Unamtaka mwenye gari na nyumba nzuri, utasubiri sana.. Pole dada

Goliath mfalamagoha

JF-Expert Member
Aug 3, 2012
602
2,505
DADA ZANGU WANATAKA WANAUME WENYE PESA NA MAJUMBA LAKINI MWISHO WA SIKU WANAJIKUTA WANAKOSA VYOTE.

Samahani Kidogo

Tangu umeanza kusema unataka kuolewa na mwanaumee mwenye pesa mbona mpaka Léo hujaolewa ina maana hao wanaume wenye pesa hawapo..??kisa una kaumbo Fulani ivi kanafanana Selena Gomez basi unataka mwanaumee mwenye pesa lakini cha kushangaza huolewi mpaka Leo una miaka 26-30 Vip hao wanaume wenye pesa hawajakuona tu mbona huolewi Mpaka Leo

Wanaume walivyokufata ulisema unataka
mwanaumee msomi na wakati wewe mwenyewe hujasoma Vip huyo Mwanaumee msomi hujampata tu mbona hata pete ya uongo huna eehh wasomi unawataka vip hawajakuonaa mpake leo..??kina dada wengi wanye mawazo mkwamo wanaochagua wanaume na wengi hujikuta wanakosa vyote, wanakosa mwanaume wa kuwaoa na wanakosa na pesa piaa na kujikuta wapo wapo tu kama waganga wa kienyeji masharti kibao vitendo Hakuna .

Unaposema unataka kuolewa na mwanaume mwenye KAZI nzuri JE WEWE UNAYO HIYO KAZI NZURI..? au unaporojoka tu,lakini hata ivoo mbona hujaolewa mpaka Léo..?? Vip hao wanaume wenye kazi nzuri mbona wapo na huolewi, wewe unafikiri wanaume wenye kazi zuri wanaoa kijinga jinga eehh, SHULE ULIGOMA KUUZA NYANYA HUTAKI afu unataka mwanaume mwenye pesa,kuuza vitumbua hutaki kijushugulisha na kazi zá hapa na pale hutaki AFU UNATAKA MWANAUME MWENYE PESA IVI UNAAKILI WEWE AU AKILI ZAKO zipo Facebook WhatsApp na twittar .?jitafakari hakuna mwanaume mwenye pesa, maana pesa zinatafutwa, pesa zinakuja na kuondoka, ukiwa una miaka 25 hujaolewa wala kuchumbiwa ujue utaolewa ukiwa na miaka 27 au 28 na hapo utakuwa umechelewa uko nyuma na wakati, kuwa Mtu makini mwenyewe kujitambua.

Mwanaume hachaguliwi kama nyanya sokoni mwanaumee anatengenezwa, Uzuri wako haumaanishi utaolewa na mwanaume mwenye pesa tena wengi wenu mnaojifanya wazuri mara nyingi huwa mnaangukiaa pua, hata uwe na uzuri kiasi gani bado tabia yako ndiyo kitu cha msingi sanaa ,jiheshimu na uheshimu watu punguza ujuaji maana wanaojua washakufa kitambo sana kuwa mvumilivu acha tamaa punguza kudanga utampata mwanaumee sahihi na siyo mwanaume mwenye pesa na majumba.

Ati nataka kuelewa na mwanaume mwenye verosa au Ferari,haya verosa anayo na majumba anayo Vip unajua kavipate..? VIP unajua tabia Yake.? dada yangu ivi unazungumzia verosa ipi ya udongo au ya MABOKSI..?jitafakari kwanza je KWENU MNAYO HIYO FERARI,jiulize je una mjomba au kaka Mwenye ferari kwenu,acha kuchagua wanaume utaachwa safarini.

Ukishakuwa mwanamke mwenye miaka 26-30 ujuee una hatari ya kutokumpata mwanaume unayemtaka ,Ukawa katika umri huo kuwa makini maana unakuwa upo kwenye Dead Line na uko nyuma ya wakati na kamaa utaka wanaume wa namna hiyo basi tambua ni wachache na wanaume wenye pesa wameoa zamani Sana,oohh mwanaumee masikini sitaki nataka mwanaumee mwenye majumba ya na Mtu na pesa zake vip hayo majumba unayataka ya nini..?? Dadá unazungumzia majumba gani ya makuti au..?? Wanaume wa kweli wenye kuutambua umuhimu wa mwanamke katika hii ni wachache Sana, kwa macho yako ya uongo uongo ambayo yamejaa tamaa unaona wanaume wengi lakini tambua wenye sifa ya kuwa waume zá watu ni wachache.

Eti ikuvaa visuruali vilivyobana miili yenu, matumbo yako njee, makalio yapo njee, mapaja nje, kila mwanaumee anayekutongoza unaachia suraa nzima umepaka matope unaonekana kila kona ndioo unahisi utapata mwanaumee mwenye pesa, kwa nini hizo pesa na wewe usizitafute..? Umekaa kichangu changu tu unawaza pesa tu tena ambazo hujazitoleaa jasho lolote lile, unafikiri kwa tabia hiyo ya kujianika mitandaoni kama dagaa wabichi mará umepost hiki, mará umepost na yule mara uko viwanja hivi mara uko kule.

Unafahamika kinyama tena unafahamika kwa sifa zá kishenzi shenzi dada huyo mwanaume mwenye pesa utampata wap labda umzae mwenyewe..!vi dada zangu mnafikiri kuwa na kijisura kizuri kama chura wa migombani ndo utapata mwanaume mwenye pesa,unafikiria kuwa na makakalio makubwa ndioo utampata, mbona wenye makalio makubwa wapo na hawaolewi na wengine wameachika.!! mnatembea jiji zima kuuza sura na kupiga picha uku mmebinuaa mikia yenu na vimidomo feki bila mpango ,kutwa nzima unashinda kwenye social network unachokifanya hakijulikani afu unataka mwanaume mwenye pesa,NAN AMEKWAMBIA MWANAUME MWENYE PESA ANAOA VILAZA NA VIBWATA KAMA WEWE kutwa upo mtaani kutwa upo online unashinda mitandaoni utafikiri umerogwa au unafanya kazi na whatsapp.

Tafuteni wanaume wenye akili ya kutafuta pesa na siyo wanaume wenye pesa na majumba, mwanaumee ni utu na siyo vitu alivyonavyo, ni borá utafute vyakwako japo kidogo maana ukipenda vya watu utatumika Sana na utaonekana mwanamke usiye jitambua kabisa, kuchagua chagua wanaume kunawafanya wengi wenu mnachelewa kuolewa mnakuja kuolewa mmezeeka hamnaa hata ladha yoyote ile mnaonekana hamna maana yoyote ile kama makande ya jana ,mwanamke ukifikisha miaka 27-30 hujaolewa upo katika wakati mgumu Sana ukipata mwanaume wakati huo Sema Mungu Asante.

Ukiwa na miaka 27-30 umechelewa Sana na wanaume wengi utakaokutana nao kipindi hicho watakuwa wanakutumia tu ili kukizi haja zao wakuache maana hawaoni kama unakipya tena na wanawake wengi wenye miaka 26-27-28-30 huwa wanakata tamaa ya kuolewa na hata wakiolewa wanajikuta wanaolewa na watu ambao hawakuwahi kuwategemea na wengi hujikuta wakiolewa na watu ambao wamewazidi umri ambao walishaoa apo kabla ,na mwanamke akiolewa katika umri huo ndiyo Wale unakuta wanazaa mfululizo, ukiwaangalia watoto wao utafikiri mapacha na hii ni kwa sababu ati wanajaribu kukimbizana na mda lakini wanakuwa wameshachelewa piaa mana awali ni awali tu siku zote ulichezea ukiwa kijana unachezea mpaka uzeeni.

mkipata wanaume wenye pesa hakuna mnachowaongezea kipya Zaidi ya kuwavulia nguo na kuwabinulia ,mbona mkiwapata hao wanaume wenye pesa mnakimbia tenaa, mbonaa mkiwapata hao wanaume wenye pesa mnaishiaa kuachana nao .??mwanaume anaweza akawa ana pesa na bado asitambue umuhimu wako, mwanaume ni msitu mnene, huwezi kuumaliza ndani ya siku moja, unaolewa na mwanaume mwenye pesa akaona unamletea ujinga anakupiga chini, mtoto wa kike kila mwanaume unamtaka unafikiri ,wengine mnakuwa hamuolewi kwa sababu ya tabia zenu mbovu utafikiri, mnatumika kupitiliza mpaka mwanaume anasanuka, ndiyo nyie mnakaa mpaka miaka 28/30 bado hamjaolewa hata kuchumbiwa kwa sababu hamkujua hapo mwanzo kama kuna kuzeeka.

mwanaume gani mpuuzi mwenye pesa atakuoa wewe ambaye unawaza kuvuaa tu huna kingine zaidi ya hicho,ukimaliza kubinuaa unaomba hela ukanunuee simu mpya,unaomba hela ukanunuee nguo mpya,unaomba hela sijui mjomba wako anaumwa,unaomba hela sijui za kuendea club,unaomba hela ya vocha,ukitoka hapo unaomba hela siju rafiki yako ana BIRTHDAY YAKE ,ukimaliza unaomba hela saluni DADA YANGU UNAOMBA VITU VYOTE HIVYO UNATAKA KUFUNGUA SUPEMARKET AU,hakuna mwanaume mpuuzi na shololo atakae kuoa wewe mybe ukaolewe na mganga wa kienyeji kutoka sumbawanga.

Mwanamke unaomba hela kila kukicha,humpi mtu pumzi ya kupumuaa,yaani ww hujakaa sawa unatuma sms ya matumizi,unasex asubuhi jioni anakwambia ana mimba, mwanamke unakuwa na mikakati kibao mpaka unashangaa,kila kitu unaweza unajuaa wewe tu, kwa jinsi mnavyowachuma vijana wa watu nyinyi ndio mngetakiwa muwe wa kwanza kujenga mijumba na kumiliki magari ya kifahari ila cha kushangaza mnahongwa kila siku lakini hata KUMILIKI CHAJA YA SIMU AU KIBANDA CHA KUUZIA MKAA HAKUNA,afu mnadanganyana ati MWANAMKE MATUNZO daah dada yangu mwanamke matunzo kwani ww KUKU WA KISASA,ati unamkuta mdada anauwezo mzuri tu afu anakwambia mwanamke matunzo dada yangu kama mwanamke matunzo si umwambie baba au mama yako wakutunze uko kwenu.

Nani amekwambia mwanaume mwenye pesa anao vilaza na vilazwa,nan alikudanganya kwamba ukijipodoa na kupost post sura yako feki kama faru khadija kwenye social network ndio utapata mwanaume mwenye pesa,endelea kuhudhulia club na matasha ya watu ukizani utaolewa na mwanaume mwenye pesa,endelea kuvulia watu na kuwabinuliaa uone kama watakuoa utabaki unajipodoa mpaka ngozi inatoa maziwa na kubadilika rangi utafikiri unalala kwenye shimo la ndizi zilizovundikwa uone kama utaolewa,WAKATI UMEBADILIKA ,WATU WAMEBADILIKA,HAKUNA MWANAUME LOFA ANAYEOA OVYO OVYO ,USIOKUWA MAKINI UTATUMIKA KAMA KOPO LA CHOONI,UKIENDELEA NA TABIA YAKO YA KUTAKA MWANAUME MWENYE PESA UTASUBIRI MIAKA 800 Ipite kwanza.

DADA ZANGU,maisha hayana mwenyewe haya ,changamka utafuta pesa,amka dada yangu utafuta nyumba yako,amka dada utafuta pesa zako vitu vya kupewa vitakuacha mweupe siku moja,PUNGUZA KUWA TEGEMEZI KIASI HICHO,UKITAKA mwanaume mwenye pesa utakuwa kila siku unakula makofi na mateke ya puani,ulitaka kuolewa mwanaume mwenye pesa kubali kufanyishwa kazi KAMA BEKI TANO,badilika sasa,anza kuwa mbunifu na kutafuta maisha yako,usipende kuhongwa hongwa hongwa,maana kila anayekuhonga atataka akutumie vilevile ndiyo kuolewa ni wajibu lakini umejiandaa Vip..? Wanaume ni wengi ndiyo lakini unaowataka wewe pengine hawapo, kuwa mvumilivu tafuta mwanaume utakayetafuta naye pesa lakini siyo mwanaume mwenye pesa, CHAGUA NJIA ILIYOSAHI KUYAFIKIA MALENGO.

The altitude of forgiveness is only for the strong people ,the weak never forgive.
 
hajaolewa haikuhusu ....tafuta pesa baba.Pesa huna afu kibamia... unayo ndefu haisimama... unioe ili iweje... kila mtu afe na mzigo wake... umetoswa si bure
 
Umenikumbusha kitaa ninachoishi,kuna mwalimu wa kike (huyu mwalimu ni mpare) yeye alishafanya qummer yake ni bidhaa...akienda masikini au tajiri,msafi au mchafu,mzee au kijana yeyote anapokelewa ilimardi awe na fedha tu

Kuna jamaa alishawahi kumuhonga gari la kutembelea (gari aina ya mark two) siku moja jamaa akaja bila taarifa akakuta mwanamke anayemchati mwingine (bwana mwingine wa kupita) alichokifanya aliazima nyundo kwa majirani akaliponda gari lote hasa kwenye vioo
Kwa kweli japo wanadamu tumeumbwa kwa tamaa lkn hawa wenzetu wamezidi na kuna wengine hata kama wakihongwa magari na majumba huwa hawaonyeshi dalili za kuendelea kimaisha!
 
Back
Top Bottom