Ex anasumbua sana...

Ex anasumbua sana...

The Donchop

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2014
Posts
294
Reaction score
381
Habari wana jamii?
Naombeni ushauri wakuu. Mwaka juzi niliwahi kudate na mwanaume tuliyekaribiana umri sana. Baada ya miezi sita tuliachana na kila mtu akashika hamsini zake.

Mwaka huu mwezi wa sita tulikutana naye, akafurahia kukutana nami. Tukaanza kuwasiliana. Akaniomba urafiki. Nikaona si mbaya.

Tumekuwa marafiki kwa miezi miwili sasa. Nikipata shida hata usiku wa manane anakuja na kunisaidia.

Pia kwa mahusiano yake ana-date wadada watatu kwa mpigo. Nilipomwuliza kwanini anachezea wasichana wa watu alinijibu kuwa bado hajapata mtu sahihi wa kutulia naye.

Jumamosi iliyopita yameibuka ya ajabu. Ex anataka kupasha kiporo nami, nikamkatalia na kumwelewesha kuwa lazima kuwa na msimamo. Kama ameniacha tupashe viporo hili iweje?

Toka Jumamosi mwenzangu urafiki ni wa kusua sua. Nami nampenda kama rafiki yangu. Wakuu nipeni ushauri wapi nakosea.
 
Tumekua marafiki kwa miezi miwili sasa. Nikipata shida hata usiku wa manane anakuja na kunisaidia.
Pia kwa mahusiano yake ana date wadada watatu kwa mpigo. Nilipomwuliza kwann anachezea wasichana wa watu alinijibu kua bado hajapata mtu sahihi wa kutulia naye.
Jumamosi iliyopita yameibuka ya ajabu. Ex anataka kupasha kiporo nami, nikamkatalia na kumwelewesha kua lazima kua na msimamo. Kama ameniacha tupashe viporo hili iweje?
Toka jumamosi mwenzangu urafiki ni wa kusua sua. Nami nampenda kama rafiki yangu. Wakuu nipeni ushauri wapi nakosea.
HUWEZI KUTEMBELEA MUWA KAMA FIMBO LAZIMA UTAUTAFUNA TU
 
Mpe, kwani hao unaowapa wanakupa nini? Unamfanyia ubaya bure, ingekuwa kumnyima tokea mwanzo ungemnyima!
 
Habari wana jamii?
Naombeni ushauri wakuu. Mwaka juzi niliwahi kudate na mwanaume tuliyekaribiana umri sana. Baada ya miezi sita tuliachana na kila mtu akashika hamsini zake.

Mwaka huu mwezi wa sita tulikutana naye, akafurahia kukutana nami. Tukaanza kuwasiliana. Akaniomba urafiki. Nikaona si mbaya.

Tumekuwa marafiki kwa miezi miwili sasa. Nikipata shida hata usiku wa manane anakuja na kunisaidia.

Pia kwa mahusiano yake ana-date wadada watatu kwa mpigo. Nilipomwuliza kwanini anachezea wasichana wa watu alinijibu kuwa bado hajapata mtu sahihi wa kutulia naye.

Jumamosi iliyopita yameibuka ya ajabu. Ex anataka kupasha kiporo nami, nikamkatalia na kumwelewesha kuwa lazima kuwa na msimamo. Kama ameniacha tupashe viporo hili iweje?

Toka Jumamosi mwenzangu urafiki ni wa kusua sua. Nami nampenda kama rafiki yangu. Wakuu nipeni ushauri wapi nakosea.
We binti kazania kusoma mapenzi yapo tu! We kiri tu jamaa alikugegeda kwa kutumia ukaribu uliokuwepo bila ya kukutongoza
 
Nilichokiona hapa,huyu mwanamke bado anampenda jamaa yake,(MAGNETIC MODE IS ACTIVATED)ila anapata wivu kwanini ana wanawake wengine?sema ukweli unatamani jamaa awaache wanawake wote abakie na wewe pekee...mwambie atakuelewa kuliko kukaa unajiumiza moyo wako bure hapa kwa jambo rahisi kama hilo..duniani hatuishi mara mbili!
 
Hi beauty nakusalimia tu, mambo? Unataka kujua wapi unakosea? Tuambie kwanza shida gani ulikuwa unazipata usiku wa manane mpaka ukihitaji msaada, Bwana Fisi huyo hapo ameshafika kukusaidia.
 
Habari wana jamii?
Naombeni ushauri wakuu. Mwaka juzi niliwahi kudate na mwanaume tuliyekaribiana umri sana. Baada ya miezi sita tuliachana na kila mtu akashika hamsini zake.

Mwaka huu mwezi wa sita tulikutana naye, akafurahia kukutana nami. Tukaanza kuwasiliana. Akaniomba urafiki. Nikaona si mbaya.

Tumekuwa marafiki kwa miezi miwili sasa. Nikipata shida hata usiku wa manane anakuja na kunisaidia.

Pia kwa mahusiano yake ana-date wadada watatu kwa mpigo. Nilipomwuliza kwanini anachezea wasichana wa watu alinijibu kuwa bado hajapata mtu sahihi wa kutulia naye.

Jumamosi iliyopita yameibuka ya ajabu. Ex anataka kupasha kiporo nami, nikamkatalia na kumwelewesha kuwa lazima kuwa na msimamo. Kama ameniacha tupashe viporo hili iweje?

Toka Jumamosi mwenzangu urafiki ni wa kusua sua. Nami nampenda kama rafiki yangu. Wakuu nipeni ushauri wapi nakosea.
Kwani ukimpa mkafanya tena kuna shida gani,by the way kazi gani hizo za kuja kukusaidia usiku wa manane mwambie tu awaache hao wengine ubakie wewe tu mbona maisha marahisi sana??!!
 
Hello my EX,naona umekuja kuomba ushauri kuhusu ombi langu la siku ile nategemea wadau watakupa ushauri mzuri tu kuwa unipe,maana mimi nilikusaidia sana sasa ni wakati wako kunisaidia.NDUKIIIIIIIIIII
 
Ukipanua matamvua maji yataingia mpk ndani. Dawa yake hapo ni kutoka nduki, ukiwa nusu nusu unaliwa!
 
Tukikushauri umpe utampa?
Hapana mkuu, tulitoka nae mbali, akanikosea sana ndipo tukaachana, lakini aliniomba msamaha na kutaka tuwe marafiki, nilifurahia urafiki wa kawaida kuliko kua mpenzi wake. Ninachotaka ni yeye kua kaka yangu kabisa na asinione kama demu anayeweza kumtafuna.
 
Kwani ukimpa mkafanya tena kuna shida gani,by the way kazi gani hizo za kuja kukusaidia usiku wa manane mwambie tu awaache hao wengine ubakie wewe tu mbona maisha marahisi sana??!!
Niliumwa mkuu, sikua na mtu mwingine wa kunisaidia zaidi yake. Alinipeleka hospitali usiku wa saa sita.
 
Back
Top Bottom