Jibu langu limezua swali ambalo sielewi nini cha kufanya

SuperHb

JF-Expert Member
Mar 21, 2016
897
697
Kuna mwanamke nilimpenda sana ila kwa bahati mbaya ameshaolewa sasa juzi kati nikampost kaclip video kake
akanitumia txt kuwa *haamini kama kweli nimempost* nikamjiibu "Amini kwasababu wewe ni moja ya watu muhimu kwangu"akaniuliza ^kwanini nasema hivo?

sasa wakuu hapo nimjibuje ...
 
Endelea kupost ili utunukiwe... uone uumbaji wa Mwenyezi Mungu...
 
Kuna mwanamke nilimpenda sana...ila kwa bahati mbaya ameshaolewa...
Sasa juzi kati nikampost kaclip video kake...
Akanitumia txt kuwa *haamini kama kweli nimempost*...nikamjiibu "Amini kwasababu wewe ni moja ya watu muhimu kwangu"...akaniuliza ^kwanini nasema Hivo??^....

sasa wakuu hapo nimjibuje ...
Mwambie mara kwa mara unamwota amekupakata anakunywesha limbwata!!!
 
mwanaume wa dar banaaaa, mwambie unataka uumfundishe jns ya kujenga ndoa yake.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom