Myahudi Jr II
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 7,005
- 9,264
Habarini za Usiku mabibi na mabwana.
Takribani wiki 3 za ban ya Jamii Forum kulifanya nielewe majukwaa ambayo yanahitaji special permission kuingia, sikuwahi kuwaza kabisa kama yapo humu jamvini
Tukiwa ukimbizini nchini Kenya, na story za hapa na pale mara ikaletwa mada kama swali "JUKWAA LA WAKUBWA HUMU LIKUAPI" mwanzoni sikuelewa, ila mada ilipata wachangiaji wengi sana kila mtu akiombwa awekwe awekwe
Mimi kama kawaida ikabidi nitii msafara wa mamba kenge hawakosekani, nikamtimbia inbox admin wa jukwaa hilo aniweke nikidhani humo majadiliano ni ya changamoto za maisha ya hapa na pale
Lahaula!!!!!!!!!!!!!!, nilichokutana nacho sikuamini macho yangu, ilinibidi nitoke mbio sana inbox kwa admin aniondoe humo, admini kakaza akanambia usiingie tu siwezi kukuotoa ilinibidi nikusanye virago vyangu nirudi Tanzania ndio ikawa mwisho wa kutumia JamiiForums.com
Asanteni na usiku mwema