Akina Dada kwanini hamtaki kutumia ubongo katika mahusiano?

beevenom

JF-Expert Member
May 1, 2017
313
428
Wandugu habari zenyu! Niende moja kwa moja katika mkasa huu, nina Dada yangu wa damu kabisa miaka hiyo akajichanganya kwa dume la kutoka Iringa sasa kasheshe jamaa ni mtata haswaa,hakuhitaji ndugu yeyote nyumbani kwake kutoka kiumeni hiyo haikuwa shida sana. Sasa mama yetu alienda kumuuguza binti yake baada ya kujifungua daaaah naamini mpaka anaingia shimoni hatomsahau mkwewe maana si kwa matusi aliyotukanwa. Tukasema so shida hatutafika kwake.

Sasa Dada yetu ilikuwa haambiwi kuhusu huyo kamanda wake. From no where miaka kama sita imepita Dada akaja kasi mno kutaka talaka kunusuru maisha yake kwani aliomba sana support kutoka kwa ndugu zake. Mie nikawaambia huyu ndugu yetu mna uhakika kuwa anamainisha akaapa miungu yote haya ya majini kuwa yeye na jamaa basi. Mahakamani mambo yakaiva Mara talaka paaah! mezani dada huyo kwa wazazi. Familia ikamshauri apewe mtaji aingie katika kilimo,akaanza fresh kabisa na akapata mavuno mazuri.

Acheni mapenzi yaitwe mapenzi,tunashangaa ghafla bini vuuu binti kaenda kwa x mumewe kinyemela akiulizwa anasingizia watoto,tukasema sio kesi cha kufanya aende mahakamani kwa taratibu zaidi akaona tunamzingua akaendelea na mmewe kibishi. Sasa kumbe jamaa yake anavuta bangi sana na kibaya zaidi kagombana na majirani zake wote. Sijui shetani au Mungu jamaa alijichanganya akapanda mmea nyuma ya nyumba yake na majirani kwa hasira wakawatonya vijana wa lugola mara paap Dada yetu akapigwa bangili za chuma lupango na mmewe akasakwa naye ndani. Akiulizwa Mara ooh mi sikujua kuwa no bange. Kituko zaidi katika kumsechi mmewe akakutwa na pesa kama laki mbili na nusu. Jamaa wakamwambia ajichange kama mia tatu hivi wawatoe kabla mambo hayajavunda mmewe kwa mbwembwe akasema sitoi pesa kama vipi waende kwa pilato.

Kama mzaha kesi ikaanza kuunguruma Mara kooooooti Dada mwaka mmoja ndani au faini na jamaa anangojea kusomewa next week. Kituko sasa jamaa lake haya kujichanga au liuze hata nyumba hamna. Sasa wadau ushauri unahitajika hapa na ikumbwike wiki moja iliyopita jamaa alituma mwseji ya matusi mazito kwa familia yetu,yaani inatia kichefuchefu kabisa. Jamani nyie wanawake nani kawaroga wandugu yaani hata kutumia robo tu ya ubongo ni ngumu? Ukizingatia kipindi chenyewe hiki cha herode sijui
 
SIO MIMI NI SABABU YA MAPENDOOO..KUPENDA NOMA
NA HAPO AKITOKA JELA BAADA YA MWAKA HALAFU AKAMRUDIA TENA SIJUI UTAKUJA KUSEMAJE

KINGINE NILICHOJIFUNZA SIO NYAKATI UTAVUNA ULICHOPANDA JAMAA KALIMA BANGI NA HAKUIVUNA TAYARI WAZEE WAMEKUJA KUMTINGISHA.WATAPATA TAABU SANA
 
Sawa mlimpa mtaji afanye maisha yake, lakini alimis 'ukuni' mkuu
 
  • Thanks
Reactions: amu
Kupenda ni kama ugonjwa mtu anaweza kusema unaumwa kumbe kuna mtu umempenda tu
 
Sawa mlimpa mtaji afanye maisha yake, lakini alimis 'ukuni' mkuu
Hata kama alitaka mavituzi,ilitakuwa atumie japo theluthi tu ya ubongo. Yaani mama alimsihi mno lakini wapi ona sasa mama baada ya kupata taarifa kajibu very simple" aende tu kwani gerezani hata wanawake wenzake wapo".
 
Ukuni wa mvuta ganja umepagawisha Dada yetu..Wavuta bangi si watu poa wanapiga game wakisimamia kucha masaa mawili.Hapo Dada kajojoa mpaka godoro limeloa,sasa atapata wapi vitu hivi vya mvuta mmea??
 
Muda mwengine nakosa hata maana ya mapenzi kwa mambo kama haya

Labda akishakula huo 'mmea' kuna vitu anamfanyia ambavyo hapati kwengine, ila sasa na kudai talaka na kuwekwa ndani aisee na si ajabu kama anajaliwa uzima namtalaka wake wanaweza kurudiana tena uraiani
 
Yaani talaka washapeana kitambo tu,kwa sasa walikuwa wanaishi kiaina tu, inatia karaha mno tunaacha kufikiria mambo ya kuleta maendeleo tunawaza upumbavu wa watu wawili tu.
 
Huenda hilo jamaa linamsugua vizuri sana dada yetu ndo maana hasikii haambiliki kwa hilo sela lake! Mapendo + usuguaji kwa stadium
 
Unatumiaje akili kwa mtu anaekuplease in a way no one can?.Jamaa itakua ni fundi mno chumbani na master wa kubembeleza na 'make up sex' ndo mana dada hapindui

Usiombe mwanaume mnagombana hatari afu make up yake ndani weuweeee ni fayaaa unasahau karaha zake zoooote
 
nakazia
 
Wandugu habari zenyu! Niende moja kwa moja katika mkasa huu, nina Dada yangu wa damu kabisa miaka hiyo akajichanganya kwa dume la kutoka Iringa sasa kasheshe jamaa ni mtata haswaa,hakuhitaji ndugu yeyote nyumbani kwake kutoka kiumeni hiyo haikuwa shida sana. Sasa mama yetu alienda kumuuguza binti yake baada ya kujifungua daaaah naamini mpaka anaingia shimoni hatomsahau mkwewe maana si kwa matusi aliyotukanwa. Tukasema so shida hatutafika kwake.

Sasa Dada yetu ilikuwa haambiwi kuhusu huyo kamanda wake. From no where miaka kama sita imepita Dada akaja kasi mno kutaka talaka kunusuru maisha yake kwani aliomba sana support kutoka kwa ndugu zake. Mie nikawaambia huyu ndugu yetu mna uhakika kuwa anamainisha akaapa miungu yote haya ya majini kuwa yeye na jamaa basi. Mahakamani mambo yakaiva Mara talaka paaah! mezani dada huyo kwa wazazi. Familia ikamshauri apewe mtaji aingie katika kilimo,akaanza fresh kabisa na akapata mavuno mazuri.

Acheni mapenzi yaitwe mapenzi,tunashangaa ghafla bini vuuu binti kaenda kwa x mumewe kinyemela akiulizwa anasingizia watoto,tukasema sio kesi cha kufanya aende mahakamani kwa taratibu zaidi akaona tunamzingua akaendelea na mmewe kibishi. Sasa kumbe jamaa yake anavuta bangi sana na kibaya zaidi kagombana na majirani zake wote. Sijui shetani au Mungu jamaa alijichanganya akapanda mmea nyuma ya nyumba yake na majirani kwa hasira wakawatonya vijana wa lugola mara paap Dada yetu akapigwa bangili za chuma lupango na mmewe akasakwa naye ndani. Akiulizwa Mara ooh mi sikujua kuwa no bange. Kituko zaidi katika kumsechi mmewe akakutwa na pesa kama laki mbili na nusu. Jamaa wakamwambia ajichange kama mia tatu hivi wawatoe kabla mambo hayajavunda mmewe kwa mbwembwe akasema sitoi pesa kama vipi waende kwa pilato.

Kama mzaha kesi ikaanza kuunguruma Mara kooooooti Dada mwaka mmoja ndani au faini na jamaa anangojea kusomewa next week. Kituko sasa jamaa lake haya kujichanga au liuze hata nyumba hamna. Sasa wadau ushauri unahitajika hapa na ikumbwike wiki moja iliyopita jamaa alituma mwseji ya matusi mazito kwa familia yetu,yaani inatia kichefuchefu kabisa. Jamani nyie wanawake nani kawaroga wandugu yaani hata kutumia robo tu ya ubongo ni ngumu? Ukizingatia kipindi chenyewe hiki cha herode sijui
😂😂😂😂😂
 
M kiukwel huwa nafight kwa ajili ya ndugu zangu ila kwa ujinga huo ngemwacha tu mwaka mmoja so kifungo cha maisha ukizingatia hali ya hewa mbaya
 
Back
Top Bottom