikia,alipinduka,alibinuka mimi nampa vitu tu.Jasho lilinitoka balaaa siku hiyo.Manjonjo yale me mwenyewe sikuwa nimeyapata kwa muda mrefu.Nilisahau kuwa yeye sasa ni mke wa mtu.Takribani masaa mawili tulikuwa tunafanya mambo daah.Tulipomaliza alianza kulia eti kwa nini nilimwacha akaolewa na mtu mwingine.

DUUH ishu ndefu sana hii sikunyingine basi maana niko kazini....
 
Summarize basi unataka ushauri gani??? ukichukua mke wa mtu kifuatacho 0713
 
ungefupisha tu hii story ndefu kama simulizi ya kwenye radio.
 
Hovyo kabisa wewe unazini na mke wa mtu! eti unajisifia subiri mkeo sasa waje wamfanyie unachomfanyia mke wa mwenzio,
na watoto utakao zaa wafanywe kama unavyofanya tuone kama utakuja hapa kukenua meno.

Apandacho mtu ndicho atakachovuna.
 
hujaweka funzo la hadithi yako mwisho....
 
Dont temper with someones wife ukikamatwa utajuta,,,,,be strong and get single ladies in town
 
Rafiki yangu kumbuka uzinzi ni dhambi,lakini kuzini na mke wa mtu ni kosa kubwa.Biblia inasema;"Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa,Afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake". Mithali 6:32
Acha mara moja tabia hiyo,mwogope Mungu basi.
 
Mkuu huna akili wewe, sasa unajisifu au? Ngoja mmewe akutoe marinda hayo! Wewe ulikuwa na humpendi, kwa nini uendelee kumtumia?
 
Hovyo kabisa wewe unazini na mke wa mtu! eti unajisifia subiri mkeo sasa waje wamfanyie unachomfanyia mke wa mwenzio,
na watoto utakao zaa wafanywe kama unavyofanya tuone kama utakuja hapa kukenua meno.

Apandacho mtu ndicho atakachovuna.
Kweli mkuu,ulivyosema ni sahihi tu.Kama mtu anazini na mke mmoja wa mtu,basi mke wake atazini na wanaume 10 hadharani,na haishii hapo bali mpaka kwa wana wa wana wa wana wao.
 
Ukiendelea naye tu huyo tayarisha kinyero chako kwa mume wake ili akifumuwe.
 
Ndugu zangu sio kwamba nafurahia bali naumia maana kila nikimshauri aache kunipenda anasema hawezi.Hata asubuhi ya leo ameniambia maneno hayo hayo na kuna kipindi wakati ameolewa aliniambia hawezi kuvumilia ni either mmoja wetu afe.Kipindi kingine aliniona natembea barabarani na msichana mwingine (wakati kashaolewa) akakasirika na kunitishia ataenda kwa mganga ili mashine isifanye kazi.

Mimi sipendi yanayoendelea,huwa akipiga simu analia sana akiniambia pamoja na miaka mitatu ya ndoa yake bado ananipenda sana na anataka niwe mtu wake wa nje.Nilijaribu kumblock kwenye njia zote za mawasiliano lakini wapi.

Nifanye nini sasa kumuepuka?
 
Dont temper with someones wife ukikamatwa utajuta,,,,,be strong and get single ladies in town

ndugu JOYSTICK amekuwa ni mtu Mwenye kutojipenda.. amekuwa ni mtu Mwenye kuweka marinda yake rehani... infact, JOYSTICK amekuwa ni mtu Mwenye kujitafutia kifo....
 
Last edited by a moderator:
Ndugu zangu sio kwamba nafurahia bali naumia maana kila nikimshauri aache kunipenda anasema hawezi.Hata asubuhi ya leo ameniambia maneno hayo hayo na kuna kipindi wakati ameolewa aliniambia hawezi kuvumilia ni either mmoja wetu afe.Kipindi kingine aliniona natembea barabarani na msichana mwingine (wakati kashaolewa) akakasirika na kunitishia ataenda kwa mganga ili mashine isifanye kazi.

Mimi sipendi yanayoendelea,huwa akipiga simu analia sana akiniambia pamoja na miaka mitatu ya ndoa yake bado ananipenda sana na anataka niwe mtu wake wa nje.Nilijaribu kumblock kwenye njia zote za mawasiliano lakini wapi.

Nifanye nini sasa kumuepuka?

ulivyoandika kwa mikogo hadithi yako ulitegemea tukusifie acha kabisa mke wa mtu acha visingizio unayajua maumivu atakayoyapata mme wake akigundua? je utamuoa huyu mwanamke akiachika?
 
ndugu JOYSTICK amekuwa ni mtu Mwenye kutojipenda.. amekuwa ni mtu Mwenye kuweka marinda yake rehani... infact, JOYSTICK amekuwa ni mtu Mwenye kujitafutia kifo....

Brother Najipenda sana bt things r always turning the other way round,unexpectedly n uncontrollably.
 
ulivyoandika kwa mikogo hadithi yako ulitegemea tukusifie acha kabisa mke wa mtu acha visingizio unayajua maumivu atakayoyapata mme wake akigundua? je utamuoa huyu mwanamke akiachika?

Mkuu sitegemei sifa toka kwa mtu yeyote.Nimefikiria sana kuhusu hili na ndio mana nikaamua kupata mawazo chanya toka kwenu labda nitapata ufumbuzi wa njia za kumuepuka.Nashukuru!
 
Ina maana ule msururu wa dates zako za nyuma zote wanakupigia simu wanalia utaku huna jinsi zaidi ya kuendelea nao???? stop kiddin young man
 
Back
Top Bottom